scratch-l10n/www/scratch-website.educator-landing-l10njson/sw.json
2021-02-15 03:14:00 +00:00

44 lines
No EOL
4.3 KiB
JSON

{
"teacherlanding.title": "Scratch ya Waalimu",
"teacherlanding.intro": "Wanafunzi wako wanaweza kutumia Scratch kutunga hadithi shirikishi, ukaragushi na michezo. Katika mchakato huo, wanajufunza jinsi ya kufikiri kwa ubunifu, kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — stadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. Tayari walimu wanahusisha Scratch kwenye masomo na mada mbalimbali ya masomo wakilenga umri tofauti tofauti.",
"teacherlanding.resourcesTitle": "Nyenzo",
"teacherlanding.connectTitle": "Unganisha",
"teacherlanding.newsTitle": "Habari",
"teacherlanding.teacherAccountsTitle": "Akaunti za Waalimu",
"teacherlanding.educatorResourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu",
"teacherlanding.educatorGuides": "{educatorLink}itakuonyesha jinsi ya kuandaa na kuendesha Darasa za Scratch na Warsha.",
"teacherlanding.educatorGuideLinkText": "Mwongozo wa mwalimu",
"teacherlanding.sip": "{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, tovuti ya {abbreviatedSipName}hutoa vipengele na mada mpya kwa ajili ya kuvumbuliwa na kujadiliwa.",
"teacherlanding.sipName": "Scratch katika utendaji",
"teacherlanding.abbreviatedSipName": "SiP",
"teacherlanding.howUsingScratch": "Jinsi Walimu Wanatumia Scratch",
"teacherlanding.seeLatest": "Tazama ya hivi karibuni",
"teacherlanding.creativeComputing": "{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha ubunifu darasani kupitia kwa tarakilishi",
"teacherlanding.scratchEdLinkText": "Kutumia kompyuta kwa ubunifu",
"teacherlanding.studentResourcesTitle": "Nyenzo za Wanafunzi",
"teacherlanding.tutorialResources": "Vumbua {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kutunga hadithi, ukaragushi, michezo, na zaidi!",
"teacherlanding.tutorialLink": "Mafunzo ya Scratch",
"teacherlanding.codingCardResources": "Pakua na uchapishe {codingCardLink} kwa maelekezo ya hatua kwa hatua kwa miradi mbali mbali.",
"teacherlanding.codingCardLink": "Kadi za usimbaji",
"teacherlanding.ideasResources": "Tembelea {ideasPageLink}kwa nyenzo zaidi kutoka kwa Timu ya Scratch",
"teacherlanding.ideasLink": "Ukurasa wa kubuni Mawazo ",
"teacherlanding.connectingWithEducators": "Kuungana na Walimu Wengine",
"teacherlanding.teachingWithScratch": "Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na nyenzo zinazohusiana na kufundisha na Scratch.",
"teacherlanding.teachingWithScratchLink": "Kufundisha kwa kutumia Scratch",
"teacherlanding.attendMeetups": "Hudhuria {meetupLink} ili kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga mkono ubunifu unaoendelezwa na tarakilishi katika aina yake yote.",
"teacherlanding.meetupLink": "Mikutano ya Walimu wa ScratchEd",
"teacherlanding.moreGetStartedTitle": "Namna Nyingine za Kuanza",
"teacherlanding.csFirst": "Mitaala ya bure kutoka Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.",
"teacherlanding.csFirstLink": "CS First",
"teacherlanding.codeClub": "Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kutunga hadithi shirikishi, michezo, na ukaragushi.",
"teacherlanding.codeClubLink": "Code Club",
"teacherlanding.newsAndUpdatesTitle": "Habari za Hivi punde na Mpya",
"teacherlanding.followUs": "Tufuate kwenye {facebookLink} ,{twitterLink}, na {instagramLink}!",
"teacherlanding.signupTips": "Jisajili upokee {signupTipsLink}kutoka kwa Timu ya Scratch",
"teacherlanding.signupTipsLink": "visasisho na vidokezo",
"teacherlanding.accountsTitle": "Akaunti za mwalimu katika Scratch",
"teacherlanding.accountsRequestInfo": "Kama mwalimu, unaweza kusijasili kwa Akaunti ya Mwalimu wa Scratch, itakayokuwezesha kusajili wanafunzi, kusimamia miradi na maoni yao. Kujifunza zaidi tazama {setupGuideLink}na{teacherAccountFaqLink}.",
"teacherlanding.accountsSetupGuide": "Mwongozo wa Kusajili Akaunti ya Mwalimu",
"teacherlanding.accountsFaqPage": "Ukurasa wa Maswali ya Mara kwa Mara kuhusu Akaunti ya Mwalimu",
"teacherlanding.requestAccount": "Agizia Akaunti"
}