mirror of
https://github.com/scratchfoundation/scratch-l10n.git
synced 2025-01-24 05:09:58 -05:00
345 lines
No EOL
27 KiB
JSON
345 lines
No EOL
27 KiB
JSON
{
|
||
"general.accountSettings": "Mipangilio za akaunti",
|
||
"general.about": "Kuhusu",
|
||
"general.aboutScratch": "Kuhusu Scratch",
|
||
"general.apiError": "Scratch ilikuwa na hitilafu.",
|
||
"general.back": "Nyuma",
|
||
"general.birthMonth": "Mwezi wa Kuzaliwa",
|
||
"general.birthYear": "Mwaka wa Kuzaliwa",
|
||
"general.donate": "Toa Msaada",
|
||
"general.close": "Funga",
|
||
"general.collaborators": "Washirika",
|
||
"general.community": "Jumuiya",
|
||
"general.confirmEmail": "Thibitisha Barua Pepe",
|
||
"general.contactUs": "Wasiliana Nasi",
|
||
"general.getHelp": "Get Help",
|
||
"general.contact": "Mawasiliano",
|
||
"general.done": "Done",
|
||
"general.downloadPDF": "Pakua PDF",
|
||
"general.emailUs": "Tutumie Barua Pepe",
|
||
"general.conferences": "Mikutano",
|
||
"general.country": "Nchi",
|
||
"general.create": "Unda",
|
||
"general.credits": "Sifa",
|
||
"general.dmca": "DMCA",
|
||
"general.emailAddress": "Barua Pepe",
|
||
"general.english": "Kiingereza",
|
||
"general.error": "Ooops! Pametokea kasoro fulani.",
|
||
"general.errorIdentifier": "Kasoro hilo lilihifathiwa na kitambulisho {errorId}",
|
||
"general.explore": "Chunguza",
|
||
"general.faq": "MMM",
|
||
"general.female": "Mke",
|
||
"general.forParents": "Kwa Wazazi",
|
||
"general.forEducators": "Kwa Waalimu",
|
||
"general.forDevelopers": "Kwa Wasanidi Programu",
|
||
"general.getStarted": "Hatua ya Kuanza",
|
||
"general.gender": "Jinsia",
|
||
"general.guidelines": "Maelekezo ya jamii",
|
||
"general.invalidSelection": "Uteuzi batili",
|
||
"general.jobs": "Kazi",
|
||
"general.joinScratch": "Ungana na Scratch",
|
||
"general.legal": "Halali",
|
||
"general.loadMore": "Pakia Zaidi",
|
||
"general.learnMore": "Jifunze Zaidi",
|
||
"general.male": "Mume",
|
||
"general.messages": "Ujumbe",
|
||
"general.month": "Mwezi",
|
||
"general.monthJanuary": "Januari",
|
||
"general.monthFebruary": "Februari ",
|
||
"general.monthMarch": "Machi",
|
||
"general.monthApril": "Aprili",
|
||
"general.monthMay": "Mei",
|
||
"general.monthJune": "Juni",
|
||
"general.monthJuly": "Julai",
|
||
"general.monthAugust": "Agosti",
|
||
"general.monthSeptember": "Septemba",
|
||
"general.monthOctober": "Oktoba",
|
||
"general.monthNovember": "Novemba",
|
||
"general.monthDecember": "Disemba",
|
||
"general.myClass": "Darasa Langu",
|
||
"general.myClasses": "Madarasa Yangu",
|
||
"general.myStuff": "Vitu Vyangu",
|
||
"general.next": "Inayofuata",
|
||
"general.noDeletionTitle": "Akaunti yako haitafutwa",
|
||
"general.noDeletionDescription": "Akaunti yako ilipangiwa kufutwa lakini umeingia. Akaunti yako imeamilishwa tena. Ikiwa haukuomba akaunti yako ifutwe, unapaswa {resetLink} ili kuhakikisha kuwa akaunti yako iko salama.",
|
||
"general.noDeletionLink": "badilisha nywila/nenosiri yako",
|
||
"general.nonBinary": "Isiyo-jozi",
|
||
"general.notRequired": "Haihitajiki",
|
||
"general.okay": "Sawa",
|
||
"general.other": "Nyingine",
|
||
"general.download": "Pakua",
|
||
"general.password": "Nenosiri",
|
||
"general.press": "Shinikiza",
|
||
"general.privacyPolicy": "Sera ya Faragha",
|
||
"general.projects": "Miradi",
|
||
"general.profile": "Wasifu",
|
||
"general.required": "Inahitajika",
|
||
"general.resourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu",
|
||
"general.scratchConference": "Mkutano wa Scratch",
|
||
"general.scratchEd": "ScratchEd",
