"teacherlanding.intro":"wanafunzi wako waeza kutumia scratch kwa msimbo kuweka hadithi zao wenyewe zinazoingiliana, uhaijishaji na michezo. katika mchakato, wanasoma fikiria kwa ubunifu, fikiria kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — ustadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. walimu wanaunganisha Scratch kwenye mada na vikundi kwa umri.",
"teacherlanding.sip":"{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, {abbreviatedSipName}wavuti ina mada mpya ya kuchunguza na kujadili.",
"teacherlanding.sipName":"Scratch katika Mazoezi",
"teacherlanding.seeLatest":"Tazama ya hivi karibuni",
"teacherlanding.creativeComputing":"{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha tarakilishi ya ubunifu darasani.",
"teacherlanding.scratchEdLinkText":"Ubunifu wa tarakilishi",
"teacherlanding.studentResourcesTitle":"Rasilimali kwa Wanafunzi",
"teacherlanding.tutorialResources":"Chunguza {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kuunda hadithi, uhuishaji, michezo, na zaidi!",
"teacherlanding.connectingWithEducators":"Kuungana na Waelimishaji wengine",
"teacherlanding.teachingWithScratch":"Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na rasilimali zinazohusiana na kufundisha na scratch.",
"teacherlanding.attendMeetups":"Hudhuria {meetupLink} kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga ubunifu wa kitabibu katika aina zote.",
"teacherlanding.meetupLink":"Mkutano wa Waelimishaji wa scratchEd",
"teacherlanding.csFirst":"Mitaala ya bure ya Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.",
"teacherlanding.codeClub":"Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kufanya hadithi zinazoingiliana, michezo, na michoro.",
"teacherlanding.accountsDescription":"Ikiwa wewe ni mkufunzi unaweza kuagiza akaunti ya mwalimu katika scratch ambayo itarahisisha kufungua akaunti za vikundi za wanafunzi na kuangalia miradi ya wanafunzi na maoni.Kujifunza zaidi angalia <a href=\"/educators/faq\"> Ukurasa wa Maswali ya Akaunti ya Ualimu</a>.",