scratch-l10n/www/scratch-website.general-l10njson/sw.json

420 lines
No EOL
35 KiB
JSON
Raw Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

{
"general.status": "Filter Projects",
"general.languageChooser": "Select Language",
"general.accountSettings": "Mipangilio ya akaunti",
"general.about": "Kuhusu",
"general.aboutScratch": "Kuhusu Scratch",
"general.apiError": "Scratch ilikuwa na hitilafu.",
"general.back": "Nyuma",
"general.birthMonth": "Mwezi wa Kuzaliwa",
"general.birthYear": "Mwaka wa Kuzaliwa",
"general.donate": "Toa Msaada",
"general.cancel": "Katisha",
"general.close": "Funga",
"general.collaborators": "Washirika",
"general.community": "Jamii",
"general.confirmEmail": "Thibitisha Barua Pepe",
"general.contactUs": "Wasiliana Nasi",
"general.getHelp": "Pata Msaada",
"general.contact": "Mawasiliano",
"general.done": "Maliza",
"general.downloadPDF": "Pakua PDF",
"general.emailUs": "Tutumie Barua Pepe",
"general.conferences": "Mikutano",
"general.country": "Nchi",
"general.create": "Unda",
"general.credits": "Timu Yetu",
"general.donors": "Wafadhili",
"general.dmca": "DMCA",
"general.emailAddress": "Barua Pepe",
"general.english": "Kiingereza",
"general.error": "Kuna tatizo.",
"general.errorIdentifier": "Tatizo hilo lilihifadhiwa na kitambulisho {errorId}",
"general.explore": "Chunguza",
"general.faq": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
"general.female": "Mke",
"general.forParents": "Kwa Wazazi",
"general.forEducators": "Kwa Waalimu",
"general.forDevelopers": "Kwa Wasanidi Programu",
"general.getStarted": "Hatua ya Kuanza",
"general.gender": "Jinsia",
"general.guidelines": "Miongozo ya Jamii",
"general.invalidSelection": "Chaguo ni batili",
"general.jobs": "Kazi",
"general.joinScratch": "Ungana na Scratch",
"general.legal": "Kisheria",
"general.loadMore": "Pakia Zaidi",
"general.learnMore": "Jifunze Zaidi",
"general.male": "Mume",
"general.messages": "Ujumbe",
"general.month": "Mwezi",
"general.monthJanuary": "Januari",
"general.monthFebruary": "Februari ",
"general.monthMarch": "Machi",
"general.monthApril": "Aprili",
"general.monthMay": "Mei",
"general.monthJune": "Juni",
"general.monthJuly": "Julai",
"general.monthAugust": "Agosti",
"general.monthSeptember": "Septemba",
"general.monthOctober": "Oktoba",
"general.monthNovember": "Novemba",
"general.monthDecember": "Disemba",
"general.myClass": "Darasa Langu",
"general.myClasses": "Madarasa Yangu",
"general.myStuff": "Vitu Vyangu",
"general.next": "Inayofuata",
"general.noDeletionTitle": "Akaunti yako haitafutwa",
"general.noDeletionDescription": "Akaunti yako ilipangiwa kufutwa lakini umeingia. Akaunti yako imeamilishwa tena. Ikiwa haukuomba akaunti yako ifutwe, unapaswa {resetLink} ili kuhakikisha kuwa akaunti yako iko salama.",
"general.noDeletionLink": "badilisha nenosiri yako",
"general.nonBinary": "Bila jinsia",
"general.notRequired": "Haihitajiki",
"general.okay": "Sawa",
"general.other": "Nyingine",
"general.download": "Pakua",
"general.password": "Nenosiri",
"general.press": "Hahari",
"general.privacyPolicy": "Sera ya Faragha",
"general.projects": "Miradi",
"general.profile": "Wasifu",
"general.required": "Inahitajika",
"general.resourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu",
"general.scratchConference": "Mkutano wa Scratch",
"general.scratchEd": "ScratchEd",
"general.scratchFoundation": "Msingi wa Scratch",
"general.scratchJr": "ScratchJr",
"general.scratchStore": "Scratch Store",
"general.search": "Tafuta",
"general.searchEmpty": "Hakuna kilichopatikana",
"general.send": "Tuma",
"general.signIn": "Ingia",
"general.startOver": "Anza tena",
"general.statistics": "Takwimu",
"general.studios": "Studio",
"general.support": "Nyenzo",
"general.ideas": "Mawazo",
"general.tipsWindow": "Vidokezo",
"general.termsOfUse": "Masharti ya Matumizi",
"general.tryAgain": "Jaribu tena",
"general.unhandledError": "Tunasikitika, inaonekana kama Scratch haifanyi kazi na imefungwa. Shida hii imeripotiwa kiotomatiki kwa Timu ya Scratch.",
"general.username": "Jina la mtumiaji",
"general.validationEmail": "Tafadhali weka anwani halali ya barua pepe",
"general.validationEmailMatch": "Barua pepe hazilingani",
"general.viewAll": "Tazama Zote",
"general.website": "Tovuti",
