"microbit.headerText":"{microbitLink}ni bodi ndogo ya sakiti iliyoundwa ili kusaidia watoto kujifunza usimbo na kuunda kwa kutumia teknolojia. Inayo vipengee vingi ikijumuisha onyesho la LED, vitufe, na kihisio cha mwendo. Unaweza kuiunganisha kwa Scratch na kujenga miradi ya ubunifu ambayo inaunganisha uchawi wa dijitali na ulimwengu.",
"microbit.tiltGuitarDescription":"tengeneza music kwa kuinamisha micro:bit",
"microbit.oceanAdventure":"Shani ya bahari ",
"microbit.oceanAdventureDescription":"Jenga kielekezi chako mwenyewe na uogelee kuelekea kwa saksofoni.",
"microbit.troubleshootingTitle":"Kusuluhisha",
"microbit.checkOSVersionTitle":"Hakikisha mfumo wa uendeshaji wako unaendana na kiungo cha Scratch ",
"microbit.checkOSVersionText":"Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
"microbit.closeScratchCopiesText":"Nakala moja tu ya Scratch inaweza kuunganika na micro:bit kwa wakati mmoja. Ikiwa umefungua Scratch katika tabo zingine za kivinjari, zifunge na ujaribu tena.",
"microbit.otherComputerConnectedTitle":"Hakikisha hakuna tarakilishi yoyote imeunganishwa na micro:bit",
"microbit.otherComputerConnectedText":"Kompyuta moja tu ndio inaweza kuunganishwa na micro:bit kwa wakati mmoja. Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na micro:bit yako, tenganisha na micro:bit au funga Scratch kwenye hiyo kompyuta na ujaribu tena",
"microbit.resetButtonTitle":"Hakikisha haubonyezi kitufe cha “kuweka upya”",
"microbit.resetButtonText":"Wakati mwingine unapotumia micro:bit unaweza kubonyeza kitufe cha “kuweka upya” kwa bahati mbaya upande wa nyuma katikati ya USB na soketi. Hakikisha unaweka vidole vyako (na vidolevya miguu) mbali wakati unatumia Scratch!",
"microbit.imgAltMicrobitIllustration":"Mifano ya kibao-mzingo cha micro:bit ",
"microbit.imgAltDragDropHex":"Kokota faili ya HEX kutoka kwa kabrasha uliyopakua na udondoshe kwa micro:bit",