scratch-l10n/www/scratch-website.conference-2021-index-l10njson/sw.json
2021-06-23 03:13:51 +00:00

14 lines
No EOL
1 KiB
JSON

{
"conference-2021.title": "Scratch duniani kote",
"conference-2021.subtitle": "Mkutano kwenye Mtandao",
"conference-2021.dateDesc": "Julai 22, 2021",
"conference-2021.locationDetails": "Mtandaoni",
"conference-2021.date": "Lini:",
"conference-2021.location": "Wapi:",
"conference-2021.desc1": "Ungana nasi katika Scratch Around the World, mkutano kwenye mtandao wa walimu waliovutiwa na masomo bunifu kwa Scratch.",
"conference-2021.desc1a": "Ingawaje hatuwezi kukutana na kila mtu mwaka huu, tunamsisimko kupata njia za kuungana na kushirikiana na wengine katika jamii ya walimu wa Scratch duniani.",
"conference-2021.desc3": "Mkutano utakuwa usio na malipo.",
"conference-2021.register": "Nenda kwenye ukurasa wa usajili",
"conference-2021.stayDesc2": "Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Timu ya Mkutano wa Scratch kwa {emailLink}",
"conference-2021.organizedBy": "Mkutano wa Scratch umeandaliwa na kikundi cha Lifelong Kindergarten katika Maabara ya MIT Media kwa kushirikiana na Taasisi ya Scratch Foundation."
}