"general.whatsHappening": "Nini kinaendelea?",
"general.wiki": "Scratch Wiki",
"general.copyLink": "Nakili Kiungo",
"general.report": "Piga Ripoti",
"general.notAvailableHeadline": "Inaonekana kuna tatizo na Scratch.",
"general.notAvailableSubtitle": "Hatukuweza kupata ukurasa unaotafuta. Tazama na uhakikishe umeandika URL kwa usahihi.",
"general.seeAllComments": "Tazama maoni yote",
"general.all": "yote",
"general.animations": "Vibonzo",
"general.art": "Sanaa",
"general.games": "Michezo",
"general.music": "Muziki",
"general.results": "Matokeo",
"general.stories": "Hadithi",
"general.tutorials": "Mafunzo",
"general.teacherAccounts": "Akaunti za Waalimu",
"general.unsupportedBrowser": "Kivinjari hakikubaliwi",
"general.unsupportedBrowserDescription": "Scratch 3.0 haiambatani na kivinjari cha Internet Explorer, Vivaldi, Opera ama Silk. Tunapendekeza ujaribu kivinjari kipya kama Google Chrome, Mozilla Firefox ama Microsoft Edge.",
"general.3faq": "Kupata maelezo zaidi fuata {faqLink}.",
"general.year": "Mwaka",
"footer.discuss": "Mabaraza ya Majadiliano",
"footer.scratchFamily": "Familia ya Scratch",
"footer.donorRecognition": "Scratch inapatikana bila malipo, shukrani kwa msaada kutoka kwa {donorLink}. Tunashukuru kwa Washirika wetu waanzilishi:",
"footer.donors": "wafadhili",
"footer.donorList": "{donor1}{donor2}{donor3}, na {donor4}.",
"form.validationRequired": "Sehemu hii inahitajika",
"login.needHelp": "Unahitaji Msaada?",
"navigation.signOut": "Toka",
"extensionHeader.requirements": "Mahitaji",
"extensionInstallation.addExtension": "Katika kihariri, bonyeza kitufe cha \"Ongeza Viendelezi\" upande wa chini kushoto.",
"oschooser.choose": "Chagua Mfumo ya Uendeshaji wako:",
"installScratch.or": "au",
"installScratch.directDownload": "Kupakua moja kwa moja",
"installScratch.appHeaderTitle": "Sakinisha Scratch app kwa {operatingsystem}",
"installScratch.getScratchAppPlay": "Pata Scratch kwenye Google Play Store",
"installScratch.getScratchAppMacOs": "Pata Scratch kwenye Mac App Store",
"installScratch.getScratchAppWindows": "Pata Scratch kwenye Microsoft Store",
"installScratch.useScratchApp": "Fungua Scratch App kwenye kifaa chako.",
"installScratchLink.installHeaderTitle": "Sakinisha Scratch Link",
"installScratchLink.downloadAndInstall": "Pakua na kusakinisha Scratch Link",
"installScratchLink.startScratchLink": "Anzisha Scratch Link na uhakikishe inaendesha. Inapaswa kuonekana kwenye mwambaa zana (toolbar) wako.",
"parents.FaqAgeRangeA": "Ijapokuwa Scratch iliundwa haswa kwa watoto wa miaka 8 hadi 16, vile vile hutumiwa pia na watu wa rika zote, pamoja na watoto wadogo na wazazi wao.",
"parents.FaqAgeRangeQ": "Umri wa wanaotumia Scratch ni upi?",
"parents.FaqResourcesQ": "Nyenzo zinazopatikana za kujifunza Scratch ni zipi?",
"parents.introDescription": "Scratch ni lugha ya programu ambapo watoto wanaweza kuumba, kusimba na kusambaza hadithi, michezo na vibonzo kwa watu mbalimbali ulimwenguni. Watoto wanapotumia Scratch wanajifunza ubunifu wa mawazo, kushirikiana katika vikundi, na kufikiria kwa utaratibu. Scratch imetengenezwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten katika MIT Media Lab.",
"registration.birthDateStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa kiwango cha umri wa watu wanaotumia Scratch. Tunatumia hii kuthibitisha umiliki wa akaunti ikiwa unawasiliana na timu yetu. Taarifa hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.birthDateStepTitle": "Ulizaliwa lini?",
"registration.cantCreateAccount": "Scratch haikuweza kuunda akaunti yako.",
"registration.checkOutResources": "Anza kwa kutumia Nyenzo",
"registration.checkOutResourcesDescription": "Vumbua nyenzo za walimu zilizoandikwa na timu ya Scratch, pamoja na <a href='/educators#resources'> vidokezo, mafunzo na miongozo</a>.",
"registration.choosePasswordStepDescription": "Andika nenosiri jipya la akaunti yako. Utatumia nenosiri hili wakati mwingine utakapoingia kwenye Scratch.",
"registration.choosePasswordStepTitle": "Unda nenosiri",
"registration.choosePasswordStepTooltip": "Usitumie jina lako au kitu chochote ambacho ni rahisi kwa mtu mwingine kukisia.",
"registration.classroomApiGeneralError": "Samahani, hatukuweza kupata habari ya usajili ya darasa hili",