|
||
"general.scratchFoundation": "Wakfu wa Scratch",
|
||
"general.scratchJr": "ScratchJr",
|
||
"general.scratchStore": "Duka la Scratch",
|
||
"general.search": "Tafuta",
|
||
"general.searchEmpty": "Hakuna kilichopatikana",
|
||
"general.signIn": "Ingia",
|
||
"general.startOver": "Start over",
|
||
"general.statistics": "Takwimu",
|
||
"general.studios": "Studio",
|
||
"general.support": "Msaada",
|
||
"general.ideas": "Mawazo",
|
||
"general.tipsWindow": "Dirisha la Vidokezo",
|
||
"general.termsOfUse": "Masharti ya Matumizi",
|
||
"general.tryAgain": "Jaribu tena",
|
||
"general.unhandledError": "Tunasikitika, inaonekana kama Scratch imeporomoka. Shida hii imeripotiwa kiotomatiki kwa Timu ya Scratch.",
|
||
"general.username": "Jina la mtumiaji",
|
||
"general.validationEmail": "Tafadhali weka anwani halali ya barua pepe",
|
||
"general.validationEmailMatch": "Barua pepe hazilingani",
|
||
"general.viewAll": "Tazama Zote",
|
||
"general.website": "Tovuti",
|
||
"general.whatsHappening": "Nini kinaendelea?",
|
||
"general.wiki": "Wiki ya Scratch",
|
||
"general.copyLink": "Nakili Kiungo",
|
||
"general.report": "Piga Ripoti",
|
||
"general.notAvailableHeadline": "Tunasikitika, inaonekana kuna dosari kwenye Scratch",
|
||
"general.notAvailableSubtitle": "Hatukuweza kupata ukurasa unaoutafuta. Tazama na uhakikishe umeandika URL kwa usahihi.",
|
||
"general.seeAllComments": "Tazama maoni yote",
|
||
"general.all": "yote",
|
||
"general.animations": "Ukaragushi",
|
||
"general.art": "Sanaa",
|
||
"general.games": "Michezo",
|
||
"general.music": "Muziki",
|
||
"general.results": "Matokeo",
|
||
"general.stories": "Hadithi",
|
||
"general.tutorials": "Mafunzo",
|
||
"general.teacherAccounts": "Akaunti za Waalimu",
|
||
"general.unsupportedBrowser": "Kivinjari hakikubaliwi",
|
||
"general.unsupportedBrowserDescription": "Tunasikitika, Scratch 3.0 haiambatani na kivinjari cha Internet Explorer, Vivaldi, Opera ama Silk. Tunapendekeza ujaribu kivinjari kipya kama Google Chrome, Mozilla Firefox ama Microsoft Edge.",
|
||
"general.3faq": "Kupata maelezo zaidi fuata {faqLink}.",
|
||
"general.year": "Mwaka",
|
||
"footer.discuss": "Mabaraza ya majadiliano",
|
||
"footer.scratchFamily": "Familia ya Scratch",
|
||
"footer.donorRecognition": "Scratch is available for free thanks to generous support from our {donorLink}. We are grateful to our Founding Partners:",
|
||
"footer.donors": "donors",
|
||
"footer.donorList": "{donor1}, {donor2}, and {donor3}.",
|
||
"form.validationRequired": "Sehemu hii inahitajika",
|
||
"login.needHelp": "Je! Unahitaji Msaada?",
|
||
"navigation.signOut": "Toka",
|
||
"extensionHeader.requirements": "Mahitaji",
|
||
"extensionInstallation.addExtension": "Katika kihariri bonyeza kitufe cha \" ongeza viendelezi\" upande wa chini kushoto",
|
||
"oschooser.choose": "Chagua Mfumo ya Uendeshaji wako:",
|
||
"installScratch.or": "au",
|
||
"installScratch.directDownload": "Kupakua moja kwa moja",
|
||
"installScratch.appHeaderTitle": "Install the Scratch app for {operatingsystem}",
|
||
"installScratch.getScratchAppPlay": "Get the Scratch app on the Google Play Store",
|
||
"installScratch.getScratchAppMacOs": "Get the Scratch app on the Mac App Store",
|
||
"installScratch.getScratchAppWindows": "Get the Scratch app on the Microsoft Store",
|
||
"installScratch.useScratchApp": "Open the Scratch app on your device.",
|
||
"installScratchLink.installHeaderTitle": "Kiungo cha kusakinisha Scratch ",
|
||
"installScratchLink.downloadAndInstall": "Kiungo cha kupakua na kusakinisha Scratch.",
