scratch-l10n/www/scratch-website.gdxfor-l10njson/sw.json

35 lines
3.1 KiB
JSON
Raw Normal View History

2019-10-07 17:46:00 -04:00
{
"gdxfor.headerText": "Sensa {gdxforLink} ni zana ya kisayansi yenye nguvu ambayo inafungua njia mpya za kuunganisha ulimwengu halisi na miradi yako ya Scratch. Pima nguvu wakati unasukuma na kuvuta, na skirikisha kwa kutikisa, kuzungusha, kuangusha na zaidi.",
"gdxfor.gettingStarted": "Hatua ya Kuanza",
"gdxfor.connectingGdxfor": "Kuunganisha sensa ya nguvu & mchapuko kwa Scratch ",
"gdxfor.powerGdxfor": "Washa sensa yako kwa kubonyeza kitufe-meme.\n ",
"gdxfor.useScratch3": "Tumia kihariri {scratch3Link}.",
"gdxfor.addExtension": "Ongeza kiendelezi cha Nguvu & Mchapuko cha Go Direct",
"gdxfor.thingsToTry": "Mazoezi ya Kujaribu",
"gdxfor.pushToMakeASound": "Sukuma ili kutoa sauti",
"gdxfor.connectForcePushedToPlaySound": "Unganisha bloki {whenForceSensorPushed} kwa bloki ya {startSound} ",
"gdxfor.whenForceSensorPushed": "“wakati sensa ya nguvu imesukumwa”",
"gdxfor.startSound": "“anza sauti”",
"gdxfor.pushOnForceSensor": "Sukuma penye Sensa ya nguvu.",
"gdxfor.starterProjects": "Miradi ya Kuanzia",
"gdxfor.troubleshootingTitle": "Kusuluhisha",
"gdxfor.checkOSVersionTitle": "Hakikisha mfumo wa uendeshaji wako unaendana na kiungo cha Scratch ",
"gdxfor.checkOSVersionText": "Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
2019-10-07 17:46:00 -04:00
"gdxfor.winOSVersionLinkText": "Windows",
"gdxfor.macOSVersionLinkText": "Mac OS",
"gdxfor.closeScratchCopiesTitle": "Funga nakala zingine za Scratch",
"gdxfor.closeScratchCopiesText": "Ni nakala moja tu ya Scratch ndiyo inaweza kuunganishinwa na sensoa ya Nguvu na Mchapuko kwa wakati mmoja. Iwapo Scratch imefunguliwa katika vichupo vingine vya kivinjari, vifunge na ujaribu tena.",
"gdxfor.otherComputerConnectedTitle": "Hakikisha hakuna tarakilishi yoyote imeunganishwa na sensa yako",
"gdxfor.otherComputerConnectedText": "Kompyuta moja tu ndio inaweza kuunganishwa na sensa ya Nguvu na Mchapuko kwa wakati mmoja. Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na sensa yako, tenganisha sensa hiyo, usitishe programu ya Scratch kwenye kompyuta halafu ujaribu tena.",
"gdxfor.imgAltGdxforIllustration": "Kielelezo cha sensa ya Nguvu ya Vernier Go Direct na Mchapuko",
"gdxfor.imgAltPushForce": "Msukumo wa mkono kwenye sensa ya Nguvu ya Vernier Go Direct na mchapuko.",
"gdxfor.frogBand": "Bendi ya chura",
"gdxfor.frogBandDescription": "Tikisa, shinikiza na ufurkute sensa ili kutengeneza muziki.",
"gdxfor.imgAltFrogBand": "Mradi wa Scratch ulio na chura na vyombo vya muziki",
"gdxfor.dayAndNight": "Mchana na Usiku",
"gdxfor.dayAndNightDescription": "Geuza Sensa ili ubadilishe mchana uwe usiku.",
"gdxfor.imgAltDayAndNight": "Mradi wa Scratch na kijini kilichovaa joho",
"gdxfor.underwaterRocket": "Roketi Nyambizi",
"gdxfor.underwaterRocketDescription": "Zungusha na kusukuma sensa ili kuendesha meli",
"gdxfor.imgAltUnderwaterRocket": "Mradi wa Scratch na meli ya roketi-nyambizi"
2019-10-07 17:46:00 -04:00
}