"registration.countryStepTitle": "Unaishi katika nchi gani?",
"registration.generalError": "Samahani, tatizo lisilotarajiwa lilitokea.",
"registration.classroomInviteExistingStudentStepDescription": "umealikwa kujiunga na darasa:",
"registration.classroomInviteNewStudentStepDescription": "Mwalimu wako amekualika ujiunge na darasa:",
"registration.confirmPasswordInstruction": "Jaribu kuandika nenosiri tena",
"registration.confirmYourEmail": "Thibitisha Barua Pepe yako",
"registration.confirmYourEmailDescription": "Ikiwa haujafanya tayari, tafadhali bonyeza kiungo kwenye barua pepe ya uthibitisho iliyotumwa kwa:",
"registration.createAccount": "Unda Akaunti yako",
"registration.createUsername": "Unda jina la mtumiaji",
"registration.errorBadUsername": "Jina la mtumiaji ulilochagua haliruhusiwi. Jaribu tena na jina la mtumiaji tofauti.",
"registration.errorCaptcha": "Kulikuwa na tatizo na jaribio la CAPTCHA.",
"registration.errorPasswordTooShort": "Nenosiri lako ni fupi sana. Inahitaji kuwa na angalau herufi 6.",
"registration.errorUsernameExists": "Jina la mtumiaji ulilochagua tayari lipo. Jaribu tena na jina la mtumiaji tofauti.",
"registration.genderStepTitle": "Jinsia yako ni gani?",
"registration.genderStepDescription": "Scratch hukaribisha watu wa jinsia zote.",
"registration.genderStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa ni nani anatumia Scratch, ili tuweze kukuza ushiriki. Habari hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.genderOptionAnother": "Jinsia nyingine?",
"registration.genderOptionPreferNotToSay": "Pendelea kutosema",
"registration.emailStepTitle": "Barua pepe yako ni nini?",
"registration.emailStepInfo": "Hii itasaidia ukisahau nenosiri lako. Habari hii haitawekwa hadharani kwa akaunti yako.",
"registration.goToClass": "Ingia Darasani",
"registration.invitedBy": "alikwa na",
"registration.lastStepTitle": "Asante kwa kuomba Akaunti ya Mwalimu ya Scratch",
"registration.lastStepDescription": "Tunashughulikia ombi lako.",
"registration.makeProject": "Unda mradi",
"registration.mustBeNewStudent": "Lazima uwe mwanafunzi mpya kukamilisha usajili wako",
"registration.nameStepTooltip": "Habari hii inatumika kuthiibitisha na kuhesabu takwimu za matumizi.",
"registration.newPassword": "Nenosiri Jipya",
"registration.nextStep": "Hatua Ifuatayo",
"registration.notYou": "Si wewe? Ingia kama mtumiaji mwingine",
"registration.optIn": "Nitumie sasisho za kutumia Scratch katika mipangilio ya kielimu",
"registration.passwordAdviceShort": "Andika nenosiri lako chini ili ulikumbuke. Usilishiriki na wengine!",
"registration.personalStepTitle": "Habari ya Kibinafsi",
"registration.personalStepDescription": "Majibu yako ya kibinafsi hayataonyeshwa hadharani, na yatahifadhiwa kwa siri na salama.",
"registration.private": "Tutahifadhi habari hii kuwa ya faragha.",
"registration.problemsAre": "Matatizo ni:",
"registration.selectCountry": "Chagua nchi",
"registration.startOverInstruction": "Bongeza \"Anza tena.\"",
"registration.studentPersonalStepDescription": "Habari hii haitaonekana kwenye tovuti ya Scratch.",
"registration.showPassword": "Onyesha nenosiri",
"registration.troubleReload": "Scratch inapata shida kumaliza usajili. Jaribu kupakia ukurasa tena au jaribu tena kwenye kivinjari kingine.",
"registration.tryAgainInstruction": "Bonyeza \"Jaribu tena.\"",
"registration.usernameStepDescription": "Jaza fomu zifuatazo kuwasilisha ombi la akaunti. Hatua za kuidhinisha zinaweza kukamilika baada ya siku moja",
"registration.usernameStepDescriptionNonEducator": "Unda miradi, shiriki mawazo, pata marafiki. Ni bure!",
"registration.usernameStepRealName": "Tafadhali usitumie sehemu yoyote ya jina lako halisi katika jina lako la mtumiaji.",
"registration.usernameAdviceShort": "Usitumie jina lako halisi",
"registration.studentUsernameStepDescription": "Unaweza kuunda michezo, vibonzo na kutunga hadithi ukitumia Scratch. Kusajili akaunti yako ni rahisi na bure. Anza kwa kujaza fomu ifuatayo.",
"registration.studentUsernameStepHelpText": "Je, tayari una akaunti ya Scratch?",
"registration.studentUsernameStepTooltip": "Utahitaji kuunda akaunti mpya ya Scratch ili ujiunge na darasa hili.",
"registration.studentUsernameSuggestion": "Jaribu vitu unavyopenda kama chakula, michezo, au wanyama pamoja na baadthi ya nambari. ",
