"project.credit":"Shukrani kwa {userLink} kwa ajili ya mradi asili {projectLink}.",
"project.deletedBanner":"Kumbuka: Mradi huu upo kwenye kijalala.",
"project.defaultCensoredMessage":"Mradi huu uliondolewa na Timu ya Scratch kwa sababu ya kukosa nidhamu, kutozingatia vizazi vyote au vinginevyo ikiwa ni pamoja na kutofuata miongozo ya jamii ya Scratch.",
"project.communityCensoredMessage":"Mradi wako umesitishwa kwa muda mfupi kwa sababu watu wengi waliuripoti kuwa haufai.",
"project.willReviewCensoredMessage":"Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na {communityGuidelinesLink}, na ama kurejesha upya mradi au kuendelea kuudhibiti.",
"project.tempCensoredMessage":"Tafadhali soma {communityGuidelinesLink} na uhakikishe kuhariri mradi kulingana na muongozo kabla ya kuishiriki tena.",
"project.permCensoredMessage":"Haiwezi kushirikishwa tena wakati wowote katika siku zijazo.",
"project.notesPlaceholder":"Uliundaje mradi huu? Je! Ulitumia maoni, maandishi au michoro kutoka kwa watu wengine? Watambue hapa.",
"project.descriptionPlaceholder":"Waelekeze watu jinsi ya kutumia mradi wako (kama vile vitufe vya kubonyeza).",
"project.cloudDataAlert":"Mradi huu hutumia data ya mtandaoni - kipengele ambacho kinapatikana tu kwa watumizi waliojiandikisha na kuingia kama wanaScratch.",
"project.cloudVariables":"Vibadilika vya mtandao",
"project.cloudDataLink":"Tazama Data",
"project.usernameBlockAlert":"Mradi huu unaweza kutambua ni nani anayeutumia, kupitia kwa bloki ya \"jina la mtumiaji\". Kuficha kitambulisho chako, toka kabla ya kutumia mradi huu.",
"project.inappropriateUpdate":"Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comment.pii.content2":"Things you share on Scratch can be seen by everyone, and can appear in search engines. Private information can be used by other people in harmful ways, so it’s important to keep it private.",
"comment.unconstructive.content2":"If you think something could be better, you can say something you like about the project, and make a suggestion about how to improve it.",