pull new editor translations from Transifex

This commit is contained in:
chrisgarrity 2021-03-15 03:13:59 +00:00
parent ce785dcef9
commit 015321ec45

View file

@ -14,20 +14,20 @@
"annualReport.messageP1": "2019 ulikuwa mwaka wa maendeleo makubwa kwa Scratch. Tulianza mwaka na uzinduzi wa Scratch 3.0, kizazi chetu kipya zaidi cha Scratch, iliyoundwa kuchochea ubunifu wa watoto na kuwashirikisha watoto walio na masilahi na asili anuwai. Tulisherehekea mwisho wa mwaka na timu yetu kuhamia kutoka MIT kwenda kwenye nyumba yake mpya huko Scratch Foundation, katika nafasi ya kucheza ya ghorofa ya kwanza karibu na Kituo cha Kusini huko Boston. Kwa mwaka mzima, jamii ya Scratch iliendelea kustawi na kukua: Zaidi ya vijana milioni 20 waliunda miradi na Scratch mnamo 2019, ongezeko la 48% kwa mwaka",
"annualReport.messageP2": "Athari na umuhimu wa Scratch zimeangaziwa katika mwaka wa 2020 kwa vile janga la COVID lililazimu shule kufungwa. Shughuli katika jamii ya Scratch mtandaoni iliongezeka zaidi ya mara mbili wakati vijana, hawangeweza kutoka kwenye nyumba zao, wakaanza kutegemea Scratch kujieleza kwa ubunifu na kuungana na wenzao. WanaScratch pia wamekuwa wakishiriki kikamilifu katika Black Lives Matter na harakati zingine za haki ya rangi na usawa, kuunda miradi na studio za kuhamasisha na kudai mabadiliko.",
"annualReport.messageP3": "Kuanzia wakati tulizindua Scratch mnamo 2007, tumeiona Scratch kuwa zaidi ya lugha ya programu. Scratch hutoa fursa kwa vijana wote, kutoka asili zote, kuzikuza sauti zao, kuzieleza dhana zao, na kuunda pamoja. Tunapenda kuona vile WanaScratch wamekabiliana na changamoto za hivi karibuni za jamii kwa ubunifu, ushirikiano, kujali, na fadhili.",
"annualReport.messageP4": "Katika Ripoti hii ya Mwaka, tutashiriki zaidi juu ya utume, mipango, athari, na ufikiaji wa Scratch, unaoungwa mkono na mifano ya jinsi Scratch inapanua fursa za masomo kwa utofauti mpana wa vijana ulimwenguni kote, shuleni na katika anaishi.",
"annualReport.messageP5": "Tuko na majivuno jinsi vijana wanaunda na kujifunza kwa Scratch leo, na tumejitolea kutoa fursa zaidi kwa vijana zaidi katika siku zijazo.",
"annualReport.messageP4": "Katika Ripoti hii ya Mwaka, tutashiriki zaidi juu ya misheni, miradi, athari, na ueneaji wa Scratch, unaoungwa mkono na mifano ya jinsi Scratch inapanua fursa za masomo kwa vijana wa namna mbalimbali ulimwenguni kote, shuleni na maishani mwao.",
"annualReport.messageP5": "Tuna majivuno jinsi vijana wanaunda na kujifunza kupitia Scratch leo, na tunajitolea kutoa fursa zaidi kwa vijana zaidi katika siku zijazo.",
"annualReport.messageSignature": "— Timu ya Scratch",
"annualReport.covidResponseTitle": "Scratch Yakabiliana na COVID",
"annualReport.covidResponseP1": "Tunapoandika ripoti hii ya mwaka, tuko kwa miezi kadhaa kwenye janga kubwa la COVID. Tangu katikati ya Machi 2020, ofisi ya Scratch imefungwa na washiriki wa Timu ya Scratch wamekuwa wakifanya kazi kutoka nyumbani kusaidia watoto na waalimu ulimwenguni kote ambao maisha yao yamevurugwa na janga hii.",
"annualReport.covidResponseP2": "Mnamo Machi 17, tulizindua ari la #ScratchAtHome kuwapa watoto, familia, na waelimishaji maoni ya kushiriki katika shughuli za ujifunzaji wa ubunifu na Scratch nyumbani. Tunaendelea kuongeza mafunzo ya video na rasilimali zingine kwa faili {scratchAtHomeLink}",