"registration.acceptTermsOfUse": "Kwa kuunda akaunti, unakiri {privacyPolicyLink} na unakubaliana na {touLink}.",
"registration.usernameStepTitle": "Omba Akaunti ya Mwalimu",
"registration.usernameStepTitleScratcher": "Unda Akaunti ya Scratch",
"registration.validationMaxLength": "Samahani, umezidisha idadi ya herufi.",
"registration.validationPasswordConfirmNotEquals": "manenosiri hayafanani",
"registration.validationPasswordLength": "Lazima iwe na herufi 6 au zaidi",
"registration.validationPasswordNotEquals": "Nenosiri ni rahisi sana. Jaribu jingine?",
"registration.validationPasswordNotUsername": "Nenosiri haliwezi kufanana na jina lako la mtumiaji",
"registration.validationUsernameRegexp": "Majina ya watumiaji yanachukua tu herufi, nambari - na _",
"registration.validationUsernameMinLength": "Lazima iwe na herufi 3 au zaidi",
"registration.validationUsernameMaxLength": "Lazima iwe herufi 20 au fupi",
"registration.validationUsernameExists": "Jina la mtumiaji limechukuliwa. Jaribu jingine?",
"registration.validationUsernameNotAllowed": "Jina la mtumiaji haliruhusiwi",
"registration.validationUsernameVulgar": "Halifai",
"registration.validationUsernameInvalid": "Jina la mtumiaji ni batili",
"registration.validationUsernameSpaces": "Majina ya watumiaji hayawezi kuwa na nafasi",
"registration.validationEmailInvalid": "Barua pepe si sawa. Jaribu nyingine?",
"registration.waitForApproval": "Subiri idhinishwe",
"registration.waitForApprovalDescription": "Kwa sasa, unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Scratch, lakini huduma maalum kwa waalimu hazijakuwa tayari. Habari yako inakaguliwa. Tafadhali kuwa na subira, hatua za kutoa idhini inaweza kuchukua hadi siku moja. Utapokea barua pepe inayoonyesha kuwa akaunti yako imesasishwa mara tu akaunti yako itakapoidhinishwa.",
"registration.welcomeStepDescription": "Umefanikiwa kuunda akaunti ya Scratch! Sasa umejiunga na darasa:",
"registration.welcomeStepDescriptionNonEducator": "Umeingia kwenye Scratch! Unaweza kuanza kuunda miradi.",
"registration.welcomeStepInstructions": "Unataka kushiriki na kutoa maoni? Bonyeza kiungo kwenye barua pepe ambayo tumetuma kwa {email}.",
"registration.welcomeStepPrompt": "Anza kwa kubonyeza kitufe kifuatacho.",
"registration.welcomeStepTitle": "Hongera! Karibu Scratch!",
"registration.welcomeStepTitleNonEducator": "Karibu Scratch, {username}!",
"emailConfirmationBanner.confirm": "{confirmLink} to enable sharing. {faqLink}",
"emailConfirmationBanner.confirmLinkText": "Confirm your email",
"emailConfirmationBanner.faqLinkText": "Having trouble?",
"emailConfirmationModal.confirm": "Confirm your email",
"emailConfirmationModal.wantToShare": "Want to share on Scratch?",
"emailConfirmationModal.clickEmailLink": "Confirm your email address by clicking the link in the email we sent to:",
"emailConfirmationModal.resendEmail": "Resend confirmation email",
"emailConfirmationModal.confirmingTips": "Tips for confirming your email address",
"emailConfirmationModal.tipWaitTenMinutes": "Wait for ten minutes. The email may take a while to arrive.",
"emailConfirmationModal.tipCheckSpam": "Check your spam folder.",
"emailConfirmationModal.correctEmail": "Make sure your email address is correct, see {accountSettings}.",
"emailConfirmationModal.accountSettings": "Mipangilio ya Akaunti",
"emailConfirmationModal.wantMoreInfo": "Want more information? {FAQLink}",
"emailConfirmationModal.checkOutFAQ": "Check out the FAQ",
"emailConfirmationModal.havingTrouble": "Having Trouble? {tipsLink}",
"emailConfirmationModal.checkOutTips": "Check out these tips",
"thumbnail.by": "kwa",
"report.error": "Tatizo limetokea wakati wa kujaribu kutuma ujumbe wako. Tafadhali jaribu tena.",
"report.project": "Ripoti Mradi",
"report.studio": "Report Studio",
"report.projectInstructions": "Unapotuma ripoti, inaruhusu timu ya Scratch kujua mambo kuhusu miradi ambayo inavunja {CommunityGuidelinesLink}. Kuna kitu katika mradi huu kinachovunja {CommunityGuidelinesLink}? Ikiwa unafikiri kinafanya hivyo, tafadhali tuambie zaidi.",
"report.CommunityGuidelinesLinkText": "Miongozo ya Jamii ya Scratch",
"report.reasonPlaceHolder": "Chagua sababu",
