"wedo2.headerText":"1{wedo2Link} ni kifurushi kinachokupa utangulizi wa uvumbuzi unaoweza kuutumia kujenga roboti shirikishi na maumbo mengine. Unaweza kuunganisha bloki za Scratch pamoja na upakue kwenye maumbo yako ya WeDo 2.0 kisha uongeze ukaragusi na sauti.",
"wedo2.gettingStarted":" Hatua ya Kuanza",
"wedo2.connectingWedo2":"Kuunganisha WeDo 2.0 na Scratch",
"wedo2.checkOSVersionText":"Matoleo ya chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Angalia maagizo ya kuangalia toleo lako la {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
"wedo2.closeScratchCopiesText":"Nakala moja tu ya Scratch inaweza kuunganishwa na WeDo 2.0 kwa wakati mmoja. Ikiwa Scratch imefunguliwa katika vichupo vya kivinjari, funga na ujaribu tena.",
"wedo2.otherComputerConnectedTitle":"hakikisha hakuna kompyuta nyingine imeunganishwa na WeDo 2.0 yako",
"wedo2.otherComputerConnectedText":"Kompyuta moja tu inaweza unganishwa na WeDo 2.0 kwa wakati mmoja\n Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na WeDo 2.0 yako, tenganisha na WeDo 2.0 au funga Scratch Mwanzo kwenye kompyuta hiyo na ujaribu tena.",
"wedo2.updateLinkTitle":"sasisha kiunganishi cha Scratch",
"wedo2.updateLinkText":"hakikisha umesanikisha toleo la hivi karibu la kiunganishi cha Scratch.",
"wedo2.legacyInfoTitle":"kutumia Scratch 2.0",
"wedo2.legacyInfoText":"tembelea ukurasa wetu kuhusu 1 {wedoLegacyLink}",
"wedo2.legacyLinkText":"kutumia WeDo na Scratch 2.0",
"wedo2.imgAltWeDoIllustration":"mfano wa WeDo2 ikitumia kihisio cha mzunguko na injini",
"wedo2.imgAltStarter1Pet":"Mradi wa scratch wa mbwa na taco",
"wedo2.imgAltStarter2Fox":"Mradi wa Scratch wa mbweha akisonga nyuma na mbele",
"wedo2.imgAltStarter3Pufferfish":"Mradi wa Scratch wa Dinosa "