mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-24 05:09:58 -05:00
74 lines
No EOL
6.8 KiB
JSON
74 lines
No EOL
6.8 KiB
JSON
{
|
||
"addToStudio.title": "Ongezea kwa Studio",
|
||
"addToStudio.finishing": "Kumalizia",
|
||
"addToStudio.inviteUser": "Alika mtumiaji aongezee kwenye studio",
|
||
"project.titleMaxLength": "Mada ni ndefu sana",
|
||
"project.musicExtensionChip": "Muziki",
|
||
"project.penExtensionChip": "Kalamu",
|
||
"project.text2SpeechChip": "Kigeuzi Matini",
|
||
"project.translateChip": "Tafsiri",
|
||
"project.videoSensingChip": "Kuhisi Video",
|
||
"project.needsConnection": "Inahitaji unganisho",
|
||
"project.comments.header": "Maoni",
|
||
"project.comments.toggleOff": "Zima maoni",
|
||
"project.comments.toggleOn": "Ruhusu Maoni",
|
||
"project.comments.turnedOff": "Samahani, utoaji maoni hauruhusiwi kwa mradi huu.",
|
||
"project.share.notShared": "Mradi huu hujashirikishwa — kwa sasa ni wewe tu unaweza kuuona. Bonyeza kiungo cha kushiriki ili kila mtu auone!",
|
||
"project.share.sharedLong": "Hongera kwa kushiriki mradi wako! Watu wengine sasa wanaweza kuujaribu, wakupe maoni, na kubadilisha au kuboresha.",
|
||
"project.share.sharedShort": "Mradi wako sasa umeshirikishwa.",
|
||
"project.share.shareButton": "Shirikisha",
|
||
"project.seeInsideButton": "Tazama ndani",
|
||
"project.remix.justRemixed": "\"{title}\" imefanikiwa kubadilisha au kuboreshwa. Ongeza kihusika, ongeza mtindo, fanya mabadiliko kuufanya uwe wako. ",
|
||
"project.remixButton": "Badilisha/Boresha",
|
||
"project.remixButton.altText": "Hifadhi nakala ya mradi huu na uongezee ubunifu wako",
|
||
"project.remixButton.remixing": "Kubadilisha/Kuboresha",
|
||
"project.remixes": "Iliyobadilishwa/iliyoboreshwa",
|
||
"project.viewAllInList": "Tazama yote",
|
||
"project.inviteToRemix": "Mualike mtumiaji aboreshe",
|
||
"project.instructionsLabel": "Maagizo",
|
||
"project.notesAndCreditsLabel": "Maelezo na Sifa",
|
||
"project.credit": "Shukrani kwa {userLink} kwa ajili ya mradi asili {projectLink}.",
|
||
"project.deletedBanner": "Kumbuka: Mradi huu upo kwenye kijalala.",
|
||
"project.defaultCensoredMessage": "Mradi huu uliondolewa na Timu ya Scratch kwa sababu ya kukosa nidhamu, kutozingatia vizazi vyote au vinginevyo ikiwa ni pamoja na kutofuata miongozo ya jamii ya Scratch.",
|
||
"project.communityCensoredMessage": "Mradi wako umesitishwa kwa muda mfupi kwa sababu watu wengi waliuripoti kuwa haufai.",
|
||
"project.willReviewCensoredMessage": "Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na {communityGuidelinesLink}, na ama kurejesha upya mradi au kuendelea kuudhibiti.",
|
||
"project.tempCensoredMessage": "Tafadhali soma {communityGuidelinesLink} na uhakikishe kuhariri mradi kulingana na muongozo kabla ya kuishiriki tena.",
|
||
"project.permCensoredMessage": "Haiwezi kushirikishwa tena wakati wowote katika siku zijazo.",
|
||
"project.communityGuidelines": "miongozo ya jamii",
|
||
"project.moderationInfoLabel": "Taarifa ya kukadiri",
|
||
"project.numScripts": "{number}hati/maandishi",
|
||
"project.numSprites": "{number}vihusika",
|
||
"project.descriptionMaxLength": "Maelezo ni marefu sana",
|
||
"project.notesPlaceholder": "Uliundaje mradi huu? Je! Ulitumia maoni, maandishi au michoro kutoka kwa watu wengine? Watambue hapa.",
|
||
"project.descriptionPlaceholder": "Waelekeze watu jinsi ya kutumia mradi wako (kama vile vitufe vya kubonyeza).",
|
||
"project.cloudDataAlert": "Mradi huu hutumia data ya mtandaoni - kipengele ambacho kinapatikana tu kwa watumizi waliojiandikisha na kuingia kama wanaScratch.",
