{ "ideas.headerMessage": "Utaunda nini?", "ideas.headerButtonMessage": "Chagua funzo", "ideas.gettingStartedTitle": "Hatua ya Kuanza", "ideas.gettingStartedText": "Mgeni katika Scratch? Jaribu Mafunzo ya Kuanza", "ideas.tryIt": "Ijaribu!", "ideas.activityGuidesTitle": "Miongozo ya shughuli", "ideas.activityGuidesText": "Je, unataka kutengeza nini na Scratch? Kwa kila utendaji unaweza kujaribu Mafunzo, pakua mkusanyiko wa Kadi zenye utendaji au tazama Mwongozo wa Waalimu .", "ideas.animateANameTitle": "Fanya ukaragushi wa jina", "ideas.animateANameDescription": "Uhuisha herufi za jina lako la mtumiaji, herufi anzisha au neno unalopenda", "ideas.animateACharacterTitle": "Fanya ukaragushi wa mhusika", "ideas.animateACharacterDescription": "Wahuishe wahusika na ukaragushi", "ideas.makeMusicTitle": "Tengeneza Muziki", "ideas.makeMusicDescription": "Chagua ala, ongeza sauti na ubonyeze vibonyi ili kucheza muziki", "ideas.createAStoryTitle": "Tunga Hadithi", "ideas.createAStoryDescription": "Chagua wahusika, ongeza mazungumzo kisha uhuishe hadithi yako ", "ideas.chaseGameTitle": "Unda Mchezo wa Kufukuzana", "ideas.chaseGameDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unamfukuza mhusika ili kupata alama.", "ideas.videoSensingTitle": "Kuhisi Video", "ideas.videoSensingDescription": "Shirikisha mradi kwa kutumia kiendelezi cha kihisio cha Video.", "ideas.seeAllTutorials": "Ona Mafunzo Yote", "ideas.cardsTitle": "Pata Mkusanyiko wote wa Kadi za Usimbaji", "ideas.cardsText": "Ukiwa na Kadi usimbaji wa Scratch, unaweza kujifunza kuunda michezo shirikishi, hadithi, muziki, ukaragushi, na zaidi!", "ideas.starterProjectsTitle": "Miradi ya Kuanzia", "ideas.starterProjectsText": "Unaweza kucheza na miradi ya kuanzia na ubadilishe au uboreshe ili kutengeneza ubunifu wako mwenyewe.", "ideas.starterProjectsButton": "Fumbua Miradi ya kuanzia", "ideas.tryTheTutorial": "Jaribu funzo", "ideas.codingCards": "Kadi za usimbaji", "ideas.educatorGuide": "Mwongozo wa mwalimu", "ideas.desktopEditorHeader": "Pakua Scratch App", "ideas.desktopEditorBody": "Ili kuunda miradi bila muunganisho wa mtandao, unaweza kupakua Scratch app.", "ideas.desktopEditorBodyHTML": "To create projects without an Internet connection, you can download the Scratch app.", "ideas.questionsHeader": "Maswali", "ideas.questionsBody": "Una maswali zaidi? Tazama Maswali yanayoulizwa mara kwa mara au tembelea Ukumbi wa msaada wa kuandika hati ", "ideas.questionsBodyHTML": "Have more questions? See the Frequently Asked Questions or visit the Help with Scripts Forum.", "ideas.cardsPurchase": "Nunua nakala zilizochapishwa ", "ideas.MakeItFlyTitle": "fanya ipae", "ideas.MakeItFlyDescription": "Chagua mhusika yeyote na fanya aruke!", "ideas.RaceTitle": "Kimbia hadi mwisho", "ideas.RaceDescription": "Tengeneza mchezo ambapo wahusika wawili wanashindana kukimbia ", "ideas.HideAndSeekTitle": "Kibemasa", "ideas.HideAndSeekDescription": "Tengeneza mchezo wa kibemasa ambapo wahusika wanatokeza na kutoweka", "ideas.FashionTitle": "Mchezo wa Mtindo", "ideas.FashionDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unakivalisha kihusika chako nguo na mitindo tofauti tofauti.", "ideas.PongTitle": "Mchezo wa Pong", "ideas.PongDescription": "Tengeneza mchezo wa mpira unaodunda wenye sauti, pointi na madoido mengine. ", "ideas.ImagineTitle": "Buni Ulimwengu", "ideas.ImagineDescription": "Buni ulimwengu ambao unaweza kufanya kitu chochote.", "ideas.DanceTitle": "Tucheze", "ideas.DanceDescription": "Buni mandhari hai ya muziki ukitumia muziki na hatua za kudensi.", "ideas.CatchTitle": "Mchezo wa kukamata", "ideas.CatchDescription": "Tengeneza mchezo wa kukamata vitu vinavyoanguka kutoka angani", "ideas.VirtualPetTitle": "Mnyama-kipenzi sibayana", "ideas.VirtualPetDescription": "Unda mnyama-kipenzi anayeshirikisha na ambaye anaweza kula, kunywa, na kucheza." }