|
||
"installScratchLink.startScratchLink": "Anzisha Kiungo cha Scratch na uhakikishe kinaendesha. Inapaswa kuonekana kwenye mwambaa wa zana yako",
|
||
"parents.FaqAgeRangeA": "Ijapokuwa Scratch iliundwa haswa, kwa watoto wa miaka 8 hadi 16, vile vile hutumiwa pia na watu wa rika zote, pamoja na watoto wadogo na wazazi wao.",
|
||
"parents.FaqAgeRangeQ": "Umri wa wanaotumia scratch ni upi?",
|
||
"parents.FaqResourcesQ": "Nyenzo zinazopatikana za kujifunza Scratch ni zipi?",
|
||
"parents.introDescription": "Scratch ni lugha ya programu pamoja na jamii ya mtandaoni ambapo watoto wanaweza kusimba na kushiriki midia shirkishi kama hadithi, michezo na ukaragushi kwa watu mbalimbali ulimwenguni. watoto wanapounda kwa Scrach wanajifunza fikira bunifu, kushirikiana kwa kazi na kufikiria kwa taratibu. Scratch imetengenezwa na inakuzwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten cha Mahabara ya Midia MIT.",
|
||
"registration.birthDateStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa kiwango cha umri wa watu wanaotumia Scratch. Tunatumia hii kuthibitisha umiliki wa akaunti ikiwa unawasiliana na timu yetu. Taarifa hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
|
||
"registration.birthDateStepTitle": "Ulizaliwa lini?",
|
||
"registration.cantCreateAccount": "Scratch could not create your account.",
|
||
"registration.checkOutResources": "Anzia kwa Nyenzo",
|
||
"registration.checkOutResourcesDescription": "Vumbua zana za walimu na walimui zilizoandikwa na wanaScratch zinazojumuisha<a href='/educators#resources'> vidokezo, mafunzo na miongozo</a>.",
|
||
"registration.choosePasswordStepDescription": "Chapa nywila mpya ya akaunti yako. Utatumia nywila hii wakati mwingine utakapo ingia kwenye Scratch",
|
||
"registration.choosePasswordStepTitle": "Unda nenosiri",
|
||
"registration.choosePasswordStepTooltip": "Usitumie jina lako au kitu chochote ambacho ni rahisi kwa mtu mwingine kukisia.",
|
||
"registration.classroomApiGeneralError": "Samahani, hatukuweza kupata taarifa ya usajili ya darasa hili",
|
||
"registration.countryStepTitle": "Unaishi katika nchi gani?",
|
||
"registration.generalError": "Samahani, hitilafu isiyotarajiwa ilitokea.",
|
||
"registration.classroomInviteExistingStudentStepDescription": "umealikwa kujiunga na darasa:",
|
||
"registration.classroomInviteNewStudentStepDescription": "Mwalimu wako amekualika ujiunge na darasa:",
|
||
"registration.confirmPasswordInstruction": "Jaribu kuchapa nenosiri tena",
|
||
"registration.confirmYourEmail": "Thibitisha Barua Pepe yako",
|
||
"registration.confirmYourEmailDescription": "Ikiwa haujafanya tayari, tafadhali bonyeza kiungo kwenye barua pepe ya uthibitisho iliyotumwa kwa:",
|
||
"registration.createAccount": "Unda Akaunti yako",
|
||
"registration.createUsername": "Unda jina la mtumiaji",
|
||
"registration.errorBadUsername": "The username you chose is not allowed. Try again with a different username.",
|
||
"registration.errorCaptcha": "There was a problem with the CAPTCHA test.",
|
||
"registration.errorPasswordTooShort": "Your password is too short. It needs to be at least 6 letters long.",
|
||
"registration.errorUsernameExists": "The username you chose already exists. Try again with a different username.",
|
||
"registration.genderStepTitle": "Jinsia yako ni gani?",
|
||
"registration.genderStepDescription": "Scratch welcomes people of all genders.",
|
||
"registration.genderStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa ni akina nani wanatumia Scratch, ili tuweze kukuza ushiriki. Habari hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