|
||
"project.cloudVariables": "Vibadilika vya mtandao",
|
||
"project.cloudDataLink": "Tazama Data",
|
||
"project.usernameBlockAlert": "Mradi huu unaweza kutambua ni nani anayeutumia, kupitia kwa bloki ya \"jina la mtumiaji\". Kuficha kitambulisho chako, toka kabla ya kutumia mradi huu.",
|
||
"project.inappropriateUpdate": "Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
|
||
"comment.type.general": "Inaonekana kwamba maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
|
||
"comment.type.general.past": "It appears that one of your recent comments didn’t follow the Scratch Community Guidelines.",
|
||
"comment.general.header": "Tunakuhimiza uchapishe maoni yanayofuata Miongozo ya Jamii ya Scratch.",
|
||
"comment.general.content1": "Kwenye Scratch, ni muhimu kwa maoni kuwa na ukarimu, kufaa kwa umri wote, na yasiwe na barua taka.",
|
||
"comment.type.pii": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kushiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
|
||
"comment.type.pii.past": "It appears that one of your recent comments was sharing or asking for private information.",
|
||
"comment.pii.header": "Tafadhali hakikisha usishiriki habari za kibinafsi kwenye Scratch.",
|
||
"comment.pii.content1": "Inaonekana kwamba ulikuwa unashiriki au kuomba habari za kibinafsi.",
|
||
"comment.pii.content2": "Mambo unayoshiriki kwenye Scratch yanaweza kuonekana na kila mtu, na yanaweza kuonekana katika injini za utafutaji. Maelezo ya kibinafsi yanaweza kutumiwa na watu wengine kwa njia hatari, kwa hivyo ni muhimu kuyaweka faragha.",
|
||
"comment.pii.content3": "Hili ni suala nyeti la usalama.",
|
||
"comment.type.unconstructive": "Inaonekana kwamba maoni yako ya hivi karibuni yalikuwa yakisema kitu ambacho kinaweza kudhuru.",
|
||
"comment.type.unconstructive.past": "It appears that one of your recent comments was saying something that might have been hurtful.",
|
||
"comment.unconstructive.header": "Tunakuhimiza uunge mkono unapotoa maoni juu ya miradi ya watu wengine",
|
||
"comment.unconstructive.content1": "Inaonekana kwamba maoni yako yalikuwa yakisema kitu ambacho kinaweza kudhuru.",
|
||
"comment.unconstructive.content2": "Ikiwa unafikiri kitu kinaweza kuwa bora, unaweza kusema kitu unachopenda kuhusu mradi, na kutoa pendekezo kuhusu jinsi ya kuiboresha.",
|
||
"comment.type.vulgarity": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kuhusisha neno baya.",
|
||
"comment.type.vulgarity.past": "It appears that one of your recent comments contained a bad word.",
|
||
"comment.vulgarity.header": "Tunakuhimiza utumie lugha inayofaa kwa kila umri.",
|
||
"comment.vulgarity.content1": "Inaonekana kwamba maoni yako yana neno baya.",
|
||
"comment.vulgarity.content2": "Scratch ina watumizi wa kila umri, hivyo basi ni muhimu kutumia lugha inayofaa kwa WanaScratch. ",
|
||
"comment.type.spam": "Maoni yako ya hivi karibuni yalionekana kuwa na matangazo, michoro ya maandishi, au jumbe zinazofuatana",
|
||
"comment.type.spam.past": "It appears that one of your recent comments contained advertising, text art, or a chain message.",
|
||
"comment.spam.header": "Tunakuhimiza usitangaze, kunakili michoro ya maandishi, au kuwaomba wengine wanakili maoni.",
|
||
"comment.spam.content1": "Ingawa matangazo, michoro ya maandishi, na nyaraka zinazofuatana zinaweza kufurahisha, zitaanza kujaza wavuti, na tunataka kuhakikisha kuna nafasi ya maoni mengine.",
|
||
"comment.spam.content2": "Asante kwa kutusaidia kutunza Scratch kama jamii yenye urafiki na ubunifu."
|
||
} |