mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-12 23:51:22 -05:00
9 lines
No EOL
1.5 KiB
JSON
9 lines
No EOL
1.5 KiB
JSON
{
|
|
"research.title": "Utafiti wa Scratch ",
|
|
"research.conductors": "Utafiti juu ya Scratch unafanywa na washiriki wa Timu ya Scratch ya MIT na watafiti kutoka vyuo vikuu vingine, pamoja na Yasmin Kafai kutoka Chuo Kikuu cha Pennysylvania kitivo cha uzamili wa Elimu, Karen Brennan kutoka chuo cha uzamili cha Harvard, Benjamin Mako Hill kutoka Chuo Kikuu cha Washington , Andrés Monroy Hernandez kutika Utafiti wa Microsoft, Mimi Ito na Crystle Martin katika Chuo Kikuu cha California, Irvine, Quinn Burke katika Chuo cha Charleston, Deborah Fields kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Utah, na Kylie Peppler kutoka Chuo Kikuu cha Indiana.",
|
|
"research.privacy": "Kwa kushiriki miradi na kushiriki katika jamii ya mtandaoni ya Scratch, unatusaidia kuelewa vizuri jinsi watu wanaweza kutumia na kujifunza wakitumia Scratch. Miradi yoyote iliyoshirikiwa kwa umma, maoni, au nyenzo zingine kwenye tovuti ya Scratch inaweza kujumuishwa katika uchambuzi wa utafiti, mawasilisho, makaratasi, na ripoti. Hakuna habari inayotambulika kibinafsi inashirikiwa. (Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali {contactLink}tumia fomu hiyo.)",
|
|
"research.contactLinkText": "Wasiliana Nasi",
|
|
"research.intro": "Hapo chini kuna karatasi za utafiti zilizochaguliwa, mawasilisho, na miswada kuhusu Scratch na jamii ya mtandaoni ya Scratch, ikifuatiwa na National Science Foundation Grants iliyopewa nafasi ya kutengeneza Scratch.",
|
|
"research.papers": "Machapisho ya utafitii na mawasilisho",
|
|
"research.grants": "Msaada wa Wakfu wa National Science"
|
|
} |