"general.noDeletionDescription":"Akaunti yako ilipangiwa kufutwa lakini umeingia. Akaunti yako imeamilishwa tena. Ikiwa haukuomba akaunti yako ifutwe, unapaswa {resetLink} ili kuhakikisha kuwa akaunti yako iko salama.",
"general.unsupportedBrowserDescription":"Scratch 3.0 haiambatani na kivinjari cha Internet Explorer, Vivaldi, Opera ama Silk. Tunapendekeza ujaribu kivinjari kipya kama Google Chrome, Mozilla Firefox ama Microsoft Edge.",
"installScratchLink.downloadAndInstall":"Pakua na kusakinisha Scratch Link",
"installScratchLink.startScratchLink":"Anzisha Scratch Link na uhakikishe inaendesha. Inapaswa kuonekana kwenye mwambaa zana (toolbar) wako.",
"parents.FaqAgeRangeA":"Ijapokuwa Scratch iliundwa haswa kwa watoto wa miaka 8 hadi 16, vile vile hutumiwa pia na watu wa rika zote, pamoja na watoto wadogo na wazazi wao.",
"parents.FaqAgeRangeQ":"Umri wa wanaotumia Scratch ni upi?",
"parents.introDescription":"Scratch ni lugha ya programu ambapo watoto wanaweza kuumba, kusimba na kusambaza hadithi, michezo na vibonzo kwa watu mbalimbali ulimwenguni. Watoto wanapotumia Scratch wanajifunza ubunifu wa mawazo, kushirikiana katika vikundi, na kufikiria kwa utaratibu. Scratch imetengenezwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten katika MIT Media Lab.",
"registration.birthDateStepInfo":"Hii inatusaidia kuelewa kiwango cha umri wa watu wanaotumia Scratch. Tunatumia hii kuthibitisha umiliki wa akaunti ikiwa unawasiliana na timu yetu. Taarifa hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.checkOutResources":"Anza kwa kutumia Nyenzo",
"registration.checkOutResourcesDescription":"Vumbua nyenzo za walimu zilizoandikwa na timu ya Scratch, pamoja na <a href='/educators#resources'> vidokezo, mafunzo na miongozo</a>.",
"registration.choosePasswordStepDescription":"Andika nenosiri jipya la akaunti yako. Utatumia nenosiri hili wakati mwingine utakapoingia kwenye Scratch.",
"registration.genderStepDescription":"Scratch hukaribisha watu wa jinsia zote.",
"registration.genderStepInfo":"Hii inatusaidia kuelewa ni nani anatumia Scratch, ili tuweze kukuza ushiriki. Habari hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.waitForApprovalDescription":"Kwa sasa, unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Scratch, lakini huduma maalum kwa waalimu hazijakuwa tayari. Habari yako inakaguliwa. Tafadhali kuwa na subira, hatua za kutoa idhini inaweza kuchukua hadi siku moja. Utapokea barua pepe inayoonyesha kuwa akaunti yako imesasishwa mara tu akaunti yako itakapoidhinishwa.",
"registration.welcomeStepDescription":"Umefanikiwa kuunda akaunti ya Scratch! Sasa umejiunga na darasa:",
"registration.welcomeStepDescriptionNonEducator":"Umeingia kwenye Scratch! Unaweza kuanza kuunda miradi.",
"report.error":"Tatizo limetokea wakati wa kujaribu kutuma ujumbe wako. Tafadhali jaribu tena.",
"report.project":"Ripoti Mradi",
"report.projectInstructions":"Unapotuma ripoti, inaruhusu timu ya Scratch kujua mambo kuhusu miradi ambayo inavunja {CommunityGuidelinesLink}. Kuna kitu katika mradi huu kinachovunja {CommunityGuidelinesLink}? Ikiwa unafikiri kinafanya hivyo, tafadhali tuambie zaidi.",
"report.promptJumpscare1":"\"Jumpscare\" ni kitu kinachoonyeshwa kwenye skirini na nia ya kutisha watu.",
"report.promptJumpscare2":"Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu \"jumpscare,\" kama vile kinachotokea, na ni lini hufanyika katika mradi huo. Pia, tuambie jina la sprite, mtindo, au mandhari ya nyuma, inayohusishwa na jumpscare ni muhimu.",
"report.promptWeapons1":"Please let us know where the image, drawing, or sound of realistic weapons occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
"report.promptWeapons2":"Tip: Scratch projects should not contain realistic weapons, such as photographs of guns, realistic drawings or sounds. However, cartoon or fictional items like laser beams are okay.",
"report.promptEvent1":"Please let us know more about the scary event or story in the project. Providing more details will help the Scratch Team better understand the issue and address it.",
"report.promptEvent2":"Tip: Scratch is used by all people of ages. It’s important projects do not contain mature themes such as harming someone.",
"report.promptScaryImages1":"Please let us know why you feel this image is too scary for Scratch, and where the image occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
"report.promptScaryImages2":"Tip: Scratch is used by all people of ages. It’s important projects do not contain blood, realistic violence, or anything that may feel scary or too mature for younger audiences.",
"report.promptThreatening":"Please let us know why you feel this project is threatening another Scratcher.",
"report.promptLanguage":"Tafadhali sema ni wapi lugha isiyofaa inatokea katika mradi (Kwa mfano: Vidokezo & Sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk)",
"report.promptMusic":"Tafadhali taja jina la faili ya sauti iliyona muziki usiofaa",
"report.promptPersonal":"Tafadhali taja ni wapi taarifa ya kibinafsi inashirikishwa (Kwa mfano: Vidokezo na sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk).",
