"guidelines.header":"Tunahitaji msaada wa kila mtu ili tukuze Scratch iwe ya kupendeza na jamii ya ubunifu ambapo watu wenye asili na masilahi tofauti wanahisi wamekaribishwa.",
"guidelines.respectbody":"Wakati wa kushiriki miradi au kutuma maoni, kumbuka kuwa watu wa umri na malezi tofauti tofauti wataona kile ulichoshiriki.",
"guidelines.constructiveheader":"Kuwa yenye faida",
"guidelines.constructivebody":"Wakati wa kutoa maoni kuhusu miradi ya wengine, zingatia jambo unalopenda kuhusu mradi huo na upeane mapendekezo.",
"guidelines.sharebody":"Uko huru kurekebisha miradi, maoni, picha, au kitu kingine chochote kilicho kwenye Scratch – na mtu yeyote anaweza kutumia chochote kile unachoshiriki. Hakikisha unawatambua na kuwahongera wengine wakati unapobadilisha au kuboresha miradi yao",
"guidelines.privacyheader":"Hifadhi taarifa ya kibinafsi faraghani",
"guidelines.privacybody":"Kwa sababu za kiusalama, usitoe taarifa yoyote ambayo inaweza kutumika kwa mawasiliano ya kibinafsi - kama vile majina ya mwisho, nambari za simu, anwani, anwani za barua pepe, viungo kwenye wavuti za kijamii au tovuti zilizo na gumzo ziisizothibitishwa.",
"guidelines.honestybody":"Usijaribu kujifanya kuwa mwanascratch mwengine, wala usieneze uvumi, au kujaribu kutunga hila za kuwahadaa wanajamii.",
"guidelines.friendlyheader":"Saidia kukuza urafiki katika tovuti.",
"guidelines.friendlybody":"Ikiwa unahisi kuwa mradi au maoni ni dhalimu, inadunisha, inatukana, inasababisha uhasama au vinginevyo visivyofaa, bonyeza “Ripoti” kutujulisha kuhusu hilo.",
"guidelines.footer":"Scratch inawakaribisha watu wote wa umri, kabila, dini, ulemavu, tabaka, maelekeo ya kingono na utambulisho wa kijinsia."