"teacherfaq.educatorGetStartedBody":"Scratch ina rasilimali nyingi zinazopatikana ili kukusaidia kuanza! Tafadhali angalia {educatorResourcesLink} yetu kwa Miongozo, Mafunzo, na rasilimali nyingine nyingi ili kukusaidia kuendeleza darasa lako na Scratch!",
"teacherfaq.teacherWhatBody":"Akaunti ya Mwalimu ya Scratch inapatia wakufunzi vipengele vya kumudu jinsi wanafunzi wanashiriki kwenye Scratch. Vipengele hivi vinawawezesha kuunda akaunti ya wanafunzi, kupanga miradi ya wanafunzi kwenye studio na kufuatilia maoni ya wanafunzi. Jifunze mengi kuhusu Akaunti ya Walimu kwenye video hapo chini:",
"teacherfaq.teacherSignUpBody":"Kuomba Akaunti ya Mwalimu, tafadhali nenda kwenye <a href=\"/educators/register\">fomu</a> ya maombi ya akaunti ya mwalimu.",
"teacherfaq.convertToTeacherUsername":"Your Scratch username (Please double check that you know your username by logging into it before contacting us!)",
"teacherfaq.teacherPersonalTitle":"Kwa nini unataka kujua habari yangu ya kibinafsi wakati wa usajili ",
"teacherfaq.teacherPersonalBody":"Tunatumia habari hii kuthibitisha kuwa mwagiza akaunti ni mwalimu. Hatutashiriki habari hii na mtu mwingine yeyote, na haitatolewa hadharani kwenye wavuti.",
"teacherfaq.teacherEdTitle":"Je, akaunti za waalimu za Scratch zimeunganishwa na akaunti za ScratchEd ? ",
"teacherfaq.teacherEdBody":"Hapana, akaunti ya mwalimu ya Scratch haijaunganishwa na akaunti ya <a href=\"http://scratched.gse.harvard.edu/\"> ScratchEd</a> ",
"teacherfaq.teacherWillNotImplement":"Haiwezekani kufanya vitu hivi kwa Scratch kwa wakati huu. Tungependa kuongeze matumizi mengine kwenye Akaunti ya Walimu na kuiwezesha kufanya vitu hivi lakini Scratch ni shirika dogo lenye rasilimali chache. Kwa hivo, itachukua muda kabla ya sisi kuwezesha matumizi mengine.",
"teacherfaq.studentTransferBody":"Hapana, haiwezekani kuhamisha wanafunzi kutoka darasa moja au mwalimu kwenda mwingine. Unaweza kuunda Akaunti mpya ya Mwanafunzi kwa mwanafunzi kwa kutumia Akaunti tofauti ya Mwalimu ikiwa wanahitaji kuwa sehemu ya darasa jipya.",
"teacherfaq.studentVerifyBody":"La. Anwani ya barua pepe ya Akaunti ya Mwalimu hutumiwa kwa Akaunti zote za Mwanafunzi, kwa hivyo hakuna haja ya kuthibitisha anwani za barua pepe za wanafunzi.",
"teacherfaq.studentEndBody":"Unapomaliza darasa, ukurasa wako wa wasifu wa darasa utafichwa, nao wanafunzi wako hawataweza kuingia tena (lakini miradi yao na studio za darasa bado zitaonekana kwenye tovuti). Unaweza kufungua darasa tena wakati wowote ",
"teacherfaq.studentForgetBody":"Unaweza kuweka upya nywila ya mwanafunzi kwa kutumia Akaunti yako ya Mwalimu ya Scratch. Kwanza, nenda kwa Darasa langu (kupitia kwa bendera ya zambarau kwenye Mwanzo au kwenye menyu ya kushuka karibu na ikoni ya mtumiaji). Kutoka hapo, tafuta darasa sahihi na ubonyeze kiungo cha Wanafunzi. Kisha unaweza kuweka upya nywila katika kiwango cha mwanafunzi ukitumia menyu ya Mipangilio.",
"teacherfaq.studentUnsharedTitle":"Je! Ninaweza kuona miradi ya wanafunzi ambayo hajashiriki?",
"teacherfaq.studentUnsharedBody":"Akaunti za walimu zinaweza kufikia miradi ya wanafunzi iliyoshirikishwa pekee.",
"teacherfaq.studentDeleteTitle":"Je, ninaweza kufuta akaunti za wanafunzi?",
"teacherfaq.studentDeleteBody":"Huwezi kufuta akaunti ya mwanafunzi kwa kutumia Akaunti ya Mwalimu, lakini Akaunti za Mwanafunzi zinaweza kufutwa kupitia ukurasa {accountSettingsLink} wakati umeingia kwenye Akaunti ya Mwanafunzi.",
"teacherfaq.studentAddExistingBody":"Haiwezekani kuongeza akaunti iliyopo ya Scratch kwenye darasa. Utahitaji kuunda Akaunti mpya ya Mwanafunzi kwa kutumia Akaunti yako ya Mwalimu.",
