{ "addToStudio.title": "Ongezea kwa Studio", "addToStudio.finishing": "Kumalizia", "addToStudio.inviteUser": "Alika mtumiaji aongezee kwenye studio", "project.titleMaxLength": "Mada ni ndefu sana", "project.musicExtensionChip": "Muziki", "project.penExtensionChip": "Kalamu", "project.text2SpeechChip": "Kigeuzi Matini", "project.translateChip": "Tafsiri", "project.videoSensingChip": "Kuhisi Video", "project.needsConnection": "Inahitaji unganisho", "project.comments.header": "Maoni", "project.comments.toggleOff": "Zima maoni", "project.comments.toggleOn": "Ruhusu Maoni", "project.comments.turnedOff": "Samahani, utoaji maoni hauruhusiwi kwa mradi huu.", "project.share.notShared": "Mradi huu hujashirikishwa — kwa sasa ni wewe tu unaweza kuuona. Bonyeza kiungo cha kushiriki ili kila mtu auone!", "project.share.sharedLong": "Hongera kwa kushiriki mradi wako! Watu wengine sasa wanaweza kuujaribu, wakupe maoni, na kubadilisha au kuboresha.", "project.share.sharedShort": "Mradi wako sasa umeshirikishwa.", "project.share.shareButton": "Shirikisha", "project.seeInsideButton": "Tazama ndani", "project.remix.justRemixed": "\"{title}\" imefanikiwa kubadilisha au kuboreshwa. Ongeza kihusika, ongeza mtindo, fanya mabadiliko kuufanya uwe wako. ", "project.remixButton": "Badilisha/Boresha", "project.remixButton.altText": "Hifadhi nakala ya mradi huu na uongezee ubunifu wako", "project.remixButton.remixing": "Kubadilisha/Kuboresha", "project.remixes": "Iliyobadilishwa/iliyoboreshwa", "project.viewAllInList": "Tazama yote", "project.inviteToRemix": "Mualike mtumiaji aboreshe", "project.instructionsLabel": "Maagizo", "project.notesAndCreditsLabel": "Maelezo na Sifa", "project.credit": "Shukrani kwa {userLink} kwa ajili ya mradi asili {projectLink}.", "project.deletedBanner": "Kumbuka: Mradi huu upo kwenye kijalala.", "project.defaultCensoredMessage": "Mradi huu uliondolewa na Timu ya Scratch kwa sababu ya kukosa nidhamu, kutozingatia vizazi vyote au vinginevyo ikiwa ni pamoja na kutofuata miongozo ya jamii ya Scratch.", "project.communityCensoredMessage": "Mradi wako umesitishwa kwa muda mfupi kwa sababu watu wengi waliuripoti kuwa haufai.", "project.willReviewCensoredMessage": "Timu ya Scratch itakagua mradi huo kulingana na {communityGuidelinesLink}, na ama kurejesha upya mradi au kuendelea kuudhibiti.", "project.tempCensoredMessage": "Tafadhali soma {communityGuidelinesLink} na uhakikishe kuhariri mradi kulingana na muongozo kabla ya kuishiriki tena.", "project.permCensoredMessage": "Haiwezi kushirikishwa tena wakati wowote katika siku zijazo.", "project.communityGuidelines": "miongozo ya jamii", "project.moderationInfoLabel": "Taarifa ya kukadiri", "project.numScripts": "{number}hati/maandishi", "project.numSprites": "{number}vihusika", "project.descriptionMaxLength": "Maelezo ni marefu sana", "project.notesPlaceholder": "Uliundaje mradi huu? Je! Ulitumia maoni, maandishi au michoro kutoka kwa watu wengine? Watambue hapa.", "project.descriptionPlaceholder": "Waelekeze watu jinsi ya kutumia mradi wako (kama vile vitufe vya kubonyeza).", "project.cloudDataAlert": "Mradi huu hutumia data ya mtandaoni - kipengele ambacho kinapatikana tu kwa watumizi waliojiandikisha na kuingia kama wanaScratch.", "project.cloudVariables": "Vibadilika vya mtandao", "project.cloudDataLink": "Tazama Data", "project.usernameBlockAlert": "Mradi huu unaweza kutambua ni nani anayeutumia, kupitia kwa bloki ya \"jina la mtumiaji\". Kuficha kitambulisho chako, toka kabla ya kutumia mradi huu.", "project.inappropriateUpdate": "Hmm ... kipelelezi cha maneno yasiyokubalika kinahisi kuwa kuna shida katika maandishi yako. Tafadhali yarekebishe na ukumbuke kuzingatia nidhamu." }