scratch-l10n/www/scratch-website.general-l10njson/sw.json
2021-01-26 20:29:10 -05:00

354 lines
No EOL
28 KiB
JSON
Raw Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

{
"general.accountSettings": "Mipangilio ya akaunti",
"general.about": "Kuhusu",
"general.aboutScratch": "Kuhusu Scratch",
"general.apiError": "Scratch ilikuwa na hitilafu.",
"general.back": "Nyuma",
"general.birthMonth": "Mwezi wa Kuzaliwa",
"general.birthYear": "Mwaka wa Kuzaliwa",
"general.donate": "Toa Msaada",
"general.close": "Funga",
"general.collaborators": "Washirika",
"general.community": "Jamii",
"general.confirmEmail": "Thibitisha Barua Pepe",
"general.contactUs": "Wasiliana Nasi",
"general.getHelp": "Pata Msaada",
"general.contact": "Mawasiliano",
"general.done": "Maliza",
"general.downloadPDF": "Pakua PDF",
"general.emailUs": "Tutumie Barua Pepe",
"general.conferences": "Mikutano",
"general.country": "Nchi",
"general.create": "Unda",
"general.credits": "Sifa",
"general.dmca": "DMCA",
"general.emailAddress": "Barua Pepe",
"general.english": "Kiingereza",
"general.error": "Kuna tatizo.",
"general.errorIdentifier": "Tatizo hilo lilihifadhiwa na kitambulisho {errorId}",
"general.explore": "Chunguza",
"general.faq": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
"general.female": "Mke",
"general.forParents": "Kwa Wazazi",
"general.forEducators": "Kwa Waalimu",
"general.forDevelopers": "Kwa Wasanidi Programu",
"general.getStarted": "Hatua ya Kuanza",
"general.gender": "Jinsia",
"general.guidelines": "Miongozo ya Jamii",
"general.invalidSelection": "Chaguo ni batili",
"general.jobs": "Kazi",
"general.joinScratch": "Ungana na Scratch",
"general.legal": "Kisheria",
"general.loadMore": "Pakia Zaidi",
"general.learnMore": "Jifunze Zaidi",
"general.male": "Mume",
"general.messages": "Ujumbe",
"general.month": "Mwezi",
"general.monthJanuary": "Januari",
"general.monthFebruary": "Februari ",
"general.monthMarch": "Machi",
"general.monthApril": "Aprili",
"general.monthMay": "Mei",
"general.monthJune": "Juni",
"general.monthJuly": "Julai",
"general.monthAugust": "Agosti",
"general.monthSeptember": "Septemba",
"general.monthOctober": "Oktoba",
"general.monthNovember": "Novemba",
"general.monthDecember": "Disemba",
"general.myClass": "Darasa Langu",
"general.myClasses": "Madarasa Yangu",
"general.myStuff": "Vitu Vyangu",
"general.next": "Inayofuata",
"general.noDeletionTitle": "Akaunti yako haitafutwa",
"general.noDeletionDescription": "Akaunti yako ilipangiwa kufutwa lakini umeingia. Akaunti yako imeamilishwa tena. Ikiwa haukuomba akaunti yako ifutwe, unapaswa {resetLink} ili kuhakikisha kuwa akaunti yako iko salama.",
"general.noDeletionLink": "badilisha nenosiri yako",
"general.nonBinary": "Bila jinsia",
"general.notRequired": "Haihitajiki",
"general.okay": "Sawa",
"general.other": "Nyingine",
"general.download": "Pakua",
"general.password": "Nenosiri",
"general.press": "Hahari",
"general.privacyPolicy": "Sera ya Faragha",
"general.projects": "Miradi",
"general.profile": "Wasifu",
"general.required": "Inahitajika",
"general.resourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu",
"general.scratchConference": "Mkutano wa Scratch",
"general.scratchEd": "ScratchEd",
"general.scratchFoundation": "Msingi wa Scratch",
"general.scratchJr": "ScratchJr",
"general.scratchStore": "Scratch Store",
"general.search": "Tafuta",
"general.searchEmpty": "Hakuna kilichopatikana",
"general.signIn": "Ingia",