|
||
"registration.genderOptionAnother": "Jinsia nyingine?",
|
||
"registration.genderOptionPreferNotToSay": "Pendelea kutosema",
|
||
"registration.emailStepTitle": "Barua pepe yako ni gani?",
|
||
"registration.emailStepInfo": "This will help if you forget your password, or if you want to receive email updates. This information will not be made public on your account.",
|
||
"registration.goToClass": "Ingia darasani",
|
||
"registration.invitedBy": "alikwa na",
|
||
"registration.lastStepTitle": "Asante kwa kuomba Akaunti ya Mwalimu ya Scratch",
|
||
"registration.lastStepDescription": "tunakagua ombi lako",
|
||
"registration.makeProject": "Make a project",
|
||
"registration.mustBeNewStudent": "Lazima uwe mwanafunzi mpya kukamilisha usajili wako",
|
||
"registration.nameStepTooltip": "Taarifa hii inatumika kuthiibitisha na kuhesabu takwimu za matumizi",
|
||
"registration.newPassword": "Nenosiri Jipya",
|
||
"registration.nextStep": "Hatua Ifuatayo",
|
||
"registration.notYou": "Si wewe? Ingia kama mtumiaji mwingine",
|
||
"registration.optIn": "Nitumie sasisho juu ya kutumia Scratch katika mipangilio ya sehemu ya elimu",
|
||
"registration.passwordAdviceShort": "Iandike chini ili ulikumbuke. Usishiriki na wengine!",
|
||
"registration.personalStepTitle": "Habari ya Kibinafsi",
|
||
"registration.personalStepDescription": "Majibu yako ya kibinafsi hayataonyeshwa hadharani, ila yatahifadhiwa kwa siri na salama.",
|
||
"registration.private": "We will keep this information private.",
|
||
"registration.problemsAre": "The problems are:",
|
||
"registration.receiveEmails": "Ningependa kupokea barua pepe kutoka Timu ya Scratch kuhusu maoni ya miradi, hafla, na zaidi.",
|
||
"registration.selectCountry": "Select country",
|
||
"registration.startOverInstruction": "Click \"Start over.\"",
|
||
"registration.studentPersonalStepDescription": "Habari hii haitaonekana kwenye tovuti ya Scratch.",
|
||
"registration.showPassword": "Onyesha nenosiri",
|
||
"registration.troubleReload": "Scratch is having trouble finishing registration. Try reloading the page or try again in another browser.",
|
||
"registration.tryAgainInstruction": "Click \"Try again\".",
|
||
"registration.usernameStepDescription": "Jaza fomu zifuatazo kuwasilisha ombi la akaunti. Hatua za kuidhinisha zinaweza kukamilika baada ya siku moja",
|
||
"registration.usernameStepDescriptionNonEducator": "Unda miradi, shiriki maoni, tengeneza urafikii. Ni bure!",
|
||
"registration.usernameStepRealName": "Tafadhali usitumie sehemu yoyote ya jina lako halisi katika jina lako la mtumiaji.",
|
||
"registration.usernameAdviceShort": "Usitumie jina lako halisi",
|
||
"registration.studentUsernameStepDescription": "Unaweza kuunda michezo, ukaragushi na kutunga hadithii ukitumia Scratch. Kusajili akaunti yako ni rahisi na bure. Anzia kwa kujaza fomu ifuatayo.",
|
||
"registration.studentUsernameStepHelpText": "Je, tayari una akaunti ya Scratch?",
|
||
"registration.studentUsernameStepTooltip": "Utahitaji kuunda akaunti mpya ya Scratch ili ujiunge na darasa hili.",
|
||
"registration.studentUsernameSuggestion": "Try your favorite food, hobby, or animal along with some numbers",
|
||
"registration.acceptTermsOfUse": "By creating an account, you acknowledge the {privacyPolicyLink} and you accept and agree to the {touLink}.",
|
||
"registration.usernameStepTitle": "Agiza Akaunti ya Mwalimu",
|
||
"registration.usernameStepTitleScratcher": "Unda Akaunti ya Scratch",
