{ "teacherlanding.title": "Scratch ya Waalimu", "teacherlanding.intro": "Wanafunzi wako wanaweza kutumia Scratch kutunga hadithi shirikishi, ukaragushi na michezo. Katika mchakato huo, wanajufunza jinsi ya kufikiri kwa ubunifu, kwa utaratibu na kufanya kazi kwa kushirikiana — stadi muhimu kwa kila mmoja wetu kwa jamii. Tayari walimu wanahusisha Scratch kwenye masomo na mada mbalimbali ya masomo wakilenga umri tofauti tofauti.", "teacherlanding.resourcesTitle": "Nyenzo", "teacherlanding.connectTitle": "Unganisha", "teacherlanding.newsTitle": "Habari", "teacherlanding.teacherAccountsTitle": "Akaunti za Waalimu", "teacherlanding.educatorResourcesTitle": "Nyenzo za Waalimu", "teacherlanding.educatorGuides": "{educatorLink}itakuonyesha jinsi ya kuandaa na kuendesha Darasa za Scratch na Warsha.", "teacherlanding.educatorGuideLinkText": "Mwongozo wa mwalimu", "teacherlanding.sip": "{sipName}({abbreviatedSipName}) inashiriki mawazo na rasilimali kutoka kwa Timu ya Scratch na waelimishaji kote ulimwenguni. Kila mwezi, tovuti ya {abbreviatedSipName}hutoa vipengele na mada mpya kwa ajili ya kuvumbuliwa na kujadiliwa.", "teacherlanding.sipName": "Scratch katika utendaji", "teacherlanding.abbreviatedSipName": "SiP", "teacherlanding.howUsingScratch": "Jinsi Walimu Wanatumia Scratch", "teacherlanding.seeLatest": "Tazama ya hivi karibuni", "teacherlanding.creativeComputing": "{scratchEdLink} kutoka Timu ya ScratchEd huko Harvard hutoa mipango, shughuli, na mikakati ya kuanzisha ubunifu darasani kupitia kwa tarakilishi", "teacherlanding.scratchEdLinkText": "Kutumia kompyuta kwa ubunifu", "teacherlanding.studentResourcesTitle": "Nyenzo za Wanafunzi", "teacherlanding.tutorialResources": "Vumbua {tutorialLink} ili kujua jinsi unaweza kutunga hadithi, ukaragushi, michezo, na zaidi!", "teacherlanding.tutorialLink": "Mafunzo ya Scratch", "teacherlanding.codingCardResources": "Pakua na uchapishe {codingCardLink} kwa maelekezo ya hatua kwa hatua kwa miradi mbali mbali.", "teacherlanding.codingCardLink": "Kadi za usimbaji", "teacherlanding.ideasResources": "Tembelea {ideasPageLink}kwa nyenzo zaidi kutoka kwa Timu ya Scratch", "teacherlanding.ideasLink": "Ukurasa wa kubuni Mawazo ", "teacherlanding.connectingWithEducators": "Kuungana na Walimu Wengine", "teacherlanding.teachingWithScratch": "Jiunge na kikundi cha {teachingWithScratchLink} cha Facebook kushirikiana kwa maoni, maswali, na nyenzo zinazohusiana na kufundisha na Scratch.", "teacherlanding.teachingWithScratchLink": "Kufundisha kwa kutumia Scratch", "teacherlanding.attendMeetups": "Hudhuria {meetupLink} ili kushirikiana kwa mawazo na mikakati na waelimishaji wengine kwa kuunga mkono ubunifu unaoendelezwa na tarakilishi katika aina yake yote.", "teacherlanding.meetupLink": "Mikutano ya Walimu wa ScratchEd", "teacherlanding.moreGetStartedTitle": "Namna Nyingine za Kuanza", "teacherlanding.csFirst": "Mitaala ya bure kutoka Google, {csFirstLink}, imetumiwa na wanafunzi na waelimishaji ulimwenguni. Zaidi ya video 1,000 za mafundisho na mipango ya masomo hutanguliza wanafunzi kwa Scratch.", "teacherlanding.csFirstLink": "CS First", "teacherlanding.codeClub": "Tembelea {codeClubLink}kufikia zaidi ya moduli 30 za bure za mradi ili kuwashirikisha wanafunzi katika kujifunza kutunga hadithi shirikishi, michezo, na ukaragushi.", "teacherlanding.codeClubLink": "Code Club", "teacherlanding.newsAndUpdatesTitle": "Habari za Hivi punde na Mpya", "teacherlanding.followUs": "Tufuate kwenye {facebookLink} ,{twitterLink}, na {instagramLink}!", "teacherlanding.signupTips": "Jisajili upokee {signupTipsLink}kutoka kwa Timu ya Scratch", "teacherlanding.signupTipsLink": "visasisho na vidokezo", "teacherlanding.accountsTitle": "Akaunti za mwalimu katika Scratch", "teacherlanding.accountsRequestInfo": "As an educator, you can request a Scratch Teacher Account, which makes it easier to create accounts for students and to manage their projects and comments. To learn more, see the {setupGuideLink} and the {teacherAccountFaqLink}.", "teacherlanding.accountsSetupGuide": "Teacher Account Setup Guide", "teacherlanding.accountsFaqPage": "Teacher Account FAQ page", "teacherlanding.requestAccount": "Agizia Akaunti" }