"report.reasonCopy": "Nakala Halisi ya Mradi",
"report.reasonUncredited": "Mradi unatumia Picha/Muziki bila kutambua watungaji",
"report.reasonScary": "Kuna vurugu sana",
"report.reasonJumpscare": "Jumpscare",
"report.reasonWeapons": "Mradi unatumia silaha",
"report.reasonEvent": "Tukio la vurugu hufanyika",
"report.reasonScaryImages": "Picha za kutisha",
"report.reasonThreatening": "Mradi unadhulumu au kuchokoza Scratcher mwngine.",
"report.reasonLanguage": "Lugha isiyofaa",
"report.reasonMusic": "Muziki isiyofaa",
"report.reasonMissing": "Tafadhali chagua sababu",
"report.reasonImage": "Picha zisizofaa",
"report.reasonPersonal": "Kushiriki habari ya mawasiliano ya kibinafsi",
"report.reasonDontLikeIt": "Sipendi mradi huu",
"report.reasonDoesntWork": "Mradi huu haufanyi kazi",
"report.reasonCouldImprove": "Mradi huu unaweza kuboreshwa",
"report.reasonTooHard": "Mradi huu ni mgumu sana",
"report.reasonMisleading": "Mradi huu unapotosha au unadanganya jamii",
"report.reasonFaceReveal": "Mradi unaonyesha sura ya mtu au unajaribu kuonyesha picha ya mtu. ",
"report.reasonNoRemixingAllowed": "Mradi huu hauruhusu kubadilishwa.",
"report.reasonCreatorsSafety": "Nina wasiwasi juu ya usalama wa muundaji wa mradi huu",
"report.reasonSomethingElse": "Sababu nyingine",
"report.reasonDisrespectful": "Kutowaheshimu watu",
"report.receivedHeader": "Tumepokea ripoti yako!",
"report.receivedBody": "Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na miongozo ya jamii ya Scratch.",
"report.promptPlaceholder": "Chagua sababu hapo juu.",
"report.promptCopy": "Tafadhali toa kiungo cha mradi wa awali",
"report.promptUncredited": "Tafadhali toa viungo kwa maudhui ambayo hayatambulishi watungaji",
"report.promptScary": "Tafadhali chagua sababu ya kuhisi mradi huu unaweza kuvunja {CommunityGuidelinesLink}",
"report.promptJumpscare1": "\"Jumpscare\" ni kitu kinachoonyeshwa kwenye skirini na nia ya kutisha watu.",
"report.promptJumpscare2": "Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu \"jumpscare,\" kama vile kinachotokea, na ni lini hufanyika katika mradi huo. Pia, tuambie jina la sprite, mtindo, au mandhari ya nyuma, inayohusishwa na jumpscare ni muhimu.",
"report.promptWeapons1": "Tafadhali tujulishe ni wapi picha, mchoro, au sauti ya silaha za kweli hufanyika katika mradi huo, kama vile jina la sprite, vazi, au uwanja wa nyuma.",
"report.promptWeapons2": "Kidokezo: Miradi ya Scratch haifai kuwa na silaha za kweli, kama picha za bunduki, michoro za kweli au sauti. Walakini, vitu vya katuni au uwongo kama mihimili ya laser ni sawa.",
"report.promptEvent1": "Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu tukio la kutisha au hadithi katika mradi huo. Kutoa maelezo zaidi itasaidia Timu ya Scratch kuelewa vyema suala hilo na kulishughulikia.",
"report.promptEvent2": "Kidokezo: Scratch hutumiwa na watu wote wa rika. Miradi yake muhimu haina mada kukomaa kama vile kumdhuru mtu.",
"report.promptScaryImages1": "Tafadhali tujulishe kwa nini unahisi picha hii inatisha sana kwa Scratch, na wapi ambapo picha hutokea katika mradi, kama vile jina la sprite, vazi, au uwanja wa nyuma.",
"report.promptScaryImages2": "Kidokezo: Scratch hutumiwa na watu wote wa rika. Ni miradi muhimu haina damu, vurugu za kweli, au kitu chochote ambacho kinaweza kuhisi kutisha au kukomaa sana kwa watazamaji wachanga.",
"report.promptThreatening": "Tafadhali tujulishe ni kwa nini unahisi mradi huu unatishia MwanaScratch mwingine.",
"report.promptLanguage": "Tafadhali sema ni wapi lugha isiyofaa inatokea katika mradi (Kwa mfano: Vidokezo & Sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk)",
"report.promptMusic": "Tafadhali taja jina la faili ya sauti iliyona muziki usiofaa",
"report.promptPersonal": "Tafadhali taja ni wapi taarifa ya kibinafsi inashirikishwa (Kwa mfano: Vidokezo na sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk).",
"report.promptGuidelines": "Tafadhali chagua sababu kwa nini unahisi mradi huu unaweza kuvunja {CommunityGuidelinesLink}na Timu ya Scratch itakagua ripoti yako.",
"report.promptImage": "Jafadhali sema jina la kihusika au mandhari ya jukwaa iliyo na picha isiyofaa",