"general.startOver": "Anza tena",
"general.statistics": "Takwimu",
"general.studios": "Studio",
"general.support": "Msaada",
"general.ideas": "Mawazo",
"general.tipsWindow": "Vidokezo",
"general.termsOfUse": "Masharti ya Matumizi",
"general.tryAgain": "Jaribu tena",
"general.unhandledError": "Tunasikitika, inaonekana kama Scratch haifanyi kazi na imefungwa. Shida hii imeripotiwa kiotomatiki kwa Timu ya Scratch.",
"general.username": "Jina la mtumiaji",
"general.validationEmail": "Tafadhali weka anwani halali ya barua pepe",
"general.validationEmailMatch": "Barua pepe hazilingani",
"general.viewAll": "Tazama Zote",
"general.website": "Tovuti",
"general.whatsHappening": "Nini kinaendelea?",
"general.wiki": "Scratch Wiki",
"general.copyLink": "Nakili Kiungo",
"general.report": "Piga Ripoti",
"general.notAvailableHeadline": "Inaonekana kuna tatizo na Scratch.",
"general.notAvailableSubtitle": "Hatukuweza kupata ukurasa unaotafuta. Tazama na uhakikishe umeandika URL kwa usahihi.",
"general.seeAllComments": "Tazama maoni yote",
"general.all": "yote",
"general.animations": "Vibonzo",
"general.art": "Sanaa",
"general.games": "Michezo",
"general.music": "Muziki",
"general.results": "Matokeo",
"general.stories": "Hadithi",
"general.tutorials": "Mafunzo",
"general.teacherAccounts": "Akaunti za Waalimu",
"general.unsupportedBrowser": "Kivinjari hakikubaliwi",
"general.unsupportedBrowserDescription": "Scratch 3.0 haiambatani na kivinjari cha Internet Explorer, Vivaldi, Opera ama Silk. Tunapendekeza ujaribu kivinjari kipya kama Google Chrome, Mozilla Firefox ama Microsoft Edge.",
"general.3faq": "Kupata maelezo zaidi fuata {faqLink}.",
"general.year": "Mwaka",
"footer.discuss": "Mabaraza ya Majadiliano",
"footer.scratchFamily": "Familia ya Scratch",
"footer.donorRecognition": "Scratch inapatikana bila malipo kwa sababu ya msaada kutoka {donorLink}. Tunashukuru washirika waanzilishi wetu:",
"footer.donors": "wafadhili",
"footer.donorList": "{donor1}, {donor2}, na {donor3}.",
"form.validationRequired": "Sehemu hii inahitajika",
"login.needHelp": "Unahitaji Msaada?",
"navigation.signOut": "Toka",
"extensionHeader.requirements": "Mahitaji",
"extensionInstallation.addExtension": "Katika kihariri, bonyeza kitufe cha \"Ongeza Viendelezi\" upande wa chini kushoto.",
"oschooser.choose": "Chagua Mfumo ya Uendeshaji wako:",
"installScratch.or": "au",
"installScratch.directDownload": "Kupakua moja kwa moja",
"installScratch.appHeaderTitle": "Sakinisha Scratch app kwa {operatingsystem}",
"installScratch.getScratchAppPlay": "Pata Scratch kwenye Google Play Store",
"installScratch.getScratchAppMacOs": "Pata Scratch kwenye Mac App Store",
"installScratch.getScratchAppWindows": "Pata Scratch kwenye Microsoft Store",
"installScratch.useScratchApp": "Fungua Scratch App kwenye kifaa chako.",
"installScratchLink.installHeaderTitle": "Sakinisha Scratch Link",
"installScratchLink.downloadAndInstall": "Pakua na kusakinisha Scratch Link",
"installScratchLink.startScratchLink": "Anzisha Scratch Link na uhakikishe inaendesha. Inapaswa kuonekana kwenye mwambaa zana (toolbar) wako.",
"parents.FaqAgeRangeA": "Ijapokuwa Scratch iliundwa haswa kwa watoto wa miaka 8 hadi 16, vile vile hutumiwa pia na watu wa rika zote, pamoja na watoto wadogo na wazazi wao.",
"parents.FaqAgeRangeQ": "Umri wa wanaotumia Scratch ni upi?",
"parents.FaqResourcesQ": "Nyenzo zinazopatikana za kujifunza Scratch ni zipi?",