|
||
"registration.validationMaxLength": "Samahani, umezidisha idadi ya herufi/vibambo",
|
||
"registration.validationPasswordConfirmNotEquals": "Nywila hazifanani",
|
||
"registration.validationPasswordLength": "Lazima iwe na herufi 6 au zaidi",
|
||
"registration.validationPasswordNotEquals": "Nenosiri ni rahisi sana. Jaribu jingine?",
|
||
"registration.validationPasswordNotUsername": "Nenosiri haliwezi kufanana na jina lako la mtumiaji",
|
||
"registration.validationUsernameRegexp": "Majina ya watumiaji yanachukua tu herufi, nambari - na _",
|
||
"registration.validationUsernameMinLength": "Lazima iwe na herufi 3 au zaidi",
|
||
"registration.validationUsernameMaxLength": "Lazima iwe herufi 20 au fupi",
|
||
"registration.validationUsernameExists": "Jina la mtumiaji limechukuliwa. Jaribu jingine?",
|
||
"registration.validationUsernameNotAllowed": "Jina la mtumiaji haliruhusiwi",
|
||
"registration.validationUsernameVulgar": "Hmm, si sahihi",
|
||
"registration.validationUsernameInvalid": "Jina la utumiaji batilifu",
|
||
"registration.validationUsernameSpaces": "Usernames can't have spaces",
|
||
"registration.validationEmailInvalid": "Barua pepe haionekani kuwa sawa. Jaribu nyingine?",
|
||
"registration.waitForApproval": "Subiri uidhinishwe.",
|
||
"registration.waitForApprovalDescription": "Unaweza kuingia kwenye Akaunti yako ya Scratch kwa sasa, lakini huduma maalum kwa Walimu hazijakuwa tayari. Habari yako inakaguliwa. Tafadhali kuwa na subira, hatua za kutoa idhini inaweza kuchukua hadi siku moja. Utapokea barua pepe inayoonyesha kuwa akaunti yako imesasishwa mara tu akaunti yako itakapothibitishwa.",
|
||
"registration.welcomeStepDescription": "Umeweza kuunda akaunti ya Scratch! Sasa umejiunga na darasa:",
|
||
"registration.welcomeStepDescriptionNonEducator": "Umeingia sasa! Unaweza kuanza kuvumbua na kuunda miradi.",
|
||
"registration.welcomeStepInstructions": "Unataka kushiriki na kutoa maoni? Bonyeza kiungo kwenye barua pepe ambayo tumetuma kwa {email}.",
|
||
"registration.welcomeStepPrompt": "Anza kwa kubonyeza kitufe kifuatacho.",
|
||
"registration.welcomeStepTitle": "Hongera! Karibu Scratch!",
|
||
"registration.welcomeStepTitleNonEducator": "Karibu Scratch, {username}!",
|
||
"thumbnail.by": "kwa",
|
||
"report.error": "Kumetokea hitilafu wakati wa kujaribu kutuma ujumbe wako. Tafadhali jaribu tena.",
|
||
"report.project": "Ripoti ya Mradi",
|
||
"report.projectInstructions": "When you send a report, it lets the Scratch Team know about projects that break the {CommunityGuidelinesLink}. Does something in this project break the {CommunityGuidelinesLink}? If you think it does, please tell us more.",
|
||
"report.CommunityGuidelinesLinkText": "Miongozo ya Jumuiya ya Scratch",
|
||
"report.reasonPlaceHolder": "Chagua sababu",
|
||
"report.reasonCopy": "Nakala halisi ya mradi huo",
|
||
"report.reasonUncredited": "Inatumia Picha / Muziki Bila kuwahongera watunzi",
|
||
"report.reasonScary": "Ya Kudhalimu au Kuhofisha",
|
||
"report.reasonJumpscare": "Jumpscare",
|
||
"report.reasonWeapons": "Uses realistic weapons",
|
||
"report.reasonEvent": "Violent event happens",
|
||
"report.reasonScaryImages": "Scary images",
|
||
"report.reasonThreatening": "Threatens or bullies another Scratcher",
|
||
"report.reasonLanguage": "Lugha Isiyofaa",
|
||
"report.reasonMusic": "Muziki Isiyofaa",
|
||
"report.reasonMissing": "Tafadhali chagua sababu",
|
||
"report.reasonImage": "Picha Zisizofaa",
|
||
"report.reasonPersonal": "Kushiriki taarifa kuhusu mawasiliano ya kibinafsi",
