{ "parents.title": "Kwa Wazazi", "parents.intro": "Scratch ni lugha ya programu pamoja na jamii ya mtandaoni ambapo watoto wanaweza kusimba na kushiriki midia shirkishi kama hadithi, michezo na ukaragushi kwa watu mbalimbali ulimwenguni. watoto wanapounda kwa Scrach wanajifunza fikira bunifu, kushirikiana kwa kazi na kufikiria kwa taratibu. Scratch imetengenezwa na inakuzwa na kikundi cha Lifelong Kindergaten cha Mahabara ya Midia MIT.", "parents.overview": "Jinsi inavyofanya kazi", "parents.faq": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara", "parents.overviewTitle": "Scratch inawasaidia vipi watoto?", "parents.overviewLearningTitle": "Kujifunza", "parents.overviewLearningBody": "Kwa muhtasari wa ukurasa mmoja kuhusu yale vijana wanajifunza na Scratch, tazama{learningWithScratch}.\nSoma nakala juu ya{creativeLearningApproach}.", "parents.learningWithScratchLinkText": "Kujifunza kwa kutumia Scratch ", "parents.creativeLearningApproachLinkText": "Mbinu ya Kujifunza kiubunifu", "parents.overviewCommunityTitle": "Jumuiya", "parents.overviewCommunityBody": "Tunawaomba washiriki wote kwenye tovuti kufuata {communityGuidelines}.\nHatutaweka taarifa ya akaunti ya kibinafsi hadhrani. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama {privacyPolicy}.", "parents.communityGuidelinesLinkText": "Miongozo kwa jamii", "parents.privacyPolicyLinkText": "Sera ya Faragha", "parents.faqMoreAndAsk": "Ili kujijuza zaidi juu ya Scratch, tafadhali tazama {faqPage}.\nUnaweza pia kuuliza maswali katika {discussionForums}.\nIkiwa unahitaji kuwasiliana na timu ya wafanyakazi wetu moja kwa moja, bonyeza {contactUs}chini ya ukurasa wowote.", "parents.faqLinkText": "Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara", "parents.faqDiscussionForumsLinkText": "Vikao vya majadiliano", "parents.faqContactUsLinkText": "Wasiliana Nasi", "parents.faqAgeRangeTitle": "Umri wa wanaotumia scratch ni upi?", "parents.faqAgeRangeBody": "Scratch umeundwa haswa kwa vijana wa miaka 8 hadi 16, hatahivyo watu wa kila umri wanapata kuunda na kushiriki kwa kutumia Scratch. Watoto wadogo zaidi wanaweza kujaribu kutumia {scratchJr}, toleo lililorahisishwa la Scratch, limeundwa kwa ajili ya watoto wa miaka 5 hadi 7.", "parents.faqResourcesTitle": "Nyenzo zinazopatikana za kujifunza Scratch ni zipi?", "parents.faqResourcesBody": "Ikiwa hii ni hatua yako ya kuanza, basi kuna{stepByStepGuide}, inayopatikana kaitka Scratch. Kuhusu nyenzo za Scratch kwa jumla, tazama ukurasa wa {ideasPage}.", "parents.faqIdeasLinkText": "Mawazo", "parents.faqStepByStepGuideLinkText": "Mwongozo wa hatua kwa hatua ", "parents.faqGettingStartedGuideLinkText": "Mwongozo wa kuanza (PDF)", "parents.faqScratchCardsLinkText": "Kadi za Scratch", "parents.faqTipsLinkText": "Vidokezo", "parents.faqCommunityTitle": "Jamii inayotumia Scratch mtandaoni ni gani?", "parents.faqCommunityBody": "Katika kushiriki pamoja na jamii inayotumia Scratch mtandaoni, wanajamii wana nafasi bora ya kuvumbua, kujaribu mawazo katikati ya jumuia pana yenye ujuzi, isitoshe, wanashirikiana na wanajamii wa Scratch wenye umri, tabaka, na masilahi mbalimbali. Wanajamii wanaweza kushiriki kazi zao, kupata maoni na mapendekezo, na kujifunza kutoka kwa kila mmoja wao.", "parents.faqGuidelinesTitle": "Miongozo kwa jamii inayotumia Scratch mtandaoni ni ipi?", "parents.faqGuidelinesBody": "Timu ya MIT ya Scratch inafanya kazi na jamii kukuza mazingira ya kirafiki yenye nidhamu na kuheshimika kwa watu wa kila umri, rangi tofauti, kabila, dini, mwelekeo wa kijinsia, na kitambulisho cha kijinsia. Unaweza kumsaidia mtoto wako ajifunze jinsi ya kushiriki pamoja kwa kukagua {communityGuidelines}. Wanajamii wanaulizwa kutoa maoni yao kwa njia ya kujenga na kusaidia kuboresha tovuti hiyo kwa kuripoti mada yoyote ynayokiuka mwongozo wa jamii. Timu ya Scratch inafanya kazi kila siku kusimamia shughuli kwenye tovvuti na kushughulikia ripoti, kwa msaada wa vifaa cha kama {CleanSpeak}kichujio cha uchafu.", "parents.faqCommunityGuidelinesLinkText": "Miongozo kwa jamii", "parents.faqPrivacyPolicyTitle": "Sera zinazohusu faragha ni zipi?", "parents.faqPrivacyPolicyBody": "Ili kulinda faragha ya watoto wakiwa mtandaoni, tunachuja taarifa tunayokusanya wakati wa hatua za kujisajili, na kile tunachoweka hadharani kwenye Tovuti. Hatuuzi au kukodisha taarifa za akaunti kwa mtu yeyote. Unaweza kujua zaidi juu ya ukurasa wetu wa {privacyPolicy}.", "parents.faqFAQLinkText": "Ukurasa wa maswali yanayoulizwa mara kwa mara", "parents.faqOfflineTitle": "Je, kuna namna ya kutumia Scratch bila kushiriki mtandaoni?", "parents.faqOfflineBody": "Yes, the Scratch app allows you to create Scratch projects without an internet connection. You can download the {scratchApp} from the Scratch website or the app store on your device.", "parents.faqScratchApp": "Scratch app", "parents.faqOffline2LinkText": "Kihariri cha Scratch 2.0 kinachotumika nje ya mtandao", "parents.faqOffline14LinkText": "Kihariri cha Scratch 1.4 kinachotumika nje ya mtandao" }