"parents.introDescription": "Scratch ni lugha ya programu ambapo watoto wanaweza kuumba, kusimba na kusambaza hadithi, michezo na vibonzo kwa watu mbalimbali ulimwenguni. Watoto wanapotumia Scratch wanajifunza ubunifu wa mawazo, kushirikiana katika vikundi, na kufikiria kwa utaratibu. Scratch imetengenezwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten katika MIT Media Lab.",
"registration.birthDateStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa kiwango cha umri wa watu wanaotumia Scratch. Tunatumia hii kuthibitisha umiliki wa akaunti ikiwa unawasiliana na timu yetu. Taarifa hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.birthDateStepTitle": "Ulizaliwa lini?",
"registration.cantCreateAccount": "Scratch haikuweza kuunda akaunti yako.",
"registration.checkOutResources": "Anza kwa kutumia Nyenzo",
"registration.checkOutResourcesDescription": "Vumbua nyenzo za walimu zilizoandikwa na timu ya Scratch, pamoja na <a href='/educators#resources'> vidokezo, mafunzo na miongozo</a>.",
"registration.choosePasswordStepDescription": "Andika nenosiri jipya la akaunti yako. Utatumia nenosiri hili wakati mwingine utakapoingia kwenye Scratch.",
"registration.choosePasswordStepTitle": "Unda nenosiri",
"registration.choosePasswordStepTooltip": "Usitumie jina lako au kitu chochote ambacho ni rahisi kwa mtu mwingine kukisia.",
"registration.classroomApiGeneralError": "Samahani, hatukuweza kupata habari ya usajili ya darasa hili",
"registration.countryStepTitle": "Unaishi katika nchi gani?",
"registration.generalError": "Samahani, tatizo lisilotarajiwa lilitokea.",
"registration.classroomInviteExistingStudentStepDescription": "umealikwa kujiunga na darasa:",
"registration.classroomInviteNewStudentStepDescription": "Mwalimu wako amekualika ujiunge na darasa:",
"registration.confirmPasswordInstruction": "Jaribu kuandika nenosiri tena",
"registration.confirmYourEmail": "Thibitisha Barua Pepe yako",
"registration.confirmYourEmailDescription": "Ikiwa haujafanya tayari, tafadhali bonyeza kiungo kwenye barua pepe ya uthibitisho iliyotumwa kwa:",
"registration.createAccount": "Unda Akaunti yako",
"registration.createUsername": "Unda jina la mtumiaji",
"registration.errorBadUsername": "Jina la mtumiaji ulilochagua haliruhusiwi. Jaribu tena na jina la mtumiaji tofauti.",
"registration.errorCaptcha": "Kulikuwa na tatizo na jaribio la CAPTCHA.",
"registration.errorPasswordTooShort": "Nenosiri lako ni fupi sana. Inahitaji kuwa na angalau herufi 6.",
"registration.errorUsernameExists": "Jina la mtumiaji ulilochagua tayari lipo. Jaribu tena na jina la mtumiaji tofauti.",
"registration.genderStepTitle": "Jinsia yako ni gani?",
"registration.genderStepDescription": "Scratch hukaribisha watu wa jinsia zote.",
"registration.genderStepInfo": "Hii inatusaidia kuelewa ni nani anatumia Scratch, ili tuweze kukuza ushiriki. Habari hii haitawekwa hadharani kwenye akaunti yako.",
"registration.genderOptionAnother": "Jinsia nyingine?",
"registration.genderOptionPreferNotToSay": "Pendelea kutosema",
"registration.emailStepTitle": "Barua pepe yako ni nini?",
"registration.emailStepInfo": "Hii itasaidia ukisahau nenosiri lako. Habari hii haitawekwa hadharani kwa akaunti yako.",
"registration.goToClass": "Ingia Darasani",
"registration.invitedBy": "alikwa na",
"registration.lastStepTitle": "Asante kwa kuomba Akaunti ya Mwalimu ya Scratch",
"registration.lastStepDescription": "Tunashughulikia ombi lako.",
"registration.makeProject": "Unda mradi",