"annualReport.covidResponseP1": "Tunapoandika ripoti hii ya mwaka, tuko na miezi kadhaa katika janga la COVID. Tangu katikati ya Machi 2020, ofisi ya Scratch imefungwa na washiriki wa Timu ya Scratch wamekuwa wakijitahidi kufanya kazi kutoka nyumbani kusaidia watoto na waalimu ulimwenguni kote ambao maisha yao yamevurugwa na janga hili.",
"annualReport.covidResponseP2": "Mnamo Machi 17, tulizindua mpango wa #ScratchAtHome kuwapa watoto, familia, na walimu dhana za kushiriki katika shughuli za masomo bunifu kupitia Scratch nyumbani. Tunaendelea kuongeza mafunzo ya video na rasilimali zingine kwa {scratchAtHomeLink}.",
"annualReport.covidResponseScratchAtHomePage": "Ukarasa la #ScratchAtHome",
"annualReport.covidResponseP3": "Shughuli katika {scratchCommunityLink}imeongeza zaidi ya mara mbili kutoka mwaka jana. Scratchers wanaunda na kushiriki miradi kusaidia na kutia msukumo wengine kupitia janga — na miradi na studio ambazo hutoa maoni ya kufanya mazoezi nyumbani, vidokezo vya kukaa na afya, ucheshi kuchangamana, na shukrani kwa wafanyikazi muhimu.",
"annualReport.covidResponseP3": "Shughuli katika {scratchCommunityLink}imeongezeka zaidi ya mara mbili kutoka mwaka jana. WanaScratch wanaunda na kushiriki miradi kusaidia na kuhamasisha wengine wakati wa janga—kwa miradi na studio ambazo hutoa dhana za kufanya mazoezi nyumbani, madokezo ya kudumisha afya, ucheshi wa kuchangamshana, na shukrani kwa wafanyikazi muhimu.",
"annualReport.covidResponseScratchCommunity": "Jamii ya Scratch mtandaoni",
"annualReport.missionTitle": "Misheni Yetu",
"annualReport.missionSubtitle": "Dhamira yetu ni kuwapa watoto wote, kutoka asili zote, fursa za kufikiria, kuunda, na kushirikiana na teknolojia mpya — ili waweze kuunda ulimwengu wa kesho.",
"annualReport.missionP1": "Tumejitolea kutanguliza usawa katika nyanja zote za kazi yetu, kwa kuzingatia mipango na njia zinazosaidia watoto, familia, na waalimu mbali zaidi na haki ya kielimu.",
"annualReport.missionSubtitle": "Misheni yetu ni kuwapa watoto wote, kutoka asili zote, fursa za kuwazia, kuunda, na kushirikiana na teknolojia mpya — ili waweze kuuelekeza ulimwengu wa kesho.",
"annualReport.missionP1": "Tumejitolea kutanguliza usawa katika nyanja zote za kazi yetu, kwa kuzingatia mipango na njia zinazosaidia watoto, familia, na waalimu wenye umbali na haki ya kielimu.",
"annualReport.missionP2": "Tumeendeleza Scratch kama mazingira ya bure, salama, ya kucheza ambayo huwashirikisha watoto wote kufikiria kwa ubunifu, hoja kwa utaratibu, na kufanya kazi kwa kushirikiana — ujuzi muhimu kwa kila mtu katika jamii ya leo. Tunafanya kazi na waalimu na familia kusaidia watoto katika kuchunguza, kushiriki, na kujifunza.",
"annualReport.missionP3": "Katika kuendeleza teknolojia mpya, shughuli, na vifaa vya kujifunzia, tunaongozwa na kile tunachokiita {fourPsItalics}:",
"annualReport.missionP3": "Katika kuendeleza teknolojia mpya, shughuli, na vifaa vya kujifunza, tunaongozwa na kile tunachoita {fourPsItalics}:",
"annualReport.fourPs": "Four Ps of Creative Learning",
"annualReport.missionProjectsTitle": "Miradi",
"annualReport.missionPeersTitle": "Marika",
@ -36,9 +36,9 @@
"annualReport.missionProjectsDescription": "Shirikisha watoto katika kubuni, kuunda, na kujieleza kwa ubunifu",
"annualReport.missionPeersDescription": "Saidia watoto katika kushirikiana, kushiriki, kurekebisha, na ushauri",
"annualReport.missionPassionDescription": "Wezesha watoto kujenga juu ya masilahi yao na kufanyia kazi miradi yenye maana",
"annualReport.missionPlayDescription": "Wahimize watoto wachunguze, wajaribu, na wapunguze",