"report.promptDontLikeIt": "Miradi ya Scratch hufanywa na watu wa kila umri na viwango vyote vya uzoefu. Ikiwa hupendi mradi huu kwa kuwa unahisi unaweza kuboreshwa, tunakuhimiza kushiriki maoni ya ujenzi moja kwa moja na muumbaji.",
"report.promptTips": "Hapa kuna vidokezo juu ya kushiriki maoni ya ujenzi:",
"report.tipsSupportive": "Kuwa msaidizi na wa kutia moyo.",
"report.tipsConstructive": "Acha maoni kuwaambia unachopenda, lakini pia kile wanachoweza kufanya ili kufanya mradi huo kuwa bora zaidi.",
"report.tipsSpecific": "Jaribu kuwa mahususi na maoni yako. Kwa mfano: Vidhibiti vya kuhamisha kibambo havikufanya kazi.",
"report.promptDoesntWork": "Mradi wa Scratch, kama programu nyingine yoyote, inaweza kuwa na kasoro. Hiyo inatarajiwa na ni sawa kabisa!",
"report.promptDoesntWorkTips": "Ikiwa unahisi mradi unaweza kuwa rahisi, tunakusihi kushiriki maoni hayo moja kwa moja na muumbaji wa mradi. Ikiwezekana pia inasaidia kutoa mapendekezo jinsi wanaweza kuboresha mradi wao.",
"report.promptTooHard": "Ikiwa unahisi mradi unaweza kuwa rahisi, tunakuhimiza kushiriki maoni hayo moja kwa moja na muumbaji wa mradi. Au urekebishe mwenyewe na uifanye iwe rahisi au ngumu kama unavyopenda!",
"report.promptMisleading": "Tuambie zaidi kuhusu jinsi inavyowalaghai au kuwapotosha watu",
"report.promptFaceReveal": "Scratch inaruhusu watu kutumia picha za uso wao katika miradi ya ubunifu kama michezo, hadithi, au michoro. Walakini, mwanzo hairuhusu watumiaji kushiriki miradi ambayo ni picha tu ya uso wao (inayojulikana kama “uso wazil”) au ambayo inazingatia kabisa sura yao ya mwili. Tafadhali eleza ikiwa unahisi mradi huu ni uso unaonyesha au unazingatia sura ya mwili ya mtu huyo.",
"report.promptNoRemixingAllowed": "Tafadhali tujulishe mradi unasema sio sawa kurekebisha — kama vile katika Vidokezo na Mikopo, kichwa cha mradi, nk.",
"report.promptCreatorsSafety": "Ni muhimu kwamba kila mtu kwenye Scratch anabaki salama mtandaoni na katika maisha halisi. Tafadhali tujulishe kwa nini una wasiwasi juu ya usalama wa mtumiaji huyu.",
"report.promptSomethingElse": "Tunakutia moyo uangalie mara mbili ikiwa ripoti yako inafaa yoyote ya aina zingine zinazopatikana. Ikiwa unahisi sana haifanyi, tafadhali eleza ni kwa nini mradi huu unavunja {CommunityGuidelinesLink}",
"report.promptDisrespectful1": "Tafadhali tujulishe kwa nini unahisi mradi huu hauna heshima kwa Scratcher mwingine au kikundi. Je! Yaliyomo katika dharau hufanyika wapi katika mradi (maandishi ya mradi, picha, sauti, nk.)?",
"report.promptDisrespectful2": "Kumbuka: Scratch inakaribisha watu wa kila kizazi, jamii, kabila, dini, uwezo, mwelekeo wa kijinsia, na vitambulisho vya kijinsia. Ni muhimu kila mtu ahisi anakaribishwa na salama wakati wa kushiriki kwenye Scratch.",
"report.tooLongError": "Hiyo ni ndefu sana! Tafadhali tafuta njia ya kufupisha maandishi yako",
"report.tooShortError": "Hiyo ni fupi sana. Tafadhali eleza kwa undani yale yasiyofaa au yaliyokosa nidhamu kuhusu mradi huo",
"report.send": "Tuma",
"report.sending": "Inatuma...",
"report.textMissing": "Tafadhali tuambie kwanini unaripoti mradi huu",
"comments.delete": "Futa",
"comments.restore": "Rejesha",
"comments.reportModal.title": "Ripoti Maoni",
"comments.reportModal.reported": "Maoni yameripotiwa, na Timu ya Scratch imearifiwa.",
"comments.reportModal.prompt": "Je, una uhakika unataka kuripoti maoni haya?",
"comments.deleteModal.title": "Futa Maoni",
"comments.deleteModal.body": "Futa maoni haya? Ikiwa maoni yanadhalimu au ni ya kukosa nidhamu, tafadhali bonyeza Ripoti ili kujulisha Timu ya Scratch.",
"comments.reply": "jibu",
"comments.isEmpty": "Hauwezi kutuma bila kuchapa maoni",
"comments.isFlood": "Woah, inaonekana kama unapeana maoni haraka sana. Tafadhali subiri muda kiasi kati ya machapisho.",
"comments.isBad": "Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comments.hasChatSite": "Uh! Maoni yanarejelea kiungo cha wavuti uliyo na gumzo lisilokadiriwa. Kwa sababu za kiusalama, tafadhali usitumie kiungo cha tovuti hizi!",
"comments.isSpam": "Hmm, inaonekana kama umetumia maoni sawa mara kadhaa. Tafadhali usiudhi kwa kutuma maoni taka.",
"comments.isDisallowed": "Hmm, inaonekana maoni yamezimwa kwa ukurasa huu. : /",
