"teacherfaq.educatorGetStartedBody":"Scratch ina rasilimali nyingi zinazopatikana ili kukusaidia kuanza! Tafadhali angalia {educatorResourcesLink} yetu kwa Miongozo, Mafunzo, na rasilimali nyingine nyingi ili kukusaidia kuendeleza darasa lako na Scratch!",
"teacherfaq.teacherWhatBody":"Akaunti ya Mwalimu ya Scratch inapatia wakufunzi vipengele vya kumudu jinsi wanafunzi wanashiriki kwenye Scratch. Vipengele hivi vinawawezesha kuunda akaunti ya wanafunzi, kupanga miradi ya wanafunzi kwenye studio na kufuatilia maoni ya wanafunzi. Jifunze mengi kuhusu Akaunti ya Walimu kwenye video hapo chini:",
"teacherfaq.teacherSignUpBody":"Kuomba Akaunti ya Mwalimu, tafadhali nenda kwenye <a href=\"/educators/register\">fomu</a> ya maombi ya akaunti ya mwalimu.",
"teacherfaq.teacherPersonalTitle":"Kwa nini unataka kujua habari yangu ya kibinafsi wakati wa usajili ",
"teacherfaq.teacherPersonalBody":"Tunatumia habari hii kuthibitisha kuwa mwagiza akaunti ni mwalimu. Hatutashiriki habari hii na mtu mwingine yeyote, na haitatolewa hadharani kwenye wavuti.",
"teacherfaq.teacherEdTitle":"Je, akaunti za waalimu za Scratch zimeunganishwa na akaunti za ScratchEd ? ",
"teacherfaq.teacherEdBody":"Hapana, akaunti ya mwalimu ya Scratch haijaunganishwa na akaunti ya <a href=\"http://scratched.gse.harvard.edu/\"> ScratchEd</a> ",
"teacherfaq.teacherWillNotImplement":"Haiwezekani kufanya vitu hivi kwa Scratch kwa wakati huu. Tungependa kuongeze matumizi mengine kwenye Akaunti ya Walimu na kuiwezesha kufanya vitu hivi lakini Scratch ni shirika dogo lenye rasilimali chache. Kwa hivo, itachukua muda kabla ya sisi kuwezesha matumizi mengine.",
"teacherfaq.studentTransferBody":"Hapana, haiwezekani kuhamisha wanafunzi kutoka darasa moja au mwalimu kwenda mwingine. Unaweza kuunda Akaunti mpya ya Mwanafunzi kwa mwanafunzi kwa kutumia Akaunti tofauti ya Mwalimu ikiwa wanahitaji kuwa sehemu ya darasa jipya.",
"teacherfaq.studentVerifyBody":"La. Anwani ya barua pepe ya Akaunti ya Mwalimu hutumiwa kwa Akaunti zote za Mwanafunzi, kwa hivyo hakuna haja ya kuthibitisha anwani za barua pepe za wanafunzi.",
"teacherfaq.studentEndBody":"Unapomaliza darasa, ukurasa wako wa wasifu wa darasa utafichwa, nao wanafunzi wako hawataweza kuingia tena (lakini miradi yao na studio za darasa bado zitaonekana kwenye tovuti). Unaweza kufungua darasa tena wakati wowote ",
"teacherfaq.studentForgetBody":"Unaweza kuweka upya nywila ya mwanafunzi kwa kutumia Akaunti yako ya Mwalimu ya Scratch. Kwanza, nenda kwa Darasa langu (kupitia kwa bendera ya zambarau kwenye Mwanzo au kwenye menyu ya kushuka karibu na ikoni ya mtumiaji). Kutoka hapo, tafuta darasa sahihi na ubonyeze kiungo cha Wanafunzi. Kisha unaweza kuweka upya nywila katika kiwango cha mwanafunzi ukitumia menyu ya Mipangilio.",
"teacherfaq.studentUnsharedTitle":"Je! Ninaweza kuona miradi ya wanafunzi ambayo hajashiriki?",
"teacherfaq.studentUnsharedBody":"Akaunti za walimu zinaweza kufikia miradi ya wanafunzi iliyoshirikishwa pekee.",
"teacherfaq.studentDeleteTitle":"Je, ninaweza kufuta akaunti za wanafunzi?",
"teacherfaq.studentDeleteBody":"Huwezi kufuta akaunti ya mwanafunzi kwa kutumia Akaunti ya Mwalimu, lakini Akaunti za Mwanafunzi zinaweza kufutwa kupitia ukurasa {accountSettingsLink} wakati umeingia kwenye Akaunti ya Mwanafunzi.",
"teacherfaq.studentAddExistingBody":"Haiwezekani kuongeza akaunti iliyopo ya Scratch kwenye darasa. Utahitaji kuunda Akaunti mpya ya Mwanafunzi kwa kutumia Akaunti yako ya Mwalimu.",
