"conference-2021.desc1":"Ungana nasi katika Scratch Around the World, mkutano kwenye mtandao wa walimu waliovutiwa na masomo bunifu kwa Scratch.",
"conference-2021.desc1a":"Ingawaje hatuwezi kukutana na kila mtu mwaka huu, tunamsisimko kupata njia za kuungana na kushirikiana na wengine katika jamii ya walimu wa Scratch duniani.",
"conference-2021.desc3":"Mkutano utakuwa usio na malipo.",
"conference-2021.stayDesc2":"Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Timu ya Mkutano wa Scratch kwa {emailLink}",
"conference-2021.organizedBy":"Mkutano wa Scratch umeandaliwa na kikundi cha Lifelong Kindergarten katika Maabara ya MIT Media kwa kushirikiana na Taasisi ya Scratch Foundation."