"registration.mustBeNewStudent": "Lazima uwe mwanafunzi mpya kukamilisha usajili wako",
"registration.nameStepTooltip": "Habari hii inatumika kuthiibitisha na kuhesabu takwimu za matumizi.",
"registration.newPassword": "Nenosiri Jipya",
"registration.nextStep": "Hatua Ifuatayo",
"registration.notYou": "Si wewe? Ingia kama mtumiaji mwingine",
"registration.optIn": "Nitumie sasisho za kutumia Scratch katika mipangilio ya kielimu",
"registration.passwordAdviceShort": "Andika nenosiri lako chini ili ulikumbuke. Usilishiriki na wengine!",
"registration.personalStepTitle": "Habari ya Kibinafsi",
"registration.personalStepDescription": "Majibu yako ya kibinafsi hayataonyeshwa hadharani, na yatahifadhiwa kwa siri na salama.",
"registration.private": "Tutahifadhi habari hii kuwa ya faragha.",
"registration.problemsAre": "Matatizo ni:",
"registration.selectCountry": "Chagua nchi",
"registration.startOverInstruction": "Bongeza \"Anza tena.\"",
"registration.studentPersonalStepDescription": "Habari hii haitaonekana kwenye tovuti ya Scratch.",
"registration.showPassword": "Onyesha nenosiri",
"registration.troubleReload": "Scratch inapata shida kumaliza usajili. Jaribu kupakia ukurasa tena au jaribu tena kwenye kivinjari kingine.",
"registration.tryAgainInstruction": "Bonyeza \"Jaribu tena.\"",
"registration.usernameStepDescription": "Jaza fomu zifuatazo kuwasilisha ombi la akaunti. Hatua za kuidhinisha zinaweza kukamilika baada ya siku moja",
"registration.usernameStepDescriptionNonEducator": "Unda miradi, shiriki mawazo, pata marafiki. Ni bure!",
"registration.usernameStepRealName": "Tafadhali usitumie sehemu yoyote ya jina lako halisi katika jina lako la mtumiaji.",
"registration.usernameAdviceShort": "Usitumie jina lako halisi",
"registration.studentUsernameStepDescription": "Unaweza kuunda michezo, vibonzo na kutunga hadithi ukitumia Scratch. Kusajili akaunti yako ni rahisi na bure. Anza kwa kujaza fomu ifuatayo.",
"registration.studentUsernameStepHelpText": "Je, tayari una akaunti ya Scratch?",
"registration.studentUsernameStepTooltip": "Utahitaji kuunda akaunti mpya ya Scratch ili ujiunge na darasa hili.",
"registration.studentUsernameSuggestion": "Jaribu vitu unavyopenda kama chakula, michezo, au wanyama pamoja na baadthi ya nambari. ",
"registration.acceptTermsOfUse": "Kwa kuunda akaunti, unakiri {privacyPolicyLink} na unakubaliana na {touLink}.",
"registration.usernameStepTitle": "Omba Akaunti ya Mwalimu",
"registration.usernameStepTitleScratcher": "Unda Akaunti ya Scratch",
"registration.validationMaxLength": "Samahani, umezidisha idadi ya herufi.",
"registration.validationPasswordConfirmNotEquals": "manenosiri hayafanani",
"registration.validationPasswordLength": "Lazima iwe na herufi 6 au zaidi",
"registration.validationPasswordNotEquals": "Nenosiri ni rahisi sana. Jaribu jingine?",
"registration.validationPasswordNotUsername": "Nenosiri haliwezi kufanana na jina lako la mtumiaji",
"registration.validationUsernameRegexp": "Majina ya watumiaji yanachukua tu herufi, nambari - na _",
"registration.validationUsernameMinLength": "Lazima iwe na herufi 3 au zaidi",
"registration.validationUsernameMaxLength": "Lazima iwe herufi 20 au fupi",
"registration.validationUsernameExists": "Jina la mtumiaji limechukuliwa. Jaribu jingine?",
"registration.validationUsernameNotAllowed": "Jina la mtumiaji haliruhusiwi",
"registration.validationUsernameVulgar": "Halifai",
