{ "camp.title": "Kambi ya Scratch: Teremka chini", "camp.dates": "Julai 24 - Agosti 13", "camp.welcome": "Karibu katika Kambi ya Scratch 2017!", "camp.welcomeIntro": "Njoo upige mbizi nasi katika bahari hii huku ukirasimu ubunifu wako mwenyewe. Uumbaji wako unaweza kuwa kitu chochote unachoweza kupata katika bahari - halisi au ya kuvumbua!
Kwenye kambi ya mwaka huu, teremka chini na sisi katika sehemu hizi tatu:", "camp.welcomeIntroHTML": "Come take a dive into the ocean with us and design your very own creation. Your creation can be anything you might find in the ocean - real or made up!{br}In this year’s camp, dive down deep with us in these three parts:", "camp.part1Dates": "Sehemu 1 (Julai 24 - Julai 30)", "camp.detailsTitle": "Maelezo:", "camp.part1Details": "Unda mradi wa kututambulisha kwa mhusika, halisi au wa kudhaniwa, aishiye baharini. Unaweza kufanyiza Jitu likitoka kwenye kina kirefu, samaki mzuri wa kiti cha pweza, papa alaye taco, au kitu kingine chochote unachoweza kufikiria.", "camp.particpateTitle": "Jinsi ya Kushiriki:", "camp.part1Particpate": "Sehemu ya kwanza ya kambi itafanyika katika Studio kuu ya Kambi. Hapa, unaweza kuuliza maswali, Utazame ubunifu wa waandishi wengine wa Scratch, na uwasilishe ubunifu wako mwenyewe. Tembelea studio ili ujifunze zaidi!", "camp.part1ParticpateHTML": "Part 1 of camp will take place in the Main Camp Cabin studio. Here you can ask questions, view other Scratchers' creations, and submit your own. Go to the studio to learn more!", "camp.part2Dates": "Sehemu 2 (Julai 31 - Agosti 6)", "camp.part2Details": "Sasa kifanye kihusika chako kiweze kutushirikisha! Je! Kihusika chako kina maswali ya kutuuliza? Ni nini hufanyika wakati ukikimbonyeza? Je! Kina uwezo wowote maalum? Na zaidi!", "camp.part2Particpate": " Sehemu ya 2 ya kambi itafanyika pia katika studio kuu ya Cabin . Hapa unaweza kuuliza maswali, utazame ubunifu wa wasimbaji wengina wa Scratch, na uwasilishe wako mwenyewe. Tembelea studio ili ujifunze zaidi!", "camp.part2ParticpateHTML": "Part 2 of camp will also take place in the Main Camp Cabin studio. Here you can ask questions, view other Scratchers' creations, and submit your own. Go to the studio to learn more!", "camp.part3Dates": "Sehemu 3 (Agosti 7 - Agosti 13)", "camp.part3Details": "Unda mradi ukitumia ubunifu wako pamoja na ubunifu mwingine wa wasimbaji wengine wa Scratch. Unaweza kuwa mradi wa mchezo, hadithi, ukaragusi, au waweza kutengeneza kitu chochote! ", "camp.part3Particpate": "Miradi ya mwisho ya studio ya kambi ya Cabin itachukua sehemu ya 3 katika Kambi ya Scratch ya mwaka huu. Hapa unaweza kuwasilisha mradi wako wa mwisho, kutoa maoni kwa wengine, na kusherehekea Kambi ya scratch! Tembelea studio wakati sehemu ya 3 itakapochapishwa!", "camp.part3ParticpateHTML": "The Final Projects Camp Cabin studio will hold part 3 of this year's Scratch Camp. Here you can submit your final project, give feedback to others, and celebrate Scratch Camp! Swim on over to the studio when part 3 comes out!", "camp.helpfulInfo": "maelezo yanayosaidia", "camp.infoCounselors": "Studio ya Camp Counselors hutoa mifano anuwai ya uumbaji wako wa bahari. Unaweza pia kuwasiliana moja kwa moja na Washauri huko.", "camp.infoCounselorsHTML": "The Camp Counselors studio offers a variety of examples for your ocean creation. You can also directly communicate with the Counselors there.", "camp.infoPart3": "Kumbuka, katika sehemu ya 3, lazima utumie ubunifu mwingine uliotengenezwa kwa Kambi hii ya Scratch. Tumia mradi wao wa 2 kujifunza juu ya hulka za mhusika!", "camp.infoTime": "Usiwe na hofu ikiwa hauko karibu wakati huo wote, sikuzote, unaweza kushiriki wakati wowote upatikanapo! Furahiya tu na ujifunze zaidi!" }