"download.title":"Kihariri cha Scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao",
"download.intro":"Unaweza kusanikisha kihariri cha Scratch 2.0 ili kuunda miradi bila kuungisha kwenye mtandaoni. Hili toleo litafanya vizuri kwa Windows na MacOS.",
"download.updatesBody":"Kihariri cha nje ya mtandaoni kinaweza kujisasisha chenyewe (kwa idhini ya mtumiaji). Itaangalia hali usasishaji wakati wa kuwasha kompyuta ama unaweza kutumia amri ya \"angalia sasisho\" kwenye menyu ya faili ",
"download.otherVersionsOlder":"Kama una tarakilishi ya awali, ama hauwezi kusanikisha kihariri Scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao, unaweza kujaribu kusanikisha <a href=\"http://scratch.mit.edu/scratch_1.4/\">Scratch 1.4 </a>.",
"download.otherVersionsAdmin":"Kama wewe ni msimamizi wa mifumo: Scratch 2.0 MSI imetengenezwa na kukuzwa na mwanachama wa jamii na kuhifadhiwa ili kupakuliwa na umma<a href=\"http://llk.github.io/scratch-msi/\">hapa</a>.",
"download.knownIssuesOne":"Ikiwa kihariri chako kinachotumika nje ya mtandao kitaporomoka moja kwa moja baada ya Scratch kufunguliwa, sakinisha kihariri cha scratch 2 kinachotumika nje ya mtandaoni (angalia hatua ya 2 hapo juu). Suala hili ni kwa sababu la kosa ulioletwa katika toleo la 14 la Adobe AIR (iliyotolewa Aprili 2014).",
"download.knownIssuesTwo":"Bloki za athari ya picha( ndani \"mwonekano\") inaweza kukokoteza miradi kwa sababu dosari zinazojulikana.",
"download.knownIssuesFour":"Mac OS unaweza kuona haraka kuwa \"Scratch 2 inajaribu kusanidi zana mpya ya usaidizi\" na kuuliza jina lako la mtumiaji na nywila. tunachunguza kwa sasa suluhisho la hili shida.",
"download.reportBugs":"Ripoti Kasoro na Dosari.",
"download.notAvailable":"Hmm, upakuaji wa kihariri haupo kwa sasa-tafadhali onesha mpya ukurasa kujaribu tena"