"registration.validationUsernameInvalid": "Jina la mtumiaji ni batili",
"registration.validationUsernameSpaces": "Majina ya watumiaji hayawezi kuwa na nafasi",
"registration.validationEmailInvalid": "Barua pepe si sawa. Jaribu nyingine?",
"registration.waitForApproval": "Subiri idhinishwe",
"registration.waitForApprovalDescription": "Kwa sasa, unaweza kuingia kwenye akaunti yako ya Scratch, lakini huduma maalum kwa waalimu hazijakuwa tayari. Habari yako inakaguliwa. Tafadhali kuwa na subira, hatua za kutoa idhini inaweza kuchukua hadi siku moja. Utapokea barua pepe inayoonyesha kuwa akaunti yako imesasishwa mara tu akaunti yako itakapoidhinishwa.",
"registration.welcomeStepDescription": "Umefanikiwa kuunda akaunti ya Scratch! Sasa umejiunga na darasa:",
"registration.welcomeStepDescriptionNonEducator": "Umeingia kwenye Scratch! Unaweza kuanza kuunda miradi.",
"registration.welcomeStepInstructions": "Unataka kushiriki na kutoa maoni? Bonyeza kiungo kwenye barua pepe ambayo tumetuma kwa {email}.",
"registration.welcomeStepPrompt": "Anza kwa kubonyeza kitufe kifuatacho.",
"registration.welcomeStepTitle": "Hongera! Karibu Scratch!",
"registration.welcomeStepTitleNonEducator": "Karibu Scratch, {username}!",
"thumbnail.by": "kwa",
"report.error": "Tatizo limetokea wakati wa kujaribu kutuma ujumbe wako. Tafadhali jaribu tena.",
"report.project": "Ripoti Mradi",
"report.projectInstructions": "Unapotuma ripoti, inaruhusu timu ya Scratch kujua mambo kuhusu miradi ambayo inavunja {CommunityGuidelinesLink}. Kuna kitu katika mradi huu kinachovunja {CommunityGuidelinesLink}? Ikiwa unafikiri kinafanya hivyo, tafadhali tuambie zaidi.",
"report.CommunityGuidelinesLinkText": "Miongozo ya Jamii ya Scratch",
"report.reasonPlaceHolder": "Chagua sababu",
"report.reasonCopy": "Nakala Halisi ya Mradi",
"report.reasonUncredited": "Mradi unatumia Picha/Muziki bila kutambua watungaji",
"report.reasonScary": "Kuna vurugu sana",
"report.reasonJumpscare": "Jumpscare",
"report.reasonWeapons": "Mradi unatumia silaha",
"report.reasonEvent": "Tukio la vurugu hufanyika",
"report.reasonScaryImages": "Picha za kutisha",
"report.reasonThreatening": "Mradi unadhulumu au kuchokoza Scratcher mwngine.",
"report.reasonLanguage": "Lugha isiyofaa",
"report.reasonMusic": "Muziki isiyofaa",
"report.reasonMissing": "Tafadhali chagua sababu",
"report.reasonImage": "Picha zisizofaa",
"report.reasonPersonal": "Kushiriki habari ya mawasiliano ya kibinafsi",
"report.reasonDontLikeIt": "Sipendi mradi huu",
"report.reasonDoesntWork": "Mradi huu haufanyi kazi",
"report.reasonCouldImprove": "Mradi huu unaweza kuboreshwa",
"report.reasonTooHard": "Mradi huu ni mgumu sana",
"report.reasonMisleading": "Mradi huu unapotosha au unadanganya jamii",
"report.reasonFaceReveal": "Mradi unaonyesha sura ya mtu au unajaribu kuonyesha picha ya mtu. ",
"report.reasonNoRemixingAllowed": "Mradi huu hauruhusu kubadilishwa.",
"report.reasonCreatorsSafety": "Nina wasiwasi juu ya usalama wa muundaji wa mradi huu",
"report.reasonSomethingElse": "Sababu nyingine",
"report.reasonDisrespectful": "Kutowaheshimu watu",
"report.receivedHeader": "Tumepokea ripoti yako!",
"report.receivedBody": "Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na miongozo ya jamii ya Scratch.",
"report.promptPlaceholder": "Chagua sababu hapo juu.",
"report.promptCopy": "Tafadhali toa kiungo cha mradi wa awali",
"report.promptUncredited": "Tafadhali toa viungo kwa maudhui ambayo hayatambulishi watungaji",
