mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2024-12-23 06:02:42 -05:00
8 lines
No EOL
1 KiB
JSON
8 lines
No EOL
1 KiB
JSON
{
|
|
"jobs.info": "Kutokana na Scratch, vijana kutoka asili zote wanajifunza kuprogramu hadithi zao wenyewe zilizoshirikishi, michezo, na ukaragushi. Watoto na vijana kutoka kote ulimwenguni wameunda na kushiriki miradi zaidi ya milioni 10 katika jamii inayokua kwa kasi ya Scratch ya mtandaoni.",
|
|
"jobs.joinScratchTeam": "Ungana na Timu ya Scratch!",
|
|
"jobs.openings": "Nafasi za kazi kwa sasa",
|
|
"jobs.titleQuestion": "Je! Unataka kutengeneza mradi wenye ubunifu ambao unabadilisha jinsi vijana huunda, kushiriki, na kujifunza?",
|
|
"jobs.workEnvironment": "Tunatafuta watu wanaovutiwa na waliohamasishwa ili wajiunge na Timu yetu ya Scratch huko MIT Media Lab. Sisi ni kikundi tofauti cha waelimishaji, wabuni, na wahandisi, wanaofanya kazi kwa pamoja katika mazingira ya kucheza, ya ubunifu kamili wa matofali ya LEGO, vifaa vya ufundi, na zana za watengenezaji. Tunathamini sana utofauti, kushirikiana, na heshima katika sehemu ya kazi.",
|
|
"jobs.nojobs": "Hatuna nafasi zozote wazi kwa wakati huu. Tafadhali angalia tena hivi karibuni kwa fursa!"
|
|
} |