scratch-l10n/www/scratch-website.download-l10njson/sw.json
2019-10-08 22:42:35 +00:00

30 lines
No EOL
2.6 KiB
JSON

{
"download.title": "Eneo kazi ya Scratch",
"download.intro": "unaweza sanikisha kiharirir cha Scratch Desktop kufanya kazi kwenye miradi bila kuunganishwa kwa mtandao.Hili toleo litafanya kazi kwenye windows na MacOs",
"download.requirements": "Mahitaji",
"download.imgAltDownloadIllustration": "Scratch 3.0 picha ya eneo kazi",
"download.installHeaderTitle": "Sakinisha Scratch Desktop",
"download.downloadScratchDesktop": "Pakua Scratch Desktop",
"download.downloadButton": "Pakua",
"download.troubleshootingTitle": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
"download.startScratchDesktop": "Anzisha Scratch Desktop",
"download.howDoIInstall": "Nawezaje sanikisha eneo kazi ya Scratch?",
"download.whenSupportLinux": "Ni lini utakua na eneo kazi ya Scratch Deskop ya Linux?",
"download.supportLinuxAnswer": "Eneo kazi ya Scratch kwenye Linux kwa sasa hivi haijategemezwa.Tunafanya kazi na washirika na jamii huria kuamua iwapo kuna jinsi tunaweza tegemeza Linux baadaye.Makinika!",
"download.supportChromeOS": "Utakua na Scratch eneo kazi ya Chromebooks lini ?",
"download.supportChromeOSAnswer": "Eneo kazi ya Scratch ya chromebooks kwa sasa hivi haipo tayari. Tunaifanyia kazi na tunatumai kuizindua 2019 mwakani.",
"download.olderVersionsTitle": "Matoleo ya Zamani",
"download.olderVersions": "Kutafuta Scratch 2.0 nje ya mtandao\nKiharirir au Scratch 1.4?",
"download.scratch1-4Desktop": "Scratch 1.4 Desktop",
"download.scratch2Desktop": "Scratch 2.0 Desktop",
"download.cannotAccessMacStore": "Je, ikiwa siwezi kupata Mac App Store?",
"download.cannotAccessWindowsStore": "Je, ikiwa siwezi kupata Microsoft Store?",
"download.macMoveToApplications": "Fungua faili ya .dmg.Hamisha eneo kazi ya Scratch ndani ya programu.",
"download.winMoveToApplications": "Endesha faili ya .exe.",
"download.canIUseScratchLink": "Je, naweza kutumia Scratch Link kuunganisha viendelezi?",
"download.canIUseScratchLinkAnswer": "Ndio. Utahitaji muunganisho wa Mtandao ili kutumia Scratch Link.",
"download.desktopAndBrowser": "Je! Naweza kutumia eneo kazi ya Scratch na pia nifungue Scratch katika kivinjari?",
"download.yesAnswer": "Ndio.",
"download.canIShare": "Je! Ninaweza kushiriki kutoka kwa eneo kazi ya Scratch?",
"download.canIShareAnswer": "Hii haihimiliwi kwa sasa. Kwa sasa unaeza hifadhi mradi kutoka eneo kazi ya Scratch,ipakie katika akaunti yako ya Scratch,na ushiriki hapo. Katika toleo la baadaye tutaongeza uwezo wa kupakia kwenye akaunti yako ya Scratch moja kwa moja kwenye eneo kazi ya Scratch."
}