mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-03 11:25:51 -05:00
45 lines
No EOL
4 KiB
JSON
45 lines
No EOL
4 KiB
JSON
{
|
|
"microbit.headerText": "{microbitLink}ni bodi ndogo ya sakiti iliyoundwa ili kusaidia watoto kujifunza usimbo na kuunda kwa kutumia teknolojia. Inayo vipengee vingi ikijumuisha onyesho la LED, vitufe, na kihisio cha mwendo. Unaweza kuiunganisha kwa Scratch na kujenga miradi ya ubunifu ambayo inaunganisha uchawi wa dijitali na ulimwengu.",
|
|
"microbit.gettingStarted": "Hatua ya Kuanza",
|
|
"microbit.installMicrobitHex": "Sanikisha Scratch micro:bit HEX",
|
|
"microbit.cardsDescription": "kadi hizi zinaonyesha jinsi ya kuanza miradi kwa micro:bit na Scratch ",
|
|
"microbit.connectUSB": "Unganisha micro:bit kwa kompyuta yako kwa kutumia kebo ya USB ",
|
|
"microbit.downloadCardsTitle": "Pakua kadi za micro:bit ",
|
|
"microbit.downloadHex": "Pakua faili za Scratch za micro:bit HEX",
|
|
"microbit.dragDropHex": "Kokota na udondoshe faili ya HEX kwenye micro:bit yako",
|
|
"microbit.installHexAndroid": "Please follow the instructions to install the HEX file on a computer running Windows, macOS or ChromeOS.",
|
|
"microbit.connectingMicrobit": "Kuunganisha micro:bit kwa Scratch ",
|
|
"microbit.powerMicrobit": "Washa micro:bit ukitumia kebo ya USB au betri",
|
|
"microbit.useScratch3": "Tumia kihariri {scratch3Link}.",
|
|
"microbit.addExtension": "Ongezea kiendelezi cha micro:bit ",
|
|
"microbit.thingsToTry": "Mazoezi ya Kujaribu",
|
|
"microbit.displayHelloTitle": "Onyesha “Hello!”",
|
|
"microbit.displayHelloBlock": "Tafuta blocki ya{displayHelloText} na uibonyeze.",
|
|
"microbit.displayHelloText": "Onyesha “Hello!”",
|
|
"microbit.helloScroll": "Unapaswa kuona {helloText}ikibiringizwa katikati ya kiwambo cha micro:bit",
|
|
"microbit.helloText": "“hello”",
|
|
"microbit.starterProjects": "Miradi ya Kuanzia",
|
|
"microbit.heartBeat": "Mpigo wa moyo",
|
|
"microbit.heartBeatDescription": "bonyeza kitufe kuhuisha moyo",
|
|
"microbit.tiltGuitar": "inamisha gitaa",
|
|
"microbit.tiltGuitarDescription": "tengeneza music kwa kuinamisha micro:bit",
|
|
"microbit.oceanAdventure": "Shani ya bahari ",
|
|
"microbit.oceanAdventureDescription": "Jenga kielekezi chako mwenyewe na uogelee kuelekea kwa saksofoni.",
|
|
"microbit.troubleshootingTitle": "Kusuluhisha",
|
|
"microbit.checkOSVersionTitle": "Hakikisha mfumo wa uendeshaji wako unaendana na kiungo cha Scratch ",
|
|
"microbit.checkOSVersionText": "Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
|
|
"microbit.winOSVersionLinkText": "Windows",
|
|
"microbit.macOSVersionLinkText": "macOS",
|
|
"microbit.closeScratchCopiesTitle": "Funga nakala zingine za Scratch",
|
|
"microbit.closeScratchCopiesText": "Nakala moja tu ya Scratch inaweza kuunganika na micro:bit kwa wakati mmoja. Ikiwa umefungua Scratch katika tabo zingine za kivinjari, zifunge na ujaribu tena.",
|
|
"microbit.otherComputerConnectedTitle": "Hakikisha hakuna tarakilishi yoyote imeunganishwa na micro:bit",
|
|
"microbit.otherComputerConnectedText": "Kompyuta moja tu ndio inaweza kuunganishwa na micro:bit kwa wakati mmoja. Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na micro:bit yako, tenganisha na micro:bit au funga Scratch kwenye hiyo kompyuta na ujaribu tena",
|
|
"microbit.resetButtonTitle": "Hakikisha haubonyezi kitufe cha “kuweka upya”",
|
|
"microbit.resetButtonText": "Wakati mwingine unapotumia micro:bit unaweza kubonyeza kitufe cha “kuweka upya” kwa bahati mbaya upande wa nyuma katikati ya USB na soketi. Hakikisha unaweka vidole vyako (na vidolevya miguu) mbali wakati unatumia Scratch!",
|
|
"microbit.imgAltMicrobitIllustration": "Mifano ya kibao-mzingo cha micro:bit ",
|
|
"microbit.imgAltDragDropHex": "Kokota faili ya HEX kutoka kwa kabrasha uliyopakua na udondoshe kwa micro:bit",
|
|
"microbit.imgAltDisplayH": "micro:bit inaonyesha herufi H.",
|
|
"microbit.imgAltHeartBeat": "Mradi wa Scratch unaotumia moyo",
|
|
"microbit.imgAltTiltGuitar": "Mradi wa Scratch wa gitaa",
|
|
"microbit.imgAltOceanAdventure": "Mradi wa Scratch wa Juhabahari na saksofoni chini ya maji"
|
|
} |