|
||
"report.reasonDontLikeIt": "I don't like this project",
|
||
"report.reasonDoesntWork": "This project does not work",
|
||
"report.reasonCouldImprove": "This project could be improved on",
|
||
"report.reasonTooHard": "This project is too hard",
|
||
"report.reasonMisleading": "The project is misleading or tricks the community",
|
||
"report.reasonFaceReveal": "It's a face reveal or is just trying to show someone's picture",
|
||
"report.reasonNoRemixingAllowed": "The project doesn't allow remixing",
|
||
"report.reasonCreatorsSafety": "I'm worried about the safety of the creator of this project",
|
||
"report.reasonSomethingElse": "Something else",
|
||
"report.receivedHeader": "Tumepokea ripoti yako!",
|
||
"report.receivedBody": "Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na miongozo ya jamii ya Scratch.",
|
||
"report.promptPlaceholder": "Chagua sababu hapo juu.",
|
||
"report.promptCopy": "Tafadhali toa kiungo cha mradi wa awali",
|
||
"report.promptUncredited": "Tafadhali toa viungo vinavyorelea mada zisizokuwa na kitambulisho cha wamiliki.",
|
||
"report.promptScary": "Please select the main reason why you feel this project may break the {CommunityGuidelinesLink}.",
|
||
"report.promptJumpscare1": "A \"jumpscare\" is when something unexpected flashes on the screen with the intent to scare someone.",
|
||
"report.promptJumpscare2": "Please let us know more about the \"jumpscare,\" such as what happens, and when does it happen in the project. Also, providing the name of the sprite, costume, or backdrop, associated with the jumpscare is helpful.",
|
||
"report.promptWeapons1": "Please let us know where the image, drawing, or sound of realistic weapons occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
|
||
"report.promptWeapons2": "Tip: Scratch projects should not contain realistic weapons, such as photographs of guns, realistic drawings or sounds. However, cartoon or fictional items like laser beams are okay.",
|
||
"report.promptEvent1": "Please let us know more about the scary event or story in the project. Providing more details will help the Scratch Team better understand the issue and address it.",
|
||
"report.promptEvent2": "Tip: Scratch is used by all people of ages. It’s important projects do not contain mature themes such as harming someone.",
|
||
"report.promptScaryImages1": "Please let us know why you feel this image is too scary for Scratch, and where the image occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
|
||
"report.promptScaryImages2": "Tip: Scratch is used by all people of ages. It’s important projects do not contain blood, realistic violence, or anything that may feel scary or too mature for younger audiences.",
|
||
"report.promptThreatening": "Please let us know why you feel this project is threatening another Scratcher.",
|
||
"report.promptLanguage": "Tafadhali sema ni wapi lugha isiyofaa inatokea katika mradi (Kwa mfano: Vidokezo & Sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk)",
|
||
"report.promptMusic": "Tafadhali taja jina la faili ya sauti iliyona muziki usiofaa",
|
||
"report.promptPersonal": "Tafadhali taja ni wapi taarifa ya kibinafsi inashirikishwa (Kwa mfano: Vidokezo na sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk).",
|
||
"report.promptGuidelines": "Please select a reason why you feel this project may break the {CommunityGuidelinesLink} and the Scratch Team will review your report.",
|
||
"report.promptImage": "Jafadhali sema jina la kihusika au mandhari ya jukwaa iliyo na picha isiyofaa",