"report.promptScary": "Tafadhali chagua sababu ya kuhisi mradi huu unaweza kuvunja {CommunityGuidelinesLink}",
"report.promptJumpscare1": "\"Jumpscare\" ni kitu kinachoonyeshwa kwenye skirini na nia ya kutisha watu.",
"report.promptJumpscare2": "Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu \"jumpscare,\" kama vile kinachotokea, na ni lini hufanyika katika mradi huo. Pia, tuambie jina la sprite, mtindo, au mandhari ya nyuma, inayohusishwa na jumpscare ni muhimu.",
"report.promptWeapons1": "Please let us know where the image, drawing, or sound of realistic weapons occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
"report.promptWeapons2": "Tip: Scratch projects should not contain realistic weapons, such as photographs of guns, realistic drawings or sounds. However, cartoon or fictional items like laser beams are okay.",
"report.promptEvent1": "Please let us know more about the scary event or story in the project. Providing more details will help the Scratch Team better understand the issue and address it.",
"report.promptEvent2": "Tip: Scratch is used by all people of ages. Its important projects do not contain mature themes such as harming someone.",
"report.promptScaryImages1": "Please let us know why you feel this image is too scary for Scratch, and where the image occurs in the project, such as the name of the sprite, costume, or backdrop.",
"report.promptScaryImages2": "Tip: Scratch is used by all people of ages. Its important projects do not contain blood, realistic violence, or anything that may feel scary or too mature for younger audiences.",
"report.promptThreatening": "Please let us know why you feel this project is threatening another Scratcher.",
"report.promptLanguage": "Tafadhali sema ni wapi lugha isiyofaa inatokea katika mradi (Kwa mfano: Vidokezo & Sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk)",
"report.promptMusic": "Tafadhali taja jina la faili ya sauti iliyona muziki usiofaa",
"report.promptPersonal": "Tafadhali taja ni wapi taarifa ya kibinafsi inashirikishwa (Kwa mfano: Vidokezo na sifa, jina la kihusika, maandishi ya mradi, nk).",
"report.promptGuidelines": "Please select a reason why you feel this project may break the {CommunityGuidelinesLink} and the Scratch Team will review your report.",
"report.promptImage": "Jafadhali sema jina la kihusika au mandhari ya jukwaa iliyo na picha isiyofaa",
"report.promptDontLikeIt": "Scratch projects are made by people of all ages and levels of experience. If you don't like this project because you feel it can be improved upon, we encourage you to share constructive feedback directly with the creator.",
"report.promptTips": "Hapa kuna vidokezo juu ya kushiriki maoni ya ujenzi:",
"report.tipsSupportive": "Kuwa msaidizi na wa kutia moyo.",
"report.tipsConstructive": "Acha maoni kuwaambia unachopenda, lakini pia kile wanachoweza kufanya ili kufanya mradi huo kuwa bora zaidi.",
"report.tipsSpecific": "Try to be specific with your feedback. For instance: The controls to move the character did not work.",
"report.promptDoesntWork": "A Scratch project, like any other application, may contain a few bugs. That is expected and completely okay!",
"report.promptDoesntWorkTips": "We encourage you to share any issues you discover directly with the creator of the project. It's also helpful to provide suggestions on how they may improve their project, if possible.",
