scratch-l10n/www/scratch-website.boost-l10njson/sw.json

36 lines
3.3 KiB
JSON
Raw Normal View History

2019-10-07 17:46:00 -04:00
{
"boost.headerText": "Kitovu cha {boostLink} kinakuza ubunifu wa LEGO na mota zenye nguvu, hisia ya rangi na zaidi. Kwa kuichanganya na Mchanganyiko, unaweza kujenga viumbe vyako vya roboti, sema hadithi za kiwmili, zalisha watawala mpya wa mchezo, au kitu kingine chochote unachoweza kufikiria.",
"boost.gettingStarted": "Kuanza",
"boost.connectingBoost": "Inaunganisha BOOST kwa Scratch",
"boost.powerBoost": "Washa sensa yako kwa kubonyeza kitufe-meme.\n ",
"boost.useScratch3": "Tumia kihariri {scratch3Link}.",
"boost.addExtension": "Ongeza kiendelezi cha BOOST",
"boost.thingsToTry": "Vitu vya Kujaribu",
"boost.makeAMotorMove": "Fanya mota iende",
"boost.findTurnMotorOnForSeconds": "Tafuta bloku ya {turnMotorOnForSeconds} na kuibonyeza",
"boost.turnMotorOnForSeconds": "“washa mota A kwa sekunde 1”",
"boost.connectALegoBeam": "Unganisha boriti la LEGO na ekseli kwa mota A na ubonyeze bloki tena ili kuifanya iweze kuzunguka.",
"boost.starterProjects": "Miradi ya Kuanzia",
"boost.troubleshootingTitle": "Kusuluhisha",
"boost.avoidFirmwareUpdateTitle": "Je, una shida ya kuunganisha au kutumia bloku za mota?",
"boost.avoidFirmwareUpdateText": "tunapendekeza usijaribu kusasisha programu ya maunzi ya BOOST kwa sasa. Pamoja na wanakikoa cha LEGO, tunashughulika kutafuta suluhu kwa watumizi waliosasisha programu zao za maunzi. Tunatarajia kuwa na suluhu hivi punde.",
2019-10-07 17:46:00 -04:00
"boost.checkOSVersionTitle": "Hakikisha mfumo wa uendeshaji wako unaendana na kiungo cha Scratch ",
"boost.checkOSVersionText": "Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
"boost.winOSVersionLinkText": "Windows",
"boost.macOSVersionLinkText": "Mac OS",
"boost.closeScratchCopiesTitle": "Funga nakala zingine za Scratch",
"boost.closeScratchCopiesText": "Ni nakala moja tu ya Scratch ndiyo inaweza kuunganishinwa na BOOST kwa wakati mmoja. Iwapo Scratch imefunguliwa katika vichupo vingine vya kivinjari, vifunge na ujaribu tena.",
"boost.otherComputerConnectedTitle": "Hakikisha kuwa kompyuta yoyote haijaunganishwa na sensa yako",
"boost.otherComputerConnectedText": "Kompyuta moja tu ndio inaweza kuunganishwa na BOOST kwa wakati mmoja. Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na sensa yako, tenganisha sensa hiyo, usitishe programu ya Scratch kwenye kompyuta halafu ujaribu tena.",
"boost.imgAltBoostIllustration": "Mchoro wa BOOST ya LEGO.",
"boost.imgAltConnectALegoBeam": "Kitovu cha BOOST ya LEGO kina ekseli na boriti fupi iliyounganishwa na mota A.",
"boost.feedTheCat": "Lisha Paka",
"boost.feedTheCatDescription": "lisha roboti ya paka kwa matofali ya LEGO yalio na rangi",
"boost.imgAltFeedTheCat": "Mradi wa Scratch na paka mweupe",
"boost.driving": "Kuendesha",
"boost.drivingDescription": "Endesha roboti yenye magurudumu huku ukicheza muziki ",
"boost.imgAltDriving": "Mradi wa Scratch wenye roboti zenye magurudumu na macho",
"boost.walkAround": "Tembea Kokote",
"boost.walkAroundDescription": "Unda kithibiti chako ili uweze kukisogeza kihusika kwenye skrini.",
"boost.imgAltwalkAround": "Mradi wa Scratch na mhusika kwenye hali ya nyuma ya kijani"
}