{ "teacherlanding.title": "Scratch ya Waalimu", "teacherlanding.intro": "wanafunzi wako waeza kutumia scratch kwa msimbo kuweka hadithi zao wenyewe zinazoingiliana, uhaijishaji na michezo. katika mchakato, wanasoma fikiria kwa ubunifu, fikiria kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — ustadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. walimu wanaunganisha Scratch kwenye mada na vikundi kwa umri.", "teacherlanding.resourcesTitle": "Nyenzo", "teacherlanding.connectTitle": "Unganisha", "teacherlanding.newsTitle": "Habari", "teacherlanding.teacherAccountsTitle": "Akaunti za Waalimu", "teacherlanding.educatorResourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu", "teacherlanding.educatorGuides": "{educatorLink}itakuonyesha jinsi ya kuandaa na kuendesha Darasa za Scratch na Warsha.", "teacherlanding.educatorGuideLinkText": "mwongozo wa mkufunzi", "teacherlanding.sip": "{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, {abbreviatedSipName}wavuti ina mada mpya ya kuchunguza na kujadili.", "teacherlanding.sipName": "Scratch katika Mazoezi", "teacherlanding.abbreviatedSipName": "SiP", "teacherlanding.howUsingScratch": "Jinsi Waelimishaji Wanatumia Scratch", "teacherlanding.seeLatest": "Tazama ya hivi karibuni", "teacherlanding.creativeComputing": "{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha tarakilishi ya ubunifu darasani.", "teacherlanding.scratchEdLinkText": "Ubunifu wa tarakilishi", "teacherlanding.studentResourcesTitle": "Rasilimali kwa Wanafunzi", "teacherlanding.tutorialResources": "Chunguza {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kuunda hadithi, uhuishaji, michezo, na zaidi!", "teacherlanding.tutorialLink": "mafunzo ya Scratch", "teacherlanding.codingCardResources": "Pakua na uchapishe {codingCardLink} kwa maelekezo ya hatua kwa hatua kwa miradi mbali mbali.", "teacherlanding.codingCardLink": "kadi za msimbo", "teacherlanding.ideasResources": "Tembelea {ideasPageLink}kwa rasilimali zaidi kutoka Timu ya Scratch", "teacherlanding.ideasLink": "ukurasa wenye maoni", "teacherlanding.connectingWithEducators": "Kuungana na Waelimishaji wengine", "teacherlanding.teachingWithScratch": "Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na rasilimali zinazohusiana na kufundisha na scratch.", "teacherlanding.teachingWithScratchLink": "kufundisha kwa kutumia scratch", "teacherlanding.attendMeetups": "Hudhuria {meetupLink} kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga ubunifu wa kitabibu katika aina zote.", "teacherlanding.meetupLink": "Mkutano wa Waelimishaji wa scratchEd", "teacherlanding.moreGetStartedTitle": "Njia zaidi za kujiunga", "teacherlanding.csFirst": "Mitaala ya bure ya Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.", "teacherlanding.csFirstLink": "CS First", "teacherlanding.codeClub": "Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kufanya hadithi zinazoingiliana, michezo, na michoro.", "teacherlanding.codeClubLink": "Code Club", "teacherlanding.newsAndUpdatesTitle": "habari na visasisho", "teacherlanding.followUs": "Tufuate kwenye {facebookLink} ,{twitterLink}, na {instagramLink}!", "teacherlanding.signupTips": "Jisajili kupokea {signupTipsLink}kutoka Timu ya Scratch", "teacherlanding.signupTipsLink": "sahihisho na vidokezo", "teacherlanding.accountsTitle": "Akaunti za mkufunzi katika scratch", "teacherlanding.accountsDescription": "Ikiwa wewe ni mkufunzi unaweza kuagiza akaunti ya mwalimu katika scratch ambayo itarahisisha kufungua akaunti za vikundi za wanafunzi na kuangalia miradi ya wanafunzi na maoni.Kujifunza zaidi angalia Ukurasa wa Maswali ya Akaunti ya Ualimu.", "teacherlanding.requestAccount": "Agiza akaunti" }