"report.promptGuidelines":"Please select a reason why you feel this project may break the {CommunityGuidelinesLink} and the Scratch Team will review your report.",
"report.promptDontLikeIt":"Scratch projects are made by people of all ages and levels of experience. If you don't like this project because you feel it can be improved upon, we encourage you to share constructive feedback directly with the creator.",
"report.tipsSpecific":"Try to be specific with your feedback. For instance: The controls to move the character did not work.",
"report.promptDoesntWork":"A Scratch project, like any other application, may contain a few bugs. That is expected and completely okay!",
"report.promptDoesntWorkTips":"We encourage you to share any issues you discover directly with the creator of the project. It's also helpful to provide suggestions on how they may improve their project, if possible.",
"report.promptTooHard":"If you feel a project could be easier, we encourage you to share that feedback directly with the creator of the project. Or remix it yourself and make it as easy or hard as you like!",
"report.promptFaceReveal":"Scratch allows people to use pictures of their face in creative projects like games, stories, or animations. However, Scratch does not allow users to share projects which are just a picture of their face (known as a “face reveal”) or which focus entirely on their physical appearance. Please explain if you feel this project is a face reveal or focuses on the person's physical appearance.",
"report.promptNoRemixingAllowed":"Please let us know where the project says it is not okay to remix — such as in the Notes & Credits, project title, etc.",
"report.promptCreatorsSafety":"Ni muhimu kwamba kila mtu kwenye Scratch anabaki salama mtandaoni na katika maisha halisi. Tafadhali tujulishe kwa nini una wasiwasi juu ya usalama wa mtumiaji huyu.",
"report.promptSomethingElse":"We encourage you to double check if your report fits any of the other available categories. If you strongly feel it does not, please explain why this project breaks the {CommunityGuidelinesLink}.",
"report.promptDisrespectful1":"Please let us know why you feel this project is disrespectful to another Scratcher or group. Where does the disrespectful content occur in the project (project text, images, sounds, etc.)?",
"report.promptDisrespectful2":"Remember: Scratch welcomes people of all ages, races, ethnicities, religions, abilities, sexual orientations, and gender identities. It’s important everyone feels welcomed and safe when sharing on Scratch.",
"comments.deleteModal.body":"Futa maoni haya? Ikiwa maoni yanadhalimu au ni ya kukosa nidhamu, tafadhali bonyeza Ripoti ili kujulisha Timu ya Scratch.",
"comments.isEmpty":"Hauwezi kutuma bila kuchapa maoni",
"comments.isFlood":"Woah, inaonekana kama unapeana maoni haraka sana. Tafadhali subiri muda kiasi kati ya machapisho.",
"comments.isBad":"Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comments.hasChatSite":"Uh! Maoni yanarejelea kiungo cha wavuti uliyo na gumzo lisilokadiriwa. Kwa sababu za kiusalama, tafadhali usitumie kiungo cha tovuti hizi!",
"comments.isSpam":"Hmm, inaonekana kama umetumia maoni sawa mara kadhaa. Tafadhali usiudhi kwa kutuma maoni taka.",
"comments.isMuted":"Hmm, kipelelezi kimetambua kuwa maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata nidhamu ya Scratch, kwa hivyo akaunti yako imesitishwa kwa siku nzima. ",
"comments.isUnconstructive":"Hmm, Kipelelezi kinikisia kuwa maoni yako yanaweza kuwa dhalimu na yaliyokosa nidhamu. Kumbuka miradi mingi kwenye Scratch imetengenezwa na watu ambao wanajifunza kuandilka programu.",
"comments.isDisallowed":"Hmm, inaonekana maoni yamezimwa kwa ukurasa huu. : /",
"comments.isIPMuted":"Samahani, Timu ya Scratch ililazimika kuzuia mtandao wako kushiriki maoni au miradi kwa sababu ilitumiwa kukiuka miongozo yetu ya jamii mara kadhaa. Bado unaweza kushiriki maoni na miradi kutoka kwa mtandao mwingine. Ikiwa ungetaka kukata rufaa kuhusu kizuiliwa huku, unaweza kuwasiliana na appeals@scratch.mit.edu na Nambari ya Kesi {appealId}",
"comments.isTooLong":"Maoni yako ni marefu sana! tafadhali tafuta namna ya kuyafupisha matini yako",
"comments.muted.warningCareful":"We don't want that to happen, so please be careful and make sure you have read and understand the {CommunityGuidelinesLink} before you try to post again!",
"comments.muted.mistake":"Think this was a mistake? {feedbackLink}.",
"comments.muted.feedbackLinkText":"Let us know",
"comments.muted.mistakeHeader":"Think this was a mistake?",
"comments.muted.mistakeInstructions":"Sometimes the filter catches things by accident. Your feedback will help prevent this from happening in the future.",
"comments.muted.thanksFeedback":"Thanks for letting us know!",
"comments.muted.thanksInfo":"Your feedback will help us make Scratch better.",
"bluetooth.enableLocationServicesText":"Bluetooth can be used to provide location data to the app. In addition to granting the Scratch App permission to access location, location must be enabled in your general device settings. Search for 'Location' in your settings, and make sure it is on. On Chromebooks search for 'Location' in the Google Play Store Android preferences."