"comments.isIPMuted": "Samahani, Timu ya Scratch ililazimika kuzuia mtandao wako kushiriki maoni au miradi kwa sababu ilitumiwa kukiuka miongozo yetu ya jamii mara kadhaa. Bado unaweza kushiriki maoni na miradi kutoka kwa mtandao mwingine. Ikiwa ungetaka kukata rufaa kuhusu kizuiliwa huku, unaweza kuwasiliana na appeals@scratch.mit.edu na Nambari ya Kesi {appealId}",
"comments.isTooLong": "Maoni yako ni marefu sana! tafadhali tafuta namna ya kuyafupisha matini yako",
"comments.isNotPermitted": "Samahani, unahitaji kuthibitisha anwani yako ya barua pepe kabla ya kutoa maoni.",
"comments.error": "Oops! Pametokea hitilafu wakati wa kuchapisha maoni yako",
"comments.posting": "Inachapisha...",
"comments.post": "Chapisha",
"comments.cancel": "Katisha",
"comments.lengthWarning": "{remainingCharacters, plural, one {herufi 1 iliyobaki} other {{remainingCharacters}herufi zilizobaki}}",
"comments.loadMoreReplies": "Ona majibu zaidi",
"comments.replyLimitReached": "This comment thread has reached its limit. To continue commenting, you can start a new thread.",
"comments.status.delbyusr": "Imefutwa na mwenye mradi.",
"comments.status.censbyfilter": "Imedhibitiwa na kichujio",
"comments.status.delbyparentcomment": "Maoni ya mzazi yamefutwa",
"comments.status.censbyadmin": "Imedhibitiwa na msimamizi ",
"comments.status.delbyadmin": "Ilifutwa na msimamizi",
"comments.status.parentcommentcensored": "Maoni ya mzazi yamedhibitiwa",
"comments.status.delbyclass": "Ilifutwa na darasa",
"comments.status.hiddenduetourl": "Imefichwa kwa sababu ya kiungo ",
"comments.status.markedbyfilter": "imewekwa alama na uchujaji ",
"comments.status.censbyunconstructive": "Imekanywa kwa kutokua na faida",
"comments.status.suspended": "Imesimamishwa",
"comments.status.acctdel": "Akaunti imefutwa",
"comments.status.deleted": "Imefutwa",
"comments.status.reported": "Imeripotiwa",
"comments.muted.duration": "Utaweza kutuma maoni tena {inDuration}",
"comments.muted.commentingPaused": "Akaunti yako imesitishwa kutoa maoni hadi wakati huo.",
"comments.muted.moreInfoGuidelines": "Kama ungependa habari zaidi, unaweza kusoma {CommunityGuidelinesLink}",
"comments.muted.moreInfoModal": "Kwa maelezo zaidi {clickHereLink}.",
"comments.muted.clickHereLinkText": "bonyeza hapa",
"comments.muted.warningBlocked": "Ikiwa utaendelea kuchapisha maoni kama haya, itakufanya uzuiwe kutumia Scratch",
"comments.muted.warningCareful": "Hatutaki hilo lifanyike, kwa hivyo tafadhali kuwa mwangalifu na hakikisha umesoma na kuelewa {CommunityGuidelinesLink}kabla ya kujaribu kuchapisha tena!",
"comments.muted.mistake": "Unafikiria hii ilikuwa kosa?{feedbackLink}.",
"comments.muted.feedbackLinkText": "Tujulishe",
"comments.muted.mistakeHeader": "Unafikiria hii ilikuwa kosa?",
"comments.muted.mistakeInstructions": "Wakati mwingine kichujio kinakamata vitu ambavyo haipaswi. Kuripoti kosa hakutabadilisha muda wa kusubiri kabla ya kutoa maoni tena, lakini maoni yako yatatusaidia kuzuia makosa yasitokee siku zijazo.",
"comments.muted.thanksFeedback": "Asante kwa kutujulisha!",
"comments.muted.thanksInfo": "Maoni yako yatatusaidia kufanya Scratch kuwa bora.",
"comments.muted.characterLimit": "Herufi 500 mwisho",
"comments.muted.feedbackEmpty": "Haiwezi kuwa tupu",
"comment.type.general": "Inaonekana kwamba maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
"comment.type.general.past": "Inaonekana mojawapo ya maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
"comment.general.header": "Tunakuhimiza uchapishe maoni yanayofuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
"comment.general.content1": "Kwenye Scratch, ni muhimu kwa maoni kuwa na ukarimu, kufaa kwa umri wote, na yasiwe na barua taka.",
"comment.type.pii": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kushiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
"comment.type.pii.past": "Inaonekana kwamba mojawapo ya maoni yako ya hivi karibuni yanashiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
"comment.pii.header": "Tafadhali hakikisha usishiriki habari za kibinafsi kwenye Scratch.",
"comment.pii.content1": "Inaonekana kwamba ulikuwa unashiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
"comment.pii.content2": "Mambo unayoshiriki kwenye Scratch yanaweza kuonekana na kila mtu, na yanaweza kuonekana katika injini za utafutaji. Maelezo ya kibinafsi yanaweza kutumiwa na watu wengine kwa njia hatari, kwa hivyo ni muhimu kuyaweka faragha.",
