mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2024-12-22 21:52:35 -05:00
pull new editor translations from Transifex
This commit is contained in:
parent
ce27c4ada5
commit
865a5135bd
2 changed files with 3 additions and 3 deletions
|
@ -184,7 +184,7 @@
|
||||||
"faq.noInternetTitle": "Je! Kuna njia ya wanafunzi kutumia Scratch bila unganisho la mtandao?",

"faq.noInternetBody": "Ndiyo. Ni {downloadLink} toleo linaloweza kupakuliwa la Scratch ambalo linaweza kutumiwa kwenye kompyuta za mkononi na tarakilishi. Hivi sasa, programu ya Scratch inapatikana kwenye vifaa vya Windows na Mac.",

"faq.communityTitle": "Je, ninaweza kuwatoa wanafunzi wangu kutoka katika jamii ya mtandao vipi?",

"faq.communityBody": "Jumuiya ya mtandaoni ya Scratch hutoa njia kwa vijana kushiriki, kushirikiana, na kujifunza na wenzao ndani ya jamii inayosimamiwa na Scratch {cgLink}. Walakini, tunaelewa kuwa waalimu wengine wanapendelea kwamba wanafunzi wao wasishiriki katika jamii ya mtandaoni. Waalimu hawa wanaweza kutamani kusakinisha Scratch ya Eneo Kazi, ambayo inatumika nje ya mtandao na kwenye komputa.",
|
"faq.communityBody": "Jamii ya mtandaoni ya Scratch hutoa njia kwa vijana kushiriki, kushirikiana, na kujifunza na wenzao ndani ya jamii kadirifu inayosimamiwa na Scratch {cgLink}. Walakini, tunaelewa kuwa walimu wengine wanapendelea wanafunzi wao wasishiriki katika jamii ya mtandaoni. Walimu hawa wanaweza taka kusakinisha programu ya Scratch, ambayo inatumika nje ya mtandao na kwenye kompyuta au kipakatanishi.",
|
||||||
"faq.teacherAccountTitle": "Akaunti ya mwalimu ya Scratch ni nini?",

"faq.teacherAccountBody": "Akaunti ya walimu ya Scratch inawapa waalimu vipengele ziada vinavyowawezesha kusimamia ushiriki wa wanafunzi kwenye Scratch, pamoja na uwezo wa kuunda akaunti za wanafunzi, kupanga miradi ya wanafunzi kwenye studio, na kuangalia maoni ya wanafunzi. Kwa habari zaidi juu ya Akaunti ya Mwalimu wa Scratch, angalia {eduFaqLink}",

"faq.eduFaqLinkText": "Akaunti za mwalimu MMM",

@ -192,7 +192,7 @@
|
||||||
"faq.requestBody": "Unaweza kuagiza Akaunti ya Mwalimu ya Scratch kutoka kwa {educatorsLink} kwenye Scratch. Tutahitaji taarifa zaidi wakati wa mchakato wa usajili ili kuthibitisha jukumu lako kama mwalimu.",

"faq.dataTitle": "Scratch inachukua data ipi kutoka kwa wanafunzi.",

"faq.dataBody": "Mwanafunzi anapojiandikisha kwanza kwenye Scratch, tunauliza data ya kimsingi ya kidemografia ikiwa ni pamoja na jinsia, umri (mwezi wa kuzaliwa na mwaka), nchi, na anwani ya barua pepe kwa uthibitisho. Data hii inatumika (katika fomu iliyojumuishwa) katika masomo ya utafiti uliokusudiwa kuboresha uelewa wetu wa jinsi watu wanavyojifunza na Scratch. Wakati mwalimu anatumia Akaunti ya Mwalimu ya Scratch ili kuunda akaunti za wanafunzi kwa wingi, wanafunzi hawahitajika kutoa anwani ya barua pepe kwa usanidi wa akaunti zao.",

"faq.lawComplianceTitle": "Je! Toleo la mkondoni la Scratch linaambatana na sheria za faragha za serikali za Amerika na za serikali? ",
|
"faq.lawComplianceTitle": "Je, toleo la mtandaoni la Scratch linaambatana na sheria za faragha ya taarifa za mitaa na shirikisho la Marekani?",
|
||||||
"faq.lawComplianceBody1": "Scratch inajali sana juu ya faragha ya wanafunzi na ya watu wote wanaotumia jukwaa letu. Tumeweka taratibu za kiufundi na za elektroniki kulinda taarifa tunazokusanya kwenye wavuti ya Scratch. Ingawa hatuko katika nafasi ya kutoa dhamana ya kimkataba na kila chombo kinachotumia bidhaa zetu za elimu bure, tunafuata sheria zote za serikali za Amerika ambazo zinatumika kwa MIT na wakfu wa Scratch, shirika ambalo liliunda na linashughulikia Scratch. Tunakuhimiza kusoma sera ya faragha ya Scratch kwa habari zaidi",

"faq.lawComplianceBody2": "Ikiwa ungependa kujenga miradi na Scratch bila kuwasilisha Habari yoyote ya Kibinafsi kwetu, unaweza kupakua {downloadLink} Miradi iliyoundwa katika programu ya Scratch haipatikani na Timu ya Scratch, na kutumia programu ya Scratch haifichua habari yoyote ya kibinafsi ya kubaini isipokuwa unapakia miradi hii kwa jamii ya Scratch mkondoni. "

}
|
}
|
|
@ -4,7 +4,7 @@
|
||||||
"onePointFour.introNote": "{noteLabel} Bado unaweza kushiriki miradi kutoka 1.4 hadi tovuti ya Scratch. Hata hivyo, miradi iliyoundwa katika matoleo mapya ya Scratch haiwezi kufunguliwa katika 1.4.",

"onePointFour.downloads": "Vipakuaji",
|
"onePointFour.downloads": "Vipakuaji",
|
||||||
"onePointFour.macTitle": "Mac OS X",
|
"onePointFour.macTitle": "Mac OS X",
|
||||||
"onePointFour.macBody": "Inaambatana na Mac OSX 10.4 hadi 10.14",
|
"onePointFour.macBody": "Inatangamana na Mac OSX 10.4 hadi 10.14",
|
||||||
"onePointFour.windowsTitle": "Windows",
|
"onePointFour.windowsTitle": "Windows",
|
||||||
"onePointFour.windowsBody": "Inaambatana na Windows 2000, XP, Vista, 7, na 8",

"onePointFour.windowsNetworkInstaller": "Kisakinishi",

Loading…
Reference in a new issue