"project.credit":"Shukrani kwa {userLink} kwa ajili ya mradi asili {projectLink}.",
"project.deletedBanner":"Kumbuka: Mradi huu upo kwenye kijalala.",
"project.defaultCensoredMessage":"Mradi huu uliondolewa na Timu ya Scratch kwa sababu ya kukosa nidhamu, kutozingatia vizazi vyote au vinginevyo ikiwa ni pamoja na kutofuata miongozo ya jamii ya Scratch.",
"project.communityCensoredMessage":"Mradi wako umesitishwa kwa muda mfupi kwa sababu watu wengi waliuripoti kuwa haufai.",
"project.willReviewCensoredMessage":"Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na {communityGuidelinesLink}, na ama kurejesha upya mradi au kuendelea kuudhibiti.",
"project.tempCensoredMessage":"Tafadhali soma {communityGuidelinesLink} na uhakikishe kuhariri mradi kulingana na muongozo kabla ya kuishiriki tena.",
"project.permCensoredMessage":"Haiwezi kushirikishwa tena wakati wowote katika siku zijazo.",
"project.notesPlaceholder":"Uliundaje mradi huu? Je! Ulitumia maoni, maandishi au michoro kutoka kwa watu wengine? Watambue hapa.",
"project.descriptionPlaceholder":"Waelekeze watu jinsi ya kutumia mradi wako (kama vile vitufe vya kubonyeza).",
"project.cloudDataAlert":"Mradi huu hutumia data ya mtandaoni - kipengele ambacho kinapatikana tu kwa watumizi waliojiandikisha na kuingia kama wanaScratch.",
"project.cloudVariables":"Vibadilika vya mtandao",
"project.cloudDataLink":"Tazama Data",
"project.usernameBlockAlert":"Mradi huu unaweza kutambua ni nani anayeutumia, kupitia kwa bloki ya \"jina la mtumiaji\". Kuficha kitambulisho chako, toka kabla ya kutumia mradi huu.",
"project.inappropriateUpdate":"Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comment.general.header":"Tunakuhimiza uchapishe maoni yanayofuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
"comment.general.content1":"Kwenye Scratch, ni muhimu kwa maoni kuwa na ukarimu, kufaa kwa umri wote, na yasiwe na barua taka.",
"comment.type.pii":"Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kushiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
"comment.pii.header":"Tafadhali hakikisha usishiriki habari za kibinafsi kwenye Scratch.",
"comment.pii.content1":"Inaonekana kwamba ulikuwa unashiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
"comment.pii.content2":"Mambo unayoshiriki kwenye Scratch yanaweza kuonekana na kila mtu, na yanaweza kuonekana katika injini za utafutaji. Maelezo ya kibinafsi yanaweza kutumiwa na watu wengine kwa njia hatari, kwa hivyo ni muhimu kuyaweka faragha.",
"comment.unconstructive.content2":"Ikiwa unafikiri kitu kinaweza kuwa bora, unaweza kusema kitu unachopenda kuhusu mradi, na kutoa pendekezo kuhusu jinsi ya kuiboresha.",
"comment.type.spam":"Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kuwa na matangazo, michoro ya maandishi, au jumbe zinazofuatana",
"comment.spam.header":"Tunakuhimiza usitangaze, kunakili michoro ya maandishi, au kuwaomba wengine wanakili maoni.",
"comment.spam.content1":"Ingawa matangazo, michoro ya maandishi, na nyaraka zinazofuatana zinaweza kufurahisha, zitaanza kujaza wavuti, na tunataka kuhakikisha kuna nafasi ya maoni mengine.",
"comment.spam.content2":"Asante kwa kutusaidia kutunza Scratch kama jamii yenye urafiki na ubunifu."