"teacherfaq.studentDiscussionBody":"Yes, you can engage in discussions with other teachers at {scratchEdLink}, an online community for Scratch educators. Check out their {forumsLink} to join conversations about a number of topics, including but not limited to Teacher Accounts. ScratchEd is developed and supported by the Harvard Graduate School of Education.",
"teacherfaq.studentDataBody":"Wakati mwanafunzi anapojiandikisha kwa mara ya kwanza kwenye Scratch, tunaomba data ya msingi ya idadi ya watu ikiwa ni pamoja na jinsia, umri (mwezi wa kuzaliwa na mwaka), nchi, na anwani ya barua pepe ya uthibitisho. Data hii hutumiwa (kwa fomu iliyojumuishwa) katika masomo ya utafiti yaliyokusudiwa kuboresha uelewa wetu wa jinsi watu wanavyojifunza na Scratch.",
"teacherfaq.studentDataBody2":"When an educator uses a Scratch Teacher Account to create Student Accounts, students are not required to provide an email address. We encourage you to read the {privacyPolicyLink} for more information.",
"teacherfaq.studentPrivacyLawsTitle":"Is Scratch compliant with United States local and federal data privacy laws?",
"teacherfaq.studentPrivacyLawsBody":"Scratch cares deeply about the privacy of students and of all individuals who use our platform. We have physical and electronic procedures in place to protect the information we collect. Although we are not in a position to offer contractual guarantees with each entity that uses our free educational product, we are in compliance with all United States federal laws that are applicable to a 501(c)(3) non-profit organization. We encourage you to read the {privacyPolicyLink} for more information.",
"teacherfaq.student250Body":"Haiwezekani kuongeza wanafunzi zaidi ya 250 kwa darasa moja. Unaweza, hata hivyo, kuunda darasa jipya kwenye {myClassesLink} na kuongeza akaunti nyingine za wanafunzi 250 kwa kila darasa jipya.",
"teacherfaq.commWhoBody":"Akaunti za wanafunzi zina haki sawa za jamii kama akaunti ya kawaida ya Scratch, kama vile miradi ya kushiriki, kutoa maoni, kuunda studio, na kadhalika. Kama mwalimu, unaweza kuona shughuli zote za wanafunzi wako na kukadiria viwango vya matendo na shughuli ndani ya darasa lako.",
"teacherfaq.commInappropriateBody":"Unaweza kuondoa maoni yasiyo sahihi na miradi iliyoundwa na wanafunzi wako. Ikiwa unapata maudhui yasiyo sahihi yaliyoundwa na wasio wanafunzi, tafadhali arifu Timu ya Scratch kwa kubofya kitufe cha 'Ripoti'.",
"teacherfaq.commTurnOffCommentsBody":"No, you cannot disable the commenting feature for your students in the online Community. You can selectively turn off the ability for others to leave comments on their profiles and each individual project, but there is not a site-wide feature to restrict commenting. If commenting doesn’t feel right for your students, you may want to consider using the {desktopLink} which is an offline version of the Scratch project editor that does not include the online community.",
"teacherfaq.commBlockGamesBody1":"Hatuondoi miradi ambayo ni michezo, au iliyoongozwa na michezo maarufu ya video isipokuwa ina mambo mengine ambayo yangekuwa yasiyo bora kwa watoto. Tunaamini kwamba watoto wanajifunza vyema wakati wa kufanya kazi kwenye miradi kuhusu vitu katika maisha yao wana shauku juu yao; moja ya mambo mara nyingi ni shauku juu ya ni michezo.",
"teacherfaq.commBlockGamesBody2":"Ikiwa unajua miradi yoyote maalum ambayo ina vipengele visivyofaa, tafadhali bofya kitufe cha 'Ripoti' ambacho kinaonekana kwenye ukurasa wa mradi ili tuweze kuchukua hatua mwafaka."