"report.promptTooHard": "If you feel a project could be easier, we encourage you to share that feedback directly with the creator of the project. Or remix it yourself and make it as easy or hard as you like!",
"report.promptMisleading": "Tuambie zaidi kuhusu jinsi inavyowalaghai au kuwapotosha watu",
"report.promptFaceReveal": "Scratch allows people to use pictures of their face in creative projects like games, stories, or animations. However, Scratch does not allow users to share projects which are just a picture of their face (known as a “face reveal”) or which focus entirely on their physical appearance. Please explain if you feel this project is a face reveal or focuses on the person's physical appearance.",
"report.promptNoRemixingAllowed": "Please let us know where the project says it is not okay to remix — such as in the Notes & Credits, project title, etc.",
"report.promptCreatorsSafety": "Ni muhimu kwamba kila mtu kwenye Scratch anabaki salama mtandaoni na katika maisha halisi. Tafadhali tujulishe kwa nini una wasiwasi juu ya usalama wa mtumiaji huyu.",
"report.promptSomethingElse": "We encourage you to double check if your report fits any of the other available categories. If you strongly feel it does not, please explain why this project breaks the {CommunityGuidelinesLink}.",
"report.promptDisrespectful1": "Please let us know why you feel this project is disrespectful to another Scratcher or group. Where does the disrespectful content occur in the project (project text, images, sounds, etc.)?",
"report.promptDisrespectful2": "Remember: Scratch welcomes people of all ages, races, ethnicities, religions, abilities, sexual orientations, and gender identities. Its important everyone feels welcomed and safe when sharing on Scratch.",
"report.tooLongError": "Hiyo ni ndefu sana! Tafadhali tafuta njia ya kufupisha maandishi yako",
"report.tooShortError": "Hiyo ni fupi sana. Tafadhali eleza kwa undani yale yasiyofaa au yaliyokosa nidhamu kuhusu mradi huo",
"report.send": "Tuma",
"report.sending": "Inatuma...",
"report.textMissing": "Tafadhali tuambie kwanini unaripoti mradi huu",
"comments.delete": "Futa",
"comments.restore": "Rejesha",
"comments.reportModal.title": "Ripoti Maoni",
"comments.reportModal.reported": "Maoni yameripotiwa, na Timu ya Scratch imearifiwa.",
"comments.reportModal.prompt": "Je, una uhakika unataka kuripoti maoni haya?",
"comments.deleteModal.title": "Futa Maoni",
"comments.deleteModal.body": "Futa maoni haya? Ikiwa maoni yanadhalimu au ni ya kukosa nidhamu, tafadhali bonyeza Ripoti ili kujulisha Timu ya Scratch.",
"comments.reply": "jibu",
"comments.isEmpty": "Hauwezi kutuma bila kuchapa maoni",
"comments.isFlood": "Woah, inaonekana kama unapeana maoni haraka sana. Tafadhali subiri muda kiasi kati ya machapisho.",
"comments.isBad": "Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu.",
"comments.hasChatSite": "Uh! Maoni yanarejelea kiungo cha wavuti uliyo na gumzo lisilokadiriwa. Kwa sababu za kiusalama, tafadhali usitumie kiungo cha tovuti hizi!",
"comments.isSpam": "Hmm, inaonekana kama umetumia maoni sawa mara kadhaa. Tafadhali usiudhi kwa kutuma maoni taka.",
"comments.isMuted": "Hmm, kipelelezi kimetambua kuwa maoni yako ya hivi karibuni hayakufuata nidhamu ya Scratch, kwa hivyo akaunti yako imesitishwa kwa siku nzima. ",
"comments.isUnconstructive": "Hmm, Kipelelezi kinikisia kuwa maoni yako yanaweza kuwa dhalimu na yaliyokosa nidhamu. Kumbuka miradi mingi kwenye Scratch imetengenezwa na watu ambao wanajifunza kuandilka programu.",
