mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-24 05:09:58 -05:00
31 lines
No EOL
3 KiB
JSON
31 lines
No EOL
3 KiB
JSON
{
|
||
"download.title": "Kihariri cha Scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao",
|
||
"download.intro": "Unaweza kusanikisha kihariri cha Scratch 2.0 ili kuunda miradi bila kuungisha kwenye mtandaoni. Hili toleo litafanya vizuri kwa Windows na MacOS.",
|
||
"download.installation": "Usakinishaji",
|
||
"download.airTitle": "Adobe AIR",
|
||
"download.airBody": "If you don't already have it, download and install the latest <a href=\"https://airsdk.harman.com/runtime\">Adobe AIR</a>",
|
||
"download.macOSX": "Mac OS X",
|
||
"download.macOlder": "Mac OS 10.5 na za awali",
|
||
"download.windows": "Windows",
|
||
"download.download": "Pakua",
|
||
"download.offlineEditorTitle": "Kihariri cha Scratch kinachotumiwa nje ya mtandao",
|
||
"download.offlineEditorBody": "Baada ya kupakua na kusanikisha kihariri cha scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao ",
|
||
"download.supportMaterialsTitle": "Vifaa vya Msaada ",
|
||
"download.supportMaterialsBody": "Unahitaji usaidizi kuanzia? hapa kuna nyenzo za kukusaidia ",
|
||
"download.starterProjects": "Miradi ya Kuanzia",
|
||
"download.gettingStarted": "Mwongozo wa kuanza",
|
||
"download.scratchCards": "Kadi za Scratch",
|
||
"download.updatesTitle": "Visasisho",
|
||
"download.updatesBody": "Kihariri cha nje ya mtandaoni kinaweza kujisasisha chenyewe (kwa idhini ya mtumiaji). Itaangalia hali usasishaji wakati wa kuwasha kompyuta ama unaweza kutumia amri ya \"angalia sasisho\" kwenye menyu ya faili ",
|
||
"download.currentVersion": "Toleo la sasa ni {version}.",
|
||
"download.otherVersionsTitle": "Matoleo Mengine ya Scratch",
|
||
"download.otherVersionsOlder": "Kama una tarakilishi ya awali, ama hauwezi kusanikisha kihariri Scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao, unaweza kujaribu kusanikisha <a href=\"http://scratch.mit.edu/scratch_1.4/\">Scratch 1.4 </a>.",
|
||
"download.otherVersionsAdmin": "Kama wewe ni msimamizi wa mifumo: Scratch 2.0 MSI imetengenezwa na kukuzwa na mwanachama wa jamii na kuhifadhiwa ili kupakuliwa na umma<a href=\"http://llk.github.io/scratch-msi/\">hapa</a>.",
|
||
"download.knownIssuesTitle": "Maswala yanayojulikana",
|
||
"download.knownIssuesOne": "Ikiwa kihariri chako kinachotumika nje ya mtandao kitaporomoka moja kwa moja baada ya Scratch kufunguliwa, sakinisha kihariri cha scratch 2 kinachotumika nje ya mtandaoni (angalia hatua ya 2 hapo juu). Suala hili ni kwa sababu la kosa ulioletwa katika toleo la 14 la Adobe AIR (iliyotolewa Aprili 2014).",
|
||
"download.knownIssuesTwo": "Bloki za athari ya picha( ndani \"mwonekano\") inaweza kukokoteza miradi kwa sababu dosari zinazojulikana.",
|
||
"download.knownIssuesThree": "Hiyo <b>shanta</b>bado haipo.",
|
||
"download.knownIssuesFour": "Mac OS unaweza kuona haraka kuwa \"Scratch 2 inajaribu kusanidi zana mpya ya usaidizi\" na kuuliza jina lako la mtumiaji na nywila. tunachunguza kwa sasa suluhisho la hili shida.",
|
||
"download.reportBugs": "Ripoti Kasoro na Dosari.",
|
||
"download.notAvailable": "Hmm, upakuaji wa kihariri haupo kwa sasa-tafadhali onesha mpya ukurasa kujaribu tena"
|
||
} |