"general.noDeletionDescription":"Akaunti yako ilipangiwa kufutwa lakini umeingia. Akaunti yako imeamilishwa tena. Ikiwa haukuomba akaunti yako ifutwe, unapaswa {resetLink} ili kuhakikisha kuwa akaunti yako iko salama.",
"general.unsupportedBrowserDescription":"Tunasikitika, Scratch 3.0 haiambatani na kivinjari cha Internet Explorer, Vivaldi, Opera ama Silk. Tunapendekeza ujaribu kivinjari kipya kama Google Chrome, Mozilla Firefox ama Microsoft Edge.",
"installScratchLink.installHeaderTitle":"Kiungo cha kusakinisha Scratch ",
"installScratchLink.downloadAndInstall":"Kiungo cha kupakua na kusakinisha Scratch.",
"installScratchLink.or":"au",
"installScratchLink.directDownload":"Kupakua moja kwa moja",
"installScratchLink.startScratchLink":"Anzisha Kiungo cha Scratch na uhakikishe kinaendesha. Inapaswa kuonekana kwenye mwambaa wa zana yako",
"parents.FaqAgeRangeA":"Ijapokuwa Scratch iliundwa haswa, kwa watoto wa miaka 8 hadi 16, vile vile hutumiwa pia na watu wa rika zote, pamoja na watoto wadogo na wazazi wao.",
"parents.FaqAgeRangeQ":"Umri wa wanaotumia scratch ni upi?",
"parents.FaqResourcesQ":"Nyenzo zinazopatikana za kujifunza Scratch ni zipi?",
"parents.introDescription":"Scratch ni lugha ya programu pamoja na jamii ya mtandaoni ambapo watoto wanaweza kusimba na kushiriki midia shirkishi kama hadithi, michezo na ukaragushi kwa watu mbalimbali ulimwenguni. watoto wanapounda kwa Scrach wanajifunza fikira bunifu, kushirikiana kwa kazi na kufikiria kwa taratibu. Scratch imetengenezwa na inakuzwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten cha Mahabara ya Midia MIT.",
"registration.birthDateStepInfo":"Hii inatusaidia kuelewa kiwango cha umri wa watu wanaotumia Scratch. Tunatumia hii kuthibitisha umiliki wa akaunti ikiwa unawasiliana na timu yetu. Taarifa hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.checkOutResources":"Anzia kwa Nyenzo",
"registration.checkOutResourcesDescription":"Vumbua zana za walimu na walimui zilizoandikwa na wanaScratch zinazojumuisha<a href='/educators#resources'> vidokezo, mafunzo na miongozo</a>.",
"registration.choosePasswordStepDescription":"Chapa nywila mpya ya akaunti yako. Utatumia nywila hii wakati mwingine utakapo ingia kwenye Scratch",
"registration.genderStepTitle":"Jinsia yako ni gani?",
"registration.genderStepDescription":"Scratch inawakaribisha watu wa jinsia zote. Daima tutaweka habari hii faragha.",
"registration.genderStepInfo":"Hii inatusaidia kuelewa ni akina nani wanatumia Scratch, ili tuweze kukuza ushiriki. Habari hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.waitForApprovalDescription":"Unaweza kuingia kwenye Akaunti yako ya Scratch kwa sasa, lakini huduma maalum kwa Walimu hazijakuwa tayari. Habari yako inakaguliwa. Tafadhali kuwa na subira, hatua za kutoa idhini inaweza kuchukua hadi siku moja. Utapokea barua pepe inayoonyesha kuwa akaunti yako imesasishwa mara tu akaunti yako itakapothibitishwa.",
"registration.welcomeStepDescription":"Umeweza kuunda akaunti ya Scratch! Sasa umejiunga na darasa:",
"registration.welcomeStepDescriptionNonEducator":"Umeingia sasa! Unaweza kuanza kuvumbua na kuunda miradi.",
"registration.welcomeStepInstructions":"Unataka kushiriki na kutoa maoni? Bonyeza kiungo kwenye barua pepe ambayo tumetuma kwa {email}.",
