"teacherlanding.intro":"Wanafunzi wako wanaweza kutumia Scratch kutunga hadithi shirikishi, ukaragushi na michezo. Katika mchakato huo, wanajufunza jinsi ya kufikiri kwa ubunifu, kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — stadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. Tayari walimu wanahusisha Scratch kwenye masomo na mada mbalimbali ya masomo wakilenga umri tofauti tofauti.",
"teacherlanding.educatorGuideLinkText":"Mwongozo wa mwalimu",
"teacherlanding.sip":"{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, tovuti ya {abbreviatedSipName}hutoa vipengele na mada mpya kwa ajili ya kuvumbuliwa na kujadiliwa.",
"teacherlanding.sipName":"Scratch katika utendaji",
"teacherlanding.creativeComputing":"{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha ubunifu darasani kupitia kwa tarakilishi",
"teacherlanding.scratchEdLinkText":"Kutumia kompyuta kwa ubunifu",
"teacherlanding.studentResourcesTitle":"Nyenzo za Wanafunzi",
"teacherlanding.tutorialResources":"Vumbua {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kutunga hadithi, ukaragushi, michezo, na zaidi!",
"teacherlanding.tutorialLink":"Mafunzo ya Scratch",
"teacherlanding.codingCardLink":"Kadi za usimbaji",
"teacherlanding.ideasResources":"Tembelea {ideasPageLink}kwa nyenzo zaidi kutoka kwa Timu ya Scratch",
"teacherlanding.ideasLink":"Ukurasa wa kubuni Mawazo ",
"teacherlanding.connectingWithEducators":"Kuungana na Walimu Wengine",
"teacherlanding.teachingWithScratch":"Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na nyenzo zinazohusiana na kufundisha na Scratch.",
"teacherlanding.teachingWithScratchLink":"Kufundisha kwa kutumia Scratch",
"teacherlanding.attendMeetups":"Hudhuria {meetupLink} ili kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga mkono ubunifu unaoendelezwa na tarakilishi katika aina yake yote.",
"teacherlanding.meetupLink":"Mikutano ya Walimu wa ScratchEd",
"teacherlanding.moreGetStartedTitle":"Namna Nyingine za Kuanza",
"teacherlanding.csFirst":"Mitaala ya bure kutoka Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.",
"teacherlanding.codeClub":"Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kutunga hadithi shirikishi, michezo, na ukaragushi.",
"teacherlanding.signupTips":"Jisajili upokee {signupTipsLink}kutoka kwa Timu ya Scratch",
"teacherlanding.signupTipsLink":"visasisho na vidokezo",
"teacherlanding.accountsTitle":"Akaunti za mwalimu katika Scratch",
"teacherlanding.accountsDescription":"Ikiwa wewe ni mwalimu, unaweza kuagiza akaunti ya mwalimu Scratch ambayo itarahisisha kufungua akaunti za vikundi vya wanafunzi na kuangalia miradi na maoni ya wanafunzi . Kujifunza zaidi tazama <a href=\"/educators/faq\"> Ukurasa wa Maswali ya Akaunti ya Ualimu</a>.",