"conference-2018.desc1":"Ungana nasi kwa mkutano wa Scratch @ MIT, mkusanyiko wa kufurahisha wa waalimu, watafiti, watengenezaji, na washiriki wengine wa jamii ya ulimwenguni wa Scratch.",
"conference-2018.desc2":"Tunapanga mkutano shirikishi sana, na siku nzima ya semina za shughuli za utendaji na fursa nyingi za rika kwa majadiliano ya rika. Mkutano huo unakusudiwa hasa kwa watu wazima ambao wanaunga mkono vijana kujifunza Kutumia Scratch.",
"conference-2018.registrationDate":"Usajili unafunguliwa Mechi 1, 2018.",
"conference-2018.sessionDesc":"Je una nia ya kuongoza kikao? Tunaalika aina nne za miswada:",
"conference-2018.sessionItem1Title":"Maonyesho/wasilisho wa bango (dakika 90).",
"conference-2018.sessionItem1Desc":"Onyesha mradi wako katika kikao cha maonyesho, kando na wawasilishaji wengine. Utapewa nafasi ya kuwasilisha kwa bango na nafasi ya meza kwa tarakilishi au machapisho.",
"conference-2018.sessionItem2Title":"Warsha ya kiutendaji (dakika 90).",
"conference-2018.sessionItem2Desc":"Shughulisha washiriki katika shughuli za utendaji, na kuonyesha njia mpya za kuunda na kushirikiana katika Scratch.",
"conference-2018.sessionItem3Title":"Jopo la majadiliano (dakika 60)",
"conference-2018.sessionItem3Desc":"Jadili mada kuhusu Scratch kwenye jopo la watu watatu ama zaidi. Kwenye mapendekezo yenu eleza vile mtahusisha hadhira kwa huo wakati",
"conference-2018.sessionItem4Title":"Mazungumzo ya kuhamasisha (dakika 5)",
"conference-2018.sessionItem4Desc":"Shirirki yale umekuwa ukifanya kwa mda mfupi na kwa njia ya kusisimua",
"conference-2018.deadline":"Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha miswada ni Februari 5, 2018",
"conference-2018.submissionQ":"Nilikosa kuwasilisha Mswada kwa wakati. Je ninaweza kuwasilisha mswada kwa ajili ya Mkutano?",
"conference-2018.submissionAns":"Hatupokei miswada kwa wakati huu.",
"conference-2018.regQ":"Ninaweza kuhudhuria mkutano kwa siku moja tu. Je mnaruhusu usajili wa siku moja?",
"conference-2018.regAns":"Samahani, haturusu usajili wa siku moja.",
"conference-2018.accommodationsQ":"Ninapanga ujio wangu. Kuna mapendekezo yepi kuhusu malazi?",
"conference-2018.accommodationsAns1":"Ndio, washirika wa MIT na hoteli kadhaa katika eneo hilo ambao hutoa kipunguzu kwa washiriki waliohudhuria hafla za MIT, pamoja na: {marriottLink} (maili 0.4 kutoka mahabara ya Midia ya MIT),{holidayinnLink}(maili 1.6),{residenceinnLink}(maili 0.3) na {lemeridienLink} (maili 0.9). Ili kuhifadhi chumba katika moja ya hoteli hizi, piga simu hoteli na uombe kipunguzio cha MIT. Uwekaji miadi ya awali unapendekezwa sana, kwani majira ya joto ni wakati wa shughulini Boston. Viwango vyote vya MIT vinakabiliwa na upatikanaji.",
"conference-2018.accommodationsAns2":"Ikiwa unatafuta chaguzi za ziada za malazi, tunapendekeza pia {acLink} (maili 7.1), {doubletreeLink}(maili 3.3), na {hotelbostonLink} nainki ya MITSC2018 (maili 5.3). Unaweza pia kuzingatia chaguzi za kushiriki nyumbani kama vile Airbnb. Pata orodha iliyopanuliwa ya makao {mitLink}.",
"conference-2018.accommodationsAns4":"Kuomba chumba cha mabweni, tafadhali kamilisha {dormrequestLink}. Tafadhali kumbuka kuwa Kaskazini mashariki iko Boston, maili mbili kutoka tovuti ya mkutano huko MIT. Ni safari ya nusu saa kupitia usafirishaji wa umma, inayopatikana kwa njia ya chini kupitia Green Line (Kituo cha Kaskazini mashariki kwenye mstari wa E) au mstari wa machungwa(Kituo cha Ruggles Station).",
"conference-2018.dormRequestText":"Fomu ya kuomba Chumba cha bweni",
"conference-2018.preConfAns":"Kutakuwa na mapokezi yasiyo rasmi, ya hiari jioni ya Jumatano, Julai 25. Washiriki wanaweza kusajili mapema wakati huu pia.",
"conference-2018.bringAns":"Kumbuka kuja na kompyuta ( hasa kipakatalishi) pamoja na chaja. Wanao ongoza wanaombwa kutayarisha (tutapeana projekta na sikrini). Kutakuweko vitafunio mchana kutwa.",