scratch-l10n/www/scratch-website.guidelines-l10njson/sw.json

17 lines
No EOL
1.9 KiB
JSON
Raw Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

{
"guidelines.title": "Miongozo ya Jamii ya Scratch",
"guidelines.header": "Tunahitaji msaada wa kila mtu ili tukuze Scratch iwe ya kupendeza na jamii ya ubunifu ambapo watu wenye asili na masilahi tofauti wanahisi wamekaribishwa.",
"guidelines.respectheader": "Kuwa na heshima.",
"guidelines.respectbody": "Wakati wa kushiriki miradi au kutuma maoni, kumbuka kuwa watu wa umri na malezi tofauti tofauti wataona kile ulichoshiriki.",
"guidelines.constructiveheader": "Kuwa yenye faida",
"guidelines.constructivebody": "Wakati wa kutoa maoni kuhusu miradi ya wengine, zingatia jambo unalopenda kuhusu mradi huo na upeane mapendekezo.",
"guidelines.shareheader": "Shiriki.",
"guidelines.sharebody": "Uko huru kurekebisha miradi, maoni, picha, au kitu kingine chochote kilicho kwenye Scratch na mtu yeyote anaweza kutumia chochote kile unachoshiriki. Hakikisha unawatambua na kuwahongera wengine wakati unapobadilisha au kuboresha miradi yao",
"guidelines.privacyheader": "Hifadhi taarifa ya kibinafsi faraghani",
"guidelines.privacybody": "Kwa sababu za kiusalama, usitoe taarifa yoyote ambayo inaweza kutumika kwa mawasiliano ya kibinafsi - kama vile majina ya mwisho, nambari za simu, anwani, anwani za barua pepe, viungo kwenye wavuti za kijamii au tovuti zilizo na gumzo ziisizothibitishwa.",
"guidelines.honestyheader": "Kuwa mwaminifu.",
"guidelines.honestybody": "Usijaribu kujifanya kuwa mwanascratch mwengine, wala usieneze uvumi, au kujaribu kutunga hila za kuwahadaa wanajamii.",
"guidelines.friendlyheader": "Saidia kukuza urafiki katika tovuti.",
"guidelines.friendlybody": "Ikiwa unahisi kuwa mradi au maoni ni dhalimu, inadunisha, inatukana, inasababisha uhasama au vinginevyo visivyofaa, bonyeza “Ripoti” kutujulisha kuhusu hilo.",
"guidelines.footer": "Scratch inawakaribisha watu wote wa umri, kabila, dini, ulemavu, tabaka, maelekeo ya kingono na utambulisho wa kijinsia."
}