"teacherfaq.studentDiscussionBody":"You can engage in discussions with other teachers by joining the {facebookGroupLink}, where you will find conversations about a number of topics, including Teacher Accounts. This group was established by the {creativeComputingLabLink} at the Harvard Graduate School of Education. You can also browse {scratchEdLink}, which is now an archived site, but includes extensive forums and resources related to Scratch in educational settings.",
"teacherfaq.studentDataBody":"Wakati mwanafunzi anapojiandikisha kwa mara ya kwanza kwenye Scratch, tunaomba data ya msingi ya idadi ya watu ikiwa ni pamoja na jinsia, umri (mwezi wa kuzaliwa na mwaka), nchi, na anwani ya barua pepe ya uthibitisho. Data hii hutumiwa (kwa fomu iliyojumuishwa) katika masomo ya utafiti yaliyokusudiwa kuboresha uelewa wetu wa jinsi watu wanavyojifunza na Scratch.",
"teacherfaq.studentDataBody2":"Wakati mwalimu anatumia Akaunti ya Mwalimu ya Scratch kuunda Akaunti za Mwanafunzi, wanafunzi hawahitaji kupeana anwani ya barua pepe. Tunakuhimiza usome {privacyPolicyLink}kwa habari zaidi.",
"teacherfaq.studentPrivacyLawsBody":"Scratch inajali sana faragha ya wanafunzi na ya watu wote wanaotumia jukwaa letu. Tunayo taratibu za kiwmili na za elektroniki mahali pa kulinda habari tunayokusanya. Ingawa hatuko katika nafasi ya kutoa dhamana ya kimkataba na kila chombo kinachotumia bidhaa zetu za bure za kielimu, tunafuata sheria zote za shirikisho la Merika ambazo zinatumika kwa shirika lisilo la faida la 501 (c) (3). Tunakutia moyo kusoma {privacyPolicyLink}kwa habari zaidi..",
"teacherfaq.student250Body":"Haiwezekani kuongeza wanafunzi zaidi ya 250 kwa darasa moja. Unaweza, hata hivyo, kuunda darasa jipya kwenye {myClassesLink} na kuongeza akaunti zingine 250 za wanafunzi kwa kila darasa jipya.",
"teacherfaq.commWhoBody":"Akaunti za wanafunzi zina haki sawa za jamii kama akaunti ya kawaida ya Scratch, kama vile miradi ya kushiriki, kutoa maoni, kuunda studio, na kadhalika. Kama mwalimu, unaweza kuona shughuli zote za wanafunzi wako na kukadiria viwango vya matendo na shughuli ndani ya darasa lako.",
"teacherfaq.commInappropriateBody":"Unaweza kuondoa maoni yasiyo sahihi na miradi iliyoundwa na wanafunzi wako. Ikiwa unapata maudhui yasiyo sahihi yaliyoundwa na wasio wanafunzi, tafadhali arifu Timu ya Scratch kwa kubofya kitufe cha 'Ripoti'.",
"teacherfaq.commTurnOffCommentsBody":"Hapana, huwezi toa kipengele cha kutoa maoni kwa wanafunzi wako kwenye Jamii ya mtandaoni. Unaweza chagua kutoa uwezo wa wengine kuacha maoni kwenye wasifu wao na kila mradi binafsi, lakini hakuna kipengele kwenye tovuti nzima cha kuzuia kutoa maoni. Ikiwa kutoa maoni haifai kwa wanafunzi wako, unaweza taka kutumia {desktopLink} ambalo ni toleo lisilo mtandaoni la kihariri cha mradi wa Scratch ambacho hakihusishi jamii ya mtandaoni.",
"teacherfaq.commBlockGamesBody1":"Hatuondoi miradi ambayo ni michezo, au iliyoongozwa na michezo maarufu ya video isipokuwa ina mambo mengine ambayo yangekuwa yasiyo bora kwa watoto. Tunaamini kwamba watoto wanajifunza vyema wakati wa kufanya kazi kwenye miradi kuhusu vitu katika maisha yao wana shauku juu yao; moja ya mambo mara nyingi ni shauku juu ya ni michezo.",
"teacherfaq.commBlockGamesBody2":"Ikiwa unajua miradi yoyote maalum ambayo ina vipengele visivyofaa, tafadhali bofya kitufe cha 'Ripoti' ambacho kinaonekana kwenye ukurasa wa mradi ili tuweze kuchukua hatua mwafaka."