mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2024-12-23 06:02:42 -05:00
30 lines
No EOL
2.7 KiB
JSON
30 lines
No EOL
2.7 KiB
JSON
{
|
||
"download.title": "Scratch ya Eneo-kazi",
|
||
"download.intro": "Unaweza sakinisha kihariri cha Eneo Kazi cha Scratch kufanya kazi kwenye miradi bila kuunganishwa kwa mtandao. Hili toleo litafanya kazi kwenye Windows na MacOs",
|
||
"download.requirements": "Mahitaji",
|
||
"download.imgAltDownloadIllustration": "Picha ya Kiwamba ya Scratch 3.0",
|
||
"download.installHeaderTitle": "Sakinisha Scratch ya Eneo-kazi",
|
||
"download.downloadScratchDesktop": "Pakua Scratch ya Eneo-kazi",
|
||
"download.downloadButton": "Pakua",
|
||
"download.troubleshootingTitle": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
|
||
"download.startScratchDesktop": "Anzisha Scratch ya Eneo-kazi",
|
||
"download.howDoIInstall": "Ninawezaje kusanikisha Scratch ya Eneo-kazi vipi?",
|
||
"download.whenSupportLinux": "Scracth ya Eneo-kazi, toleo la Linux litakuwa tayari lini?",
|
||
"download.supportLinuxAnswer": " Scratch ya Eneo kazi kwenye Linux kwa sasa hivi haijategemezwa. Tunafanya kazi na washirika na jamii huria kuamua iwapo kuna jinsi tunaweza kutengeneza toleo la Linux baadaye. Makinika!",
|
||
"download.supportChromeOS": "Scracth ya Eneo-kazi, toleo la Chromebooks litakuwa tayari lini?",
|
||
"download.supportChromeOSAnswer": "Scratch ya Eneo kazi ya chromebooks kwa sasa hivi haipo tayari. Tunaifanyia kazi na tunatumai kuizindua mwakani 2019 .",
|
||
"download.olderVersionsTitle": "Matoleo ya Awali",
|
||
"download.olderVersions": "Unatafuta kahariri cha Scratch 2.0 cha nje ya mtandao au Scratch 1.4?",
|
||
"download.scratch1-4Desktop": "Scratch 1.4 ya Eneo-Kazi",
|
||
"download.scratch2Desktop": "Scratch 2.0 ya Eneo-kazi",
|
||
"download.cannotAccessMacStore": "Je, ikiwa siwezi kufikia Mac App Store?",
|
||
"download.cannotAccessWindowsStore": "Je, ikiwa siwezi kufikia Microsoft Store?",
|
||
"download.macMoveToApplications": "Fungua faili ya .dmg.Hamisha Scratch ya Eneo-kazi hadi ndani ya programu tumizi.",
|
||
"download.winMoveToApplications": "Endesha faili ya .exe.",
|
||
"download.canIUseScratchLink": "Je, ninaweza kutumia kiungo cha Scratch ili kuunganisha viendelezi?",
|
||
"download.canIUseScratchLinkAnswer": "Ndio. Hatahivyo, utahitaji mtandao wa intaneti ili kutumia kiungo cha Scratch.",
|
||
"download.desktopAndBrowser": "Je! NInaweza kutumia Scratch ya Eneo-kazi na pia nifungue Scratch katika kivinjari?",
|
||
"download.yesAnswer": "Ndio.",
|
||
"download.canIShare": "Je! Ninaweza kushiriki kutoka kwa Scratch ya eneo-kazi?",
|
||
"download.canIShareAnswer": "Hii haipoi kwa sasa. Kwa sasa unaeza hifadhi mradi katika Scratch ya eneo kazi ya, ipakie katika akaunti yako ya Scratch, na ushiriki hapo. Katika toleo la baadaye tutaongeza uwezo wa kupakia kwenye akaunti yako ya Scratch moja kwa moja kwenye Scratch ya eneo kazi."
|
||
} |