|
||
"report.promptDontLikeIt": "Scratch projects are made by people of all ages and levels of experience. If you don't like this project because you feel it can be improved upon, we encourage you to share constructive feedback directly with the creator.",
|
||
"report.promptTips": "Here are tips on sharing constructive feedback:",
|
||
"report.tipsSupportive": "Be supportive and encouraging.",
|
||
"report.tipsConstructive": "Leave a comment telling them what you like, but also what they could do to make the project better.",
|
||
"report.tipsSpecific": "Try to be specific with your feedback. For instance: The controls to move the character did not work.",
|
||
"report.promptDoesntWork": "A Scratch project, like any other application, may contain a few bugs. That is expected and completely okay!",
|
||
"report.promptDoesntWorkTips": "We encourage you to share any issues you discover directly with the creator of the project. It's also helpful to provide suggestions on how they may improve their project, if possible.",
|
||
"report.promptTooHard": "If you feel a project could be easier, we encourage you to share that feedback directly with the creator of the project. Or remix it yourself and make it as easy or hard as you like!",
|
||
"report.promptMisleading": "Tell us more about how it's tricking or misleading people",
|
||
"report.promptFaceReveal": "Scratch allows people to use pictures of their face in creative projects like games, stories, or animations. However, Scratch does not allow users to share projects which are just a picture of their face (known as a “face reveal”) or which focus entirely on their physical appearance. Please explain if you feel this project is a face reveal or focuses on the person's physical appearance.",
|
||
"report.promptNoRemixingAllowed": "Please let us know where the project says it is not okay to remix — such as in the Notes & Credits, project title, etc.",
|
||
"report.promptCreatorsSafety": "It's important that everyone on Scratch remains safe online and in real life. Please let us know why you are worried about the safety of this user.",
|
||
"report.promptSomethingElse": "We encourage you to double check if your report fits any of the other available categories. If you strongly feel it does not, please explain why this project breaks the {CommunityGuidelinesLink}.",
|
||
"report.tooLongError": "Hiyo ni ndefu sana! Tafadhali tafuta njia ya kufupisha maandishi yako",
|
||
"report.tooShortError": "Hiyo ni fupi sana. Tafadhali eleza kwa undani yale yasiyofaa au yaliyokosa nidhamu kuhusu mradi huo",
|
||
"report.send": "Tuma",
|
||
"report.sending": "Inatuma...",
|
||
"report.textMissing": "Tafadhali tuambie kwanini unaripoti mradi huu",
|
||
"comments.delete": "Futa",
|
||
"comments.restore": "Rejesha",
|
||
"comments.reportModal.title": "Ripoti Maoni",
|
||
"comments.reportModal.reported": "Maoni yameripotiwa, na Timu ya Scratch imearifiwa.",
|
||
"comments.reportModal.prompt": "Je, una uhakika unataka kuripoti maoni haya?",
|
||
"comments.deleteModal.title": "Futa Maoni",
|
||
"comments.deleteModal.body": "Futa maoni haya? Ikiwa maoni yanadhalimu au ni ya kukosa nidhamu, tafadhali bonyeza Ripoti ili kujulisha Timu ya Scratch.",
|
||
"comments.reply": "jibu",
|
||
"comments.isEmpty": "Hauwezi kutuma bila kuchapa maoni",
|
||
"comments.isFlood": "Woah, inaonekana kama unapeana maoni haraka sana. Tafadhali subiri muda kiasi kati ya machapisho.",
|
||
"comments.isBad": "Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
