mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-12 15:44:55 -05:00
37 lines
No EOL
3.1 KiB
JSON
37 lines
No EOL
3.1 KiB
JSON
{
|
|
"wedo2.headerText": "1{wedo2Link} ni kifurushi kinachokupa utangulizi wa uvumbuzi unaoweza kuutumia kujenga roboti shirikishi na maumbo mengine. Unaweza kuunganisha bloki za Scratch pamoja na upakue kwenye maumbo yako ya WeDo 2.0 kisha uongeze ukaragusi na sauti.",
|
|
"wedo2.gettingStarted": " Hatua ya Kuanza",
|
|
"wedo2.connectingWedo2": "Kuunganisha WeDo 2.0 na Scratch",
|
|
"wedo2.useScratch3": "Tumia kihariri {scratch3Link}.",
|
|
"wedo2.addExtension": "Ongeza kiendelezi cha WeDo 2.0",
|
|
"wedo2.thingsToTry": "Mazoezi ya Kujaribu",
|
|
"wedo2.makeMotorMove": "Endesha mota",
|
|
"wedo2.plugMotorIn": "Chomeka mota katika WeDo.",
|
|
"wedo2.clickMotorBlock": "Tafuta 1{motorBlockText} Bloki na uibonyeze.",
|
|
"wedo2.motorBlockText": "\"Washa mota kwa muda wa sekunde 1\"",
|
|
"wedo2.starterProjects": "Miradi ya Kuanzishia",
|
|
"wedo2.starter1PetTitle": "Tengeza mnyama-kipenzi wako mwenyewe",
|
|
"wedo2.starter1PetDescription": "Tumia mota kutengeza mkia unaozunguka wa myama- kipenzi wako wa kubuni.",
|
|
"wedo2.starter2FoxTitle": "Songeza mbweha",
|
|
"wedo2.starter2FoxDescription": "Tumia sensa ya mwinamo kusogeza mbweha nyuma au mbele",
|
|
"wedo2.starter3PufferfishTitle": "Kubaza bunju",
|
|
"wedo2.starter3PufferfishDescription": "Tumia Sensa ya kupima umbali ili kukuza samaki",
|
|
"wedo2.troubleshootingTitle": "Utatuzi wa Shida",
|
|
"wedo2.checkOSVersionTitle": "Hakikisha kuwa mfumo wa uendeshaji wako unatangamana na kiungo cha Scratch ",
|
|
"wedo2.checkOSVersionText": "Matoleo ya kiwango cha chini ya mfumo wa uendeshaji yameorodheshwa juu ya ukurasa huu. Tazama maagizo ya jinsi ya kukagua toleo la mfumo wako wa uendeshaji wa {winOSVersionLink} au {macOSVersionLink}.",
|
|
"wedo2.winOSVersionLinkText": "Windows",
|
|
"wedo2.macOSVersionLinkText": "Mac OS",
|
|
"wedo2.closeScratchCopiesTitle": "Sitisha nakala zingine za Scratch",
|
|
"wedo2.closeScratchCopiesText": "Ni nakala moja tu ya Scratch ndiyo inaweza kuunganishinwa na WeDo 2.0 kwa wakati mmoja. Iwapo Scratch imefunguliwa katika vichupo vingine vya kivinjari, vifunge na ujaribu tena.",
|
|
"wedo2.otherComputerConnectedTitle": "Hakikisha kuwa kompyuta yoyote haijaunganishwa na WeDo 2.0 yako",
|
|
"wedo2.otherComputerConnectedText": "Kompyuta moja tu ndio inaweza kuunganishwa na WeDo 2.0 kwa wakati mmoja. Ikiwa una kompyuta nyingine iliyounganishwa na WeDo 2.0 yako, tenganisha WeDo 2.0 hiyo, usitishe programu ya Scratch kwenye kompyuta halafu ujaribu tena.",
|
|
"wedo2.updateLinkTitle": "Sasisha kiungo cha Scratch",
|
|
"wedo2.updateLinkText": "Hakikisha umesanikisha toleo la hivi karibuni la kiungo cha Scratch.",
|
|
"wedo2.legacyInfoTitle": "Kutumia Scratch 2.0",
|
|
"wedo2.legacyInfoText": "Tembelea ukurasa wetu kuhusu 1 {wedoLegacyLink}",
|
|
"wedo2.legacyLinkText": "Kutumia WeDo pamoja na Scratch 2.0",
|
|
"wedo2.imgAltWeDoIllustration": "Kielelezo cha WeDo2 ikitumia sensa ya mwinamo pamoja na mota",
|
|
"wedo2.imgAltStarter1Pet": "Mradi wa scratch wa mbwa na taco",
|
|
"wedo2.imgAltStarter2Fox": "Mradi wa Scratch wa mbweha akisonga nyuma na mbele",
|
|
"wedo2.imgAltStarter3Pufferfish": "Mradi wa Scratch wa dinosauri "
|
|
} |