"registration.welcomeStepPrompt":"Anza kwa kubonyeza kitufe kifuatacho.",
"report.error":"Kumetokea hitilafu wakati wa kujaribu kutuma ujumbe wako. Tafadhali jaribu tena.",
"report.project":"Ripoti ya Mradi",
"report.projectInstructions":"Kutoka kwa menyu inayoshuka chini, tafadhali chagua sababu kwa nini unahisi mradi huu hauna nidhamu au haifai au hukiuka {CommunityGuidelinesLink}.",
"report.promptCopy":"Tafadhali toa kiungo cha mradi wa awali",
"report.promptUncredited":"Tafadhali toa viungo vinavyorelea mada zisizokuwa na kitambulisho cha wamiliki.",
"report.promptScary":"Tafadhali sema ni kwanini mradi huo unadhalimu sana au ni wa kutisha",
"report.promptLanguage":"Tafadhali sema ni wapi lugha isiyofaa inatokea katika mradi (Kwa mfano: Vidokezo & Sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk)",
"report.promptMusic":"Tafadhali taja jina la faili ya sauti iliyona muziki usiofaa",
"report.promptPersonal":"Tafadhali taja ni wapi taarifa ya kibinafsi inashirikishwa (Kwa mfano: Vidokezo na sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk).",
"report.promptGuidelines":"Tafadhali toa sababu mahsusi kwa nini mradi huu haufuati Miongozo yetu ya Jamii",
"report.promptImage":"Jafadhali sema jina la kihusika au mandhari ya jukwaa iliyo na picha isiyofaa",
"report.tooLongError":"Hiyo ni ndefu sana! Tafadhali tafuta njia ya kufupisha maandishi yako",
"report.tooShortError":"Hiyo ni fupi sana. Tafadhali eleza kwa undani yale yasiyofaa au yaliyokosa nidhamu kuhusu mradi huo",
"comments.deleteModal.body":"Futa maoni haya? Ikiwa maoni yanadhalimu au ni ya kukosa nidhamu, tafadhali bonyeza Ripoti ili kujulisha Timu ya Scratch.",
"comments.isEmpty":"Hauwezi kutuma bila kuchapa maoni",
"comments.isFlood":"Woah, inaonekana kama unapeana maoni haraka sana. Tafadhali subiri muda kiasi kati ya machapisho.",
"comments.isBad":"Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comments.hasChatSite":"Uh! Maoni yanarejelea kiungo cha wavuti uliyo na gumzo lisilokadiriwa. Kwa sababu za kiusalama, tafadhali usitumie kiungo cha tovuti hizi!",
"comments.isSpam":"Hmm, inaonekana kama umetumia maoni sawa mara kadhaa. Tafadhali usiudhi kwa kutuma maoni taka.",
"comments.isMuted":"Hmm, kipelelezi kimetambua kuwa maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata nidhamu ya Scratch, kwa hivyo akaunti yako imesitishwa kwa siku nzima. ",
"comments.isUnconstructive":"Hmm, Kipelelezi kinikisia kuwa maoni yako yanaweza kuwa dhalimu na yaliyokosa nidhamu. Kumbuka miradi mingi kwenye Scratch imetengenezwa na watu ambao wanajifunza kuandilka programu.",
"comments.isDisallowed":"Hmm, inaonekana maoni yamezimwa kwa ukurasa huu. : /",
"comments.isIPMuted":"Samahani, Timu ya Scratch ililazimika kuzuia mtandao wako kushiriki maoni au miradi kwa sababu ilitumiwa kukiuka miongozo yetu ya jamii mara kadhaa. Bado unaweza kushiriki maoni na miradi kutoka kwa mtandao mwingine. Ikiwa ungetaka kukata rufaa kuhusu kizuiliwa huku, unaweza kuwasiliana na appeals@scratch.mit.edu na Nambari ya Kesi {appealId}",
"comments.isTooLong":"Maoni yako ni marefu sana! tafadhali tafuta namna ya kuyafupisha matini yako",
"comments.error":"Oops! Pametokea hitilafu wakati wa kuchapisha maoni yako",