{ "tips.title": "Hatua ya Kuanza", "tips.subTitle": "Anza kutengeneza miradi kwenye Scratch kwa kujaribu mafunzo ya mtandaoni au kupakua Mwongozo wa PDF.", "tips.tryGettingStarted": "Jaribu kutumia mafunzo ya hatua ya kuanza", "tips.tttHeader": "Mazoezi ya Kujaribu", "tips.tttBody": "Je, unataka kutengeza nini na Scratch? Kwa kila utendaji unaweza kujaribu Mafunzo , pakua mkusanyiko wa Kadi zenye utendaji au tazama mwongozo wa Waalimu .", "tips.cardsHeader": "Pata Mkusanyiko mzima wa Kadi za Utendaji", "tips.cardsBody": "Ukiwa na Kadi za Shughuli za Scratch , unaweza kujifunza kuunda michezo inayoingiliana, hadithi, muziki, michoro, na zaidi!", "tips.cardsDownload": "Pakua PDF", "tips.cardsPurchase": "Nunua nakala zilizochapishwa ", "tips.starterProjectsHeader": "Miradi ya Kuanzia", "tips.starterProjectsBody": "unaweza cheza na mirandi ya kuanzisha kupata mawazo ya miradi yako mwenyewe ", "tips.starterProjectsPlay": "Cheza na miradi ya kuanzia", "tips.offlineEditorHeader": "Kihariri kinachotumika nje ya mtandao.", "tips.offlineEditorBody": "Ili kuunda miradi bila muunganisho wa mtandao, unaweza kupakua hariri ya mkondoni ", "tips.questionsHeader": "Maswali", "tips.questionsBody": "Una maswali zaidi? Tazama Maswali yanayoulizwa mara kwa mara au tembelea Msaada kwa ukumbi wa maandiko ", "ttt.tutorial": "mafunzo", "tile.guides": "ona kadi na miongozo", "tile.tryIt": "Jaribu", "ttt.placeholder": "kihifadhi nafasi cha makini", "ttt.tutorialSubtitle": "Tafuta jinsi ya kutengeneza mradi huu kwa kutumia mafunzo ya hatua kwa hatua katika Scratch", "ttt.activityTitle": "Kadi za utendaji", "ttt.activitySubtitle": "Chunguza maoni mapya ya kusimba kwa kutumia njia hii ya kadi zilizoonyeshwa unaweza kuchapisha", "ttt.educatorTitle": "Mwongozo wa mwalimu", "ttt.educatorSubtitle": "Tumia mwongozo huu wa mwalimu kupanga na kuongoza warsha ya saa moja ya Scratch ", "ttt.open": "fungua", "ttt.MakeItFlyTitle": "Fanya ipepee", "ttt.MakeItFlyDescription": "Fanya ukaragushi wa paka katika Scratch, kisichana cha Powerpuff au taco", "ttt.AnimateYourNameTitle": "Fanya ukaragushi wa jina", "ttt.AnimateYourNameDescription": "uhuisha herufi za jina lako la utumiaji, herufi anzisha au neno unalopenda", "ttt.RaceTitle": "Kimbia hadi mwisho", "ttt.RaceDescription": "Tengeneza mchezo ambapo wahusika wawili wanashindana kukimbia ", "ttt.MakeMusicTitle": "Tengeneza Muziki", "ttt.MakeMusicDescription": "chagua ala, ongeza sauti na ubonyeze vibonyi ili kucheza muziki", "ttt.HideAndSeekTitle": "Kibemasa", "ttt.HideAndSeekDescription": "Tengeneza mchezo wa kibemasa ambapo wahusika wanatokeza na kutoweka", "ttt.StoryTitle": "Unda Hadithi", "ttt.StoryDescription": "Chagua vihusika, ongeza mazungumzo kisha uitie hadithi yako uhai. ", "ttt.FashionTitle": "Mchezo wa Mtindo", "ttt.FashionDescription": "Tengeneza mchezo ambapo unakivalisha kihusika chako nguo na mitindo tofauti tofauti.", "ttt.PongTitle": "Mchezo wa Pong", "ttt.PongDescription": "Tengeneza mchezo wa mpira unaodunda wenye sauti, pointi na madoido mengine. ", "ttt.DanceTitle": "Tucheze", "ttt.DanceDescription": "Buni picha ya uhuishaji ya muziki na muziki na hatua za densi.", "ttt.CatchTitle": "Mchezo wa kukamata", "ttt.CatchDescription": "tengeneza mchezo wa kushika vitu viangukavyo kutoka angani", "ttt.VirtualPetTitle": "Mnyama-kipenzi sibayana", "ttt.VirtualPetDescription": "Unda mnyama-kipenzi anayeshirikisha na ambaye anaweza kula, kunywa, na kucheza." }