"comments.isDisallowed": "Hmm, inaonekana maoni yamezimwa kwa ukurasa huu. : /",
"comments.isIPMuted": "Samahani, Timu ya Scratch ililazimika kuzuia mtandao wako kushiriki maoni au miradi kwa sababu ilitumiwa kukiuka miongozo yetu ya jamii mara kadhaa. Bado unaweza kushiriki maoni na miradi kutoka kwa mtandao mwingine. Ikiwa ungetaka kukata rufaa kuhusu kizuiliwa huku, unaweza kuwasiliana na appeals@scratch.mit.edu na Nambari ya Kesi {appealId}",
"comments.isTooLong": "Maoni yako ni marefu sana! tafadhali tafuta namna ya kuyafupisha matini yako",
"comments.isNotPermitted": "Samahani, unahitaji kuthibitisha anwani yako ya barua pepe kabla ya kutoa maoni.",
"comments.error": "Oops! Pametokea hitilafu wakati wa kuchapisha maoni yako",
"comments.posting": "Inachapisha...",
"comments.post": "Chapisha",
"comments.cancel": "Katisha",
"comments.lengthWarning": "{remainingCharacters, plural, one {1 character left} other {{remainingCharacters} characters left}}",
"comments.loadMoreReplies": "Ona majibu zaidi",
"comments.status.delbyusr": "Imefutwa na mwenye mradi.",
"comments.status.censbyfilter": "Imedhibitiwa na kichujio",
"comments.status.delbyparentcomment": "Maoni ya mzazi yamefutwa",
"comments.status.censbyadmin": "Imedhibitiwa na msimamizi ",
"comments.status.delbyadmin": "Ilifutwa na msimamizi",
"comments.status.parentcommentcensored": "Maoni ya mzazi yamedhibitiwa",
"comments.status.delbyclass": "Ilifutwa na darasa",
"comments.status.hiddenduetourl": "Imefichwa kwa sababu ya kiungo ",
"comments.status.markedbyfilter": "imewekwa alama na uchujaji ",
"comments.status.censbyunconstructive": "Imekanywa kwa kutokua na faida",
"comments.status.suspended": "Imesimamishwa",
"comments.status.acctdel": "Akaunti imefutwa",
"comments.status.deleted": "Imefutwa",
"comments.status.reported": "Imeripotiwa",
"comments.muted.duration": "Utaweza kutuma maoni tena {inDuration}",
"comments.muted.commentingPaused": "Akaunti yako imesitishwa kutoa maoni hadi wakati huo.",
"comments.muted.moreInfoGuidelines": "Kama ungependa habari zaidi, unaweza kusoma {CommunityGuidelinesLink}",
"comments.muted.moreInfoModal": "Kwa maelezo zaidi {clickHereLink}.",
"comments.muted.clickHereLinkText": "bonyeza hapa",
"comments.muted.warningBlocked": "Ikiwa utaendelea kuchapisha maoni kama haya, itakufanya uzuiwe kutumia Scratch",
"comments.muted.warningCareful": "We don't want that to happen, so please be careful and make sure you have read and understand the {CommunityGuidelinesLink} before you try to post again!",
"social.embedLabel": "Pachika ",
"social.copyEmbedLinkText": "Nakala imepachikwa",
"social.linkLabel": "Kiungo",
"social.copyLinkLinkText": "Nakili kiungo",
"social.embedCopiedResultText": "Imenakiliwa",
"helpWidget.banner": "Karibu Kusaidia",
"helpWidget.submit": "Tuma",
"helpWidget.confirmation": "Asante kwa ujumbe wako.",
"bluetooth.enableLocationServicesTitle": "Hakikisha una huduma za mahali zilizowezeshwa kwenye Chromebooks au vidonge vya Android",
"bluetooth.enableLocationServicesText": "Bluetooth can be used to provide location data to the app. In addition to granting the Scratch App permission to access location, location must be enabled in your general device settings. Search for 'Location' in your settings, and make sure it is on. On Chromebooks search for 'Location' in the Google Play Store Android preferences."
}