"annualReport.missionPlayDescription": "Wahimize watoto wachezee, wajaribu, na warudilie",
"annualReport.milestonesTitle": "Hatua kuu",
"annualReport.milestonesDescription": "Hapa kuna hafla muhimu na mafanikio katika historia ya Scratch na jamii ya Scratch ya ulimwenguni.",
"annualReport.milestonesDescription": "Hapa kuna hafla muhimu na mafanikio katika historia ya Scratch na jamii ya Scratch ya ulimwenguni.",
"annualReport.milestones2003Message": "Ilipewa tuzo la National Science Foundation ili kuanza maendeleo ya Scratch.",
"annualReport.milestones2004Message": "Ilipewa karakana ya kwanza ya Scratch kutoka kwa Clubhouse Teen Summit.",
"annualReport.milestones2007Message": "Uzinduzi wa umma wa lugha ya programu ya Scratch na jamii ya mkondoni.",
@ -49,7 +49,7 @@
"annualReport.milestones2013MessageFoundation": "Ilianzishwa Msingi wa Code-to-Learn (ambayo ilibadilishwa kuwa Msingi wa Scratch)",
"annualReport.milestones2013MessageScratch2": "Uzinduzi wa Scratch 2.0, kutoa fursa mpya kwa ushirikiano",
"annualReport.milestones2014Message": "Uzinduzi wa ScratchJr kwa watoto wadogo, umri wa miaka 5 hadi 7",
"annualReport.milestones2016Message": "Jamii ya Scratch mtandaoni yafikisha wanachama milioni 10",
"annualReport.milestones2016Message": "Jamii ya Scratch mtandaoni yafikisha washiriki milioni 10",
"annualReport.milestones2017Message": "Scratch Day imeongezeka kwa matukio 1,100 katika nchi 60",
"annualReport.milestones2019MessageScratch3": "Uzinduzi wa Scratch 3.0, kupanau yale watoto wanaweza kuunda na alama ya siri",
"annualReport.milestones2019MessageMove": "Timu ya Scratch imehama kutoka MIT na kuenda Scratch Foundation",
@ -183,7 +183,7 @@
"annualReport.conferencesLatinAmericaTitle": "Amerika ya Kilatino",
"annualReport.conferencesLatinAmericaDescription": "Katika Mei 2019, waelimishaji kutoka kote Chile na maeneo mengine ya Amerika ya Kusini walikusanyika kwa pili {scratchAlSurLink} mkutano huko Santiago, Chile. Kufuatia mkutano huo, Scratch al Sur aliachia a {spanishVersionLink}ya {creativeComputingCurriculumLink}mwongozo, uliyotengenezwa na Kikundi cha Creative Computing katika Shule ya Elimu ya Wanafunzi ya Harvard..",
"annualReport.conferencesSpanishVersionLinkText": "Toleo la Kihispania",
"annualReport.conferencesLatinAmericaImageCaption": "Picha imetolewa na{photoCredit}",
"annualReport.conferencesLatinAmericaImageCaption": "Picha imetolewa na {photoCredit}",
"annualReport.conferencesEuropeTitle": "Ulaya",
"annualReport.conferencesEuropeDescription": "Mnamo Agosti 2019, Raspberry Pi Foundation iliandaa ya nne {scratchConferenceEuropeLink}uliofanyika Cambridge, Uingereza. Mkutano huo ulileta pamoja waelimishaji rasmi na wasio rasmi kutoka nchi zaidi ya 25 kwa semina za mikono, mawasilisho, na maandamano ya wanafunzi, waelimishaji, watafiti, na mashirika ya kijamii.",
"annualReport.conferencesEuropeImageCaption": "Picha imetolewa na{photoCredit}",
@ -213,7 +213,7 @@
"annualReport.supportersExplorationTitle": "Mzunguko wa Utafutaji — $ 5,000 +",
"annualReport.supportersInKindTitle": "Wafuasi wa Aina",
"annualReport.leadershipTitle": "Timu Yetu",
"annualReport.leadershipBoard": "Bodi ya Wakurugenzi",
"annualReport.leadershipBoard": "Baraza la Waelekezi",
"annualReport.leadershipChair": "Mwenyekiti",
"annualReport.leadershipProfessor": "Profesa wa Utafiti wa Kujifunza",
"annualReport.leadershipViceChair": "Mwenyekiti Msaidizi",