|
||
"comments.hasChatSite": "Uh! Maoni yanarejelea kiungo cha wavuti uliyo na gumzo lisilokadiriwa. Kwa sababu za kiusalama, tafadhali usitumie kiungo cha tovuti hizi!",
|
||
"comments.isSpam": "Hmm, inaonekana kama umetumia maoni sawa mara kadhaa. Tafadhali usiudhi kwa kutuma maoni taka.",
|
||
"comments.isMuted": "Hmm, kipelelezi kimetambua kuwa maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata nidhamu ya Scratch, kwa hivyo akaunti yako imesitishwa kwa siku nzima. ",
|
||
"comments.isUnconstructive": "Hmm, Kipelelezi kinikisia kuwa maoni yako yanaweza kuwa dhalimu na yaliyokosa nidhamu. Kumbuka miradi mingi kwenye Scratch imetengenezwa na watu ambao wanajifunza kuandilka programu.",
|
||
"comments.isDisallowed": "Hmm, inaonekana maoni yamezimwa kwa ukurasa huu. : /",
|
||
"comments.isIPMuted": "Samahani, Timu ya Scratch ililazimika kuzuia mtandao wako kushiriki maoni au miradi kwa sababu ilitumiwa kukiuka miongozo yetu ya jamii mara kadhaa. Bado unaweza kushiriki maoni na miradi kutoka kwa mtandao mwingine. Ikiwa ungetaka kukata rufaa kuhusu kizuiliwa huku, unaweza kuwasiliana na appeals@scratch.mit.edu na Nambari ya Kesi {appealId}",
|
||
"comments.isTooLong": "Maoni yako ni marefu sana! tafadhali tafuta namna ya kuyafupisha matini yako",
|
||
"comments.isNotPermitted": "Sorry, you need to confirm your email address before commenting.",
|
||
"comments.error": "Oops! Pametokea hitilafu wakati wa kuchapisha maoni yako",
|
||
"comments.posting": "Inachapisha...",
|
||
"comments.post": "Chapisha",
|
||
"comments.cancel": "Katisha",
|
||
"comments.lengthWarning": "{remainingCharacters, plural, one {1 character left} other {{remainingCharacters} characters left}}",
|
||
"comments.loadMoreReplies": "Ona majibu zaidi",
|
||
"comments.status.delbyusr": "Imefutwa na mwenye mradi.",
|
||
"comments.status.censbyfilter": "Imedhibitiwa na kichujio",
|
||
"comments.status.delbyparentcomment": "Maoni ya mzazi yamefutwa",
|
||
"comments.status.censbyadmin": "Imedhibitiwa na msimamizi ",
|
||
"comments.status.delbyadmin": "Ilifutwa na msimamizi",
|
||
"comments.status.parentcommentcensored": "Maoni ya mzazi yamedhibitiwa",
|
||
"comments.status.delbyclass": "Ilifutwa na darasa",
|
||
"comments.status.hiddenduetourl": "Imefichwa kwasababu ya URL ",
|
||
"comments.status.markedbyfilter": "imewekwa alama na uchujaji ",
|
||
"comments.status.censbyunconstructive": "Imekanywa kwa kutokua na faida",
|
||
"comments.status.suspended": "Imesimamishwa",
|
||
"comments.status.acctdel": "Akaunti imefutwa",
|
||
"comments.status.deleted": "Imefutwa",
|
||
"comments.status.reported": "Imeripotiwa",
|
||
"social.embedLabel": "Pachika ",
|
||
"social.copyEmbedLinkText": "Nakala imepachikwa",
|
||
"social.linkLabel": "Kiungo",
|
||
"social.copyLinkLinkText": "Nakili kiungo",
|
||
"social.embedCopiedResultText": "Imenakiliwa",
|
||
"helpWidget.banner": "Welcome to Support",
|
||
"helpWidget.submit": "Tuma",
|
||
"helpWidget.confirmation": "Thank you for your message.",
|
||
"bluetooth.enableLocationServicesTitle": "Make sure you have location services enabled on Chromebooks or Android tablets",
|
||
"bluetooth.enableLocationServicesText": "Bluetooth can be used to provide location data to the app. In addition to granting the Scratch App permission to access location, location must be enabled in your general device settings. Search for 'Location' in your settings, and make sure it is on. On Chromebooks search for 'Location' in the Google Play Store Android preferences."
|
||
} |