scratch-l10n/www/scratch-website.ideas-l10njson/sw.json

55 lines
No EOL
4.1 KiB
JSON

{
"ideas.headerMessage": "Utaunda nini?",
"ideas.headerButtonMessage": "Chagua funzo",
"ideas.gettingStartedTitle": "Hatua ya Kuanza",
"ideas.gettingStartedText": "Mgeni katika Scratch? Jaribu Mafunzo ya Kuanza",
"ideas.tryIt": "Ijaribu!",
"ideas.activityGuidesTitle": "Miongozo ya shughuli",
"ideas.activityGuidesText": "Je, unataka kutengeza nini na Scratch? Kwa kila utendaji unaweza kujaribu Mafunzo, pakua mkusanyiko wa Kadi zenye utendaji au tazama Mwongozo wa Waalimu .",
"ideas.animateANameTitle": "Fanya ukaragushi wa jina",
"ideas.animateANameDescription": "Uhuisha herufi za jina lako la mtumiaji, herufi anzisha au neno unalopenda",
"ideas.animateACharacterTitle": "Fanya ukaragushi wa mhusika",
"ideas.animateACharacterDescription": "Wahuishe wahusika na ukaragushi",
"ideas.makeMusicTitle": "Tengeneza Muziki",
"ideas.makeMusicDescription": "Chagua ala, ongeza sauti na ubonyeze vibonyi ili kucheza muziki",
"ideas.createAStoryTitle": "Tunga Hadithi",
"ideas.createAStoryDescription": "Chagua wahusika, ongeza mazungumzo kisha uhuishe hadithi yako ",
"ideas.chaseGameTitle": "Unda Mchezo wa Kufukuzana",
"ideas.chaseGameDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unamfukuza mhusika ili kupata alama.",
"ideas.videoSensingTitle": "Kuhisi Video",
"ideas.videoSensingDescription": "Shirikisha mradi kwa kutumia kiendelezi cha kihisio cha Video.",
"ideas.seeAllTutorials": "Ona Mafunzo Yote",
"ideas.cardsTitle": "Pata Mkusanyiko wote wa Kadi za Usimbaji",
"ideas.cardsText": "Ukiwa na Kadi usimbaji wa Scratch, unaweza kujifunza kuunda michezo shirikishi, hadithi, muziki, ukaragushi, na zaidi!",
"ideas.starterProjectsTitle": "Miradi ya Kuanzia",
"ideas.starterProjectsText": "Unaweza kucheza na miradi ya kuanzia na ubadilishe au uboreshe ili kutengeneza ubunifu wako mwenyewe.",
"ideas.starterProjectsButton": "Fumbua Miradi ya kuanzia",
"ideas.tryTheTutorial": "Jaribu funzo",
"ideas.codingCards": "Kadi za usimbaji",
"ideas.educatorGuide": "Mwongozo wa mwalimu",
"ideas.desktopEditorHeader": "Pakua Scratch App",
"ideas.desktopEditorBody": "Ili kuunda miradi bila muunganisho wa mtandao, unaweza <a href=\"/download\">kupakua Scratch app</a>.",
"ideas.desktopEditorBodyHTML": "To create projects without an Internet connection, you can <a>download the Scratch app</a>.",
"ideas.questionsHeader": "Maswali",
"ideas.questionsBody": "Una maswali zaidi? Tazama <a href=\"/info/faq\">Maswali yanayoulizwa mara kwa mara</a> au tembelea <a href=\"/discuss/7/\">Ukumbi wa msaada wa kuandika hati </a>",
"ideas.questionsBodyHTML": "Have more questions? See the <faq>Frequently Asked Questions</faq> or visit the <forum>Help with Scripts Forum</forum>.",
"ideas.cardsPurchase": "Nunua nakala zilizochapishwa ",
"ideas.MakeItFlyTitle": "fanya ipae",
"ideas.MakeItFlyDescription": "Chagua mhusika yeyote na fanya aruke!",
"ideas.RaceTitle": "Kimbia hadi mwisho",
"ideas.RaceDescription": "Tengeneza mchezo ambapo wahusika wawili wanashindana kukimbia ",
"ideas.HideAndSeekTitle": "Kibemasa",
"ideas.HideAndSeekDescription": "Tengeneza mchezo wa kibemasa ambapo wahusika wanatokeza na kutoweka",
"ideas.FashionTitle": "Mchezo wa Mtindo",
"ideas.FashionDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unakivalisha kihusika chako nguo na mitindo tofauti tofauti.",
"ideas.PongTitle": "Mchezo wa Pong",
"ideas.PongDescription": "Tengeneza mchezo wa mpira unaodunda wenye sauti, pointi na madoido mengine. ",
"ideas.ImagineTitle": "Buni Ulimwengu",
"ideas.ImagineDescription": "Buni ulimwengu ambao unaweza kufanya kitu chochote.",
"ideas.DanceTitle": "Tucheze",
"ideas.DanceDescription": "Buni mandhari hai ya muziki ukitumia muziki na hatua za kudensi.",
"ideas.CatchTitle": "Mchezo wa kukamata",
"ideas.CatchDescription": "Tengeneza mchezo wa kukamata vitu vinavyoanguka kutoka angani",
"ideas.VirtualPetTitle": "Mnyama-kipenzi sibayana",
"ideas.VirtualPetDescription": "Unda mnyama-kipenzi anayeshirikisha na ambaye anaweza kula, kunywa, na kucheza."
}