"comment.pii.content3": "Hili ni suala nyeti la usalama.",
"comment.type.unconstructive": "Inaonekana kwamba maoni yako ya hivi karibuni yalikuwa yakisema kitu ambacho kinaweza kudhuru.",
"comment.type.unconstructive.past": "Inaonekana kwamba mojawapo ya maoni yako ya hivi karibuni yalikuwa yakisema kitu ambacho kinaweza kudhuru.",
"comment.unconstructive.header": "We encourage you to be supportive when commenting on other peoples projects.",
"comment.unconstructive.content1": "Inaonekana kwamba maoni yako yalikuwa yakisema kitu ambacho kinaweza kudhuru.",
"comment.unconstructive.content2": "Ikiwa unafikiri kitu kinaweza kuwa bora, unaweza kusema kitu unachopenda kuhusu mradi, na kutoa pendekezo kuhusu jinsi ya kuiboresha.",
"comment.type.vulgarity": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kuhusisha neno baya.",
"comment.type.vulgarity.past": "Inaonekana kwamba mojawapo ya maoni yako hivi karibuni yana neno baya.",
"comment.vulgarity.header": "Tunakuhimiza utumie lugha inayofaa kwa kila umri.",
"comment.vulgarity.content1": "Inaonekana kwamba maoni yako yana neno baya.",
"comment.vulgarity.content2": "Scratch ina watumizi wa kila umri, hivyo basi ni muhimu kutumia lugha inayofaa kwa WanaScratch. ",
"comment.type.spam": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kuwa na matangazo, michoro ya maandishi, au jumbe zinazofuatana",
"comment.type.spam.past": "Inaonekana kwamba mojawapo ya maoni yako ya hivi karibuni yalikuwa na matangazo, michoro ya maandishi, au ujumbe unaofutatana.",
"comment.spam.header": "Tunakuhimiza usitangaze, kunakili michoro ya maandishi, au kuwaomba wengine wanakili maoni.",
"comment.spam.content1": "Ingawa matangazo, michoro ya maandishi, na nyaraka zinazofuatana zinaweza kufurahisha, zitaanza kujaza wavuti, na tunataka kuhakikisha kuna nafasi ya maoni mengine.",
"comment.spam.content2": "Asante kwa kutusaidia kutunza Scratch kama jamii yenye urafiki na ubunifu.",
"social.embedLabel": "Pachika ",
"social.copyEmbedLinkText": "Nakala imepachikwa",
"social.linkLabel": "Kiungo",
"social.copyLinkLinkText": "Nakili kiungo",
"social.embedCopiedResultText": "Imenakiliwa",
"helpWidget.banner": "Karibu Kusaidia",
"helpWidget.submit": "Tuma",
"helpWidget.confirmation": "Asante kwa ujumbe wako.",
"extensions.troubleshootingTitle": "Kusuluhisha",
"extensions.browserCompatibilityTitle": "Make sure your browser is compatible with Scratch Link",
"extensions.browserCompatibilityText": "Scratch Link 1.4 is not compatible with Safari. If you use macOS, please use another supported browser, such as Chrome or Firefox.",
"extensions.checkOSVersionTitle": "Hakikisha mfumo wa uendeshaji wako unaendana na kiungo cha Scratch ",
"extensions.checkOSVersionText": "Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
"extensions.checkOsVersionText2": "If you are using macOS 12, please update to macOS 12.3 or newer. Earlier versions of macOS 12 do not work correctly with Scratch Link.",
"extensions.winOSVersionLinkText": "Windows",
"extensions.macOSVersionLinkText": "macOS",
"extensions.closeScratchCopiesTitle": "Sitisha nakala zingine za Scratch",
"extensions.closeScratchCopiesText": "Only one copy of Scratch can connect with the {deviceName} at a time. If you have Scratch open in other browser tabs, close it and try again.",
"extensions.otherComputerConnectedTitle": "Make sure no other computer is connected to your {deviceNameShort}",
"extensions.otherComputerConnectedText": "Only one computer can be connected to a {deviceName} at a time. If you have another computer connected to your {deviceName}, disconnect the {deviceName} or close Scratch on that computer and try again.",
"bluetooth.enableLocationServicesTitle": "Hakikisha una huduma za mahali zilizowezeshwa kwenye Chromebooks au vidonge vya Android",
"bluetooth.enableLocationServicesText": "Bluetooth inaweza kutumika kutoa data ya eneo kwa programu. Mbali na kutoa ruhusa ya Programu ya kupata eneo, eneo lazima liwezeshwa katika mipangilio ya kifaa chako cha jumla. Tafuta 'Mahali' katika mipangilio yako, na hakikisha imewashwa. Kwenye vitabu vya Chromebooks tafuta 'Mahali' katika upendeleo wa Google Play Hifadhi."
}