{ "conference-2021.title": "Scratch duniani kote", "conference-2021.subtitle": "Mkutano kwenye Mtandao", "conference-2021.dateDesc": "Julai 22, 2021", "conference-2021.locationDetails": "Mtandaoni", "conference-2021.date": "Lini:", "conference-2021.location": "Wapi:", "conference-2021.desc1": "Ungana nasi katika Scratch Around the World, mkutano kwenye mtandao wa walimu waliovutiwa na masomo bunifu kwa Scratch.", "conference-2021.desc1a": "Ingawaje hatuwezi kukutana na kila mtu mwaka huu, tunamsisimko kupata njia za kuungana na kushirikiana na wengine katika jamii ya walimu wa Scratch duniani.", "conference-2021.desc3": "Mkutano utakuwa usio na malipo.", "conference-2021.register": "Nenda kwenye ukurasa wa usajili", "conference-2021.stayDesc2": "Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Timu ya Mkutano wa Scratch kwa {emailLink}", "conference-2021.organizedBy": "Mkutano wa Scratch umeandaliwa na kikundi cha Lifelong Kindergarten katika Maabara ya MIT Media kwa kushirikiana na Taasisi ya Scratch Foundation." }