"download.intro":"Unaweza sakinisha kihariri cha Eneo Kazi cha Scratch kufanya kazi kwenye miradi bila kuunganishwa kwa mtandao. Hili toleo litafanya kazi kwenye Windows na MacOs",
"download.startScratchDesktop":"Anzisha Scratch ya Eneo-kazi",
"download.howDoIInstall":"Ninawezaje kusanikisha Scratch ya Eneo-kazi vipi?",
"download.whenSupportLinux":"Scracth ya Eneo-kazi, toleo la Linux litakuwa tayari lini?",
"download.supportLinuxAnswer":"Scratch ya Eneo kazi kwenye Linux kwa sasa hivi haijategemezwa. Tunafanya kazi na washirika na jamii huria kuamua iwapo kuna jinsi tunaweza kutengeneza toleo la Linux baadaye. Makinika!",
"download.supportChromeOS":"Scracth ya Eneo-kazi, toleo la Chromebooks litakuwa tayari lini?",
"download.supportChromeOSAnswer":"Scratch ya Eneo kazi ya chromebooks kwa sasa hivi haipo tayari. Tunaifanyia kazi na tunatumai kuizindua mwakani 2019 .",
"download.canIShareAnswer":"Hii haipoi kwa sasa. Kwa sasa unaeza hifadhi mradi katika Scratch ya eneo kazi ya, ipakie katika akaunti yako ya Scratch, na ushiriki hapo. Katika toleo la baadaye tutaongeza uwezo wa kupakia kwenye akaunti yako ya Scratch moja kwa